Nilitoa kafara miaka mitano kujifunza Forex

Nilitoa kafara miaka mitano kujifunza Forex

mjini apa

nb
Mimi siyo mentor na sufundishi mtu, nimetoa experience yangu tu.
ahsanteni sana.
Yani tupo njia panda kuna watu mnasema huwezi kutoka kwa forex wengine kama kwenye hii mada na wenzake wanasema wanaishi mjini kwa kutrade forex duuuh hata hatuelewi.
 
Yani tupo njia panda kuna watu mnasema huwezi kutoka kwa forex wengine kama kwenye hii mada na wenzake wanasema wanaishi mjini kwa kutrade forex duuuh hata hatuelewi.
huko kutokuelewa kwako ndiko kutakufanya utapeliwe sababu huna msimamo.
 
Mpe challenge kama ulivyompaga yule jamaa wa fundamentals labda huyu anaweza kua na trading history nzuri maana yeye anasema ana miaka 9 kwenye game na anaishi mjini kwa forex trading!.
hujanisoma vizuri. sijasema naishi kwa forex pekee. forex trading ni moja ya kazi zangu pia, ukiacha profession yangu
 
tulishuka nae jumla jumla, we kaa mbal na hizi story za forex mtu anaepiga hela hana mda wa kuja kujielezea
upo sahihi, unakubali kuwa fx traders wapo waopiga pesa na hawajielezi siyo?
 
kazi ni rahisi weka trading history yako ya miezi 3 nyuma apa
mbona nilishaeleza mapema? mimi sipo kushindana na mtu. ILA nipo kuvunja misconceptions kuwa forex ni utapeli na HAINA faida. tena kwa FACTS. mimi naweza niwe loser, ila mwingine kwene hii hii forex akawa winner,
 
mbona nilishaeleza mapema? mimi sipo kushindana na mtu. ILA nipo kuvunja misconceptions kuwa forex ni utapeli na HAINA faida. tena kwa FACTS. mimi naweza niwe loser, ila mwingine kwene hii hii forex akawa winner,
sasa unavunjaje bila kuweka uhalisia kwamba jaman akaunti yangu hii apa mmeona napiga ela?? maelezo kila mtu anaweza kujielezea aya kazi kwako
 
sasa unavunjaje bila kuweka uhalisia kwamba jaman akaunti yangu hii apa mmeona napiga ela?? maelezo kila mtu anaweza kujielezea aya kazi kwako
kumbe ishu si ni uhalisia? sawa, wapo watu wanaoami nika wengi sana ambao wanatambulika na mamlaka zinazohusika kuwa ni profitable fx traders. takwimu hazidanganyi.
 
kumbe ishu si ni uhalisia? sawa, wapo watu wanaoami nika wengi sana ambao wanatambulika na mamlaka zinazohusika kuwa ni profitable fx traders. takwimu hazidanganyi.
My young brother, watu wengi wananijua uku nmefanya kazi BOT miaka 6, nmefanya trading halisi, wewe unachofanya sio trading your gambling and watu wengi tu walikuja kama wewe wakakimbia, so kuepusha kelele nyingi weka tu trading history ya miezi 3, hatutaki mingi alafu zunguka kote duniani mlete mtu anaingiza pesa kwa forex ukiachana na trading firms ambazo zinatrade mashine na sio watu
 
sasa unavunjaje bila kuweka uhalisia kwamba jaman akaunti yangu hii apa mmeona napiga ela?? maelezo kila mtu anaweza kujielezea aya kazi kwako
These institutional and hedge fund giants trade currencies based on geopolitical shifts, economic data, and major global trends.


George Soros: Known as "The Man Who Broke the Bank of England," he famously shorted the British Pound in 1992, netting $1 billion in profit in a single day.



Stanley Druckenmiller: Soros's right-hand strategist at the Quantum Fund who managed billions and achieved consecutive profitable years for three decades.



Paul Tudor Jones: A master of risk management who famously shorted the 1987 market crash and heavily relies on technical trend-following strategies.



Bruce Kovner: Founder of Caxton Associates, he transitioned to highly liquid forex markets in the 1980s, generating billions by knowing exit rules before opening trades.


Andrew Krieger: A legendary aggressive trader at Bankers Trust who shorted the New Zealand Dollar in 1987 with a position size larger than the country’s entire money supply.



Joe Lewis: Started with a family catering business and grew a multi-billion dollar fortune via high-stakes currency trading alongside Soros.



Louis Bacon: Founder of Moore Capital Management, he generated massive wealth in the 1990s by predicting currency and commodity market movements during geopolitical conflicts.



Michael Marcus: A founding trader at Commodities Corporation who turned an initial $30,000 into $80 million by catching massive structural currency trends. [1, 2, 3]


Technical & System-Based Pioneers
These traders rely on price charts, custom algorithms, and mathematical rule frameworks rather than economic headlines.

Bill Lipschutz: Called "The Sultan of Currencies," he generated over $300 million annually for Salomon Brothers by utilizing strict low-leverage rules.



Ed Seykota: A pioneer of computerized trading systems who developed early algorithmic models to automate trend-following systems.



Richard Dennis: Known for the famous "Turtle Traders" experiment, he proved that profitable trend-following mechanics could be taught successfully to anyone.



Peter Brandt: A classical chartist who has successfully traded proprietary capital for over 40 years using traditional chart patterns and tight risk boundaries.



Linda Bradford Raschke: Renowned futures and currency trader who launched her own hedge fund based on highly disciplined short-term price action setups.



Ref Wayne: A prominent African algorithmic trader who built an estimated $500 million fortune by creating rule-based automation software to eliminate human emotion. [1, 2, 3]


Prominent Industry Analysts & Educators
These experts successfully transitioned from direct high-level institutional execution to public market analysis and professional trading education.
  • Kathy Lien: A fundamental analysis expert who started her career on Wall Street at age 18 and became a globally recognized voice on currency pair interactions.
  • Boris Schlossberg: Co-founder of BK Forex alongside Lien, specializing in short-term scalping momentum and psychological data analysis.
  • Raghee Horner: A technical analysis expert who authored several trading books and designed specialized indicators for retail currency momentum.
  • Nassim Nicholas Taleb: A former derivatives trader who popularized the "Black Swan Theory," building strategies to profit from unpredictable financial tail-risk events.
  • John R. Taylor: Founder of FX Concepts, one of the earliest and largest currency-focused hedge funds that specialized in quantitative currency analysis.
  • Ingeborg Mootz: A retail market phenomenon who began trading later in life, turning a small inheritance into a million-dollar portfolio using simple charting rules. [1, 2, 3, 5]


hao ni wachache kati ya wengi wasiokuwa willing kuji expose
 
My young brother, watu wengi wananijua uku nmefanya kazi BOT miaka 6, nmefanya trading halisi, wewe unachofanya sio trading your gambling and watu wengi tu walikuja kama wewe wakakimbia, so kuepusha kelele nyingi weka tu trading history ya miezi 3, hatutaki mingi alafu zunguka kote duniani mlete mtu anaingiza pesa kwa forex ukiachana na trading firms ambazo zinatrade mashine na sio watu
unathibitishaje kuwa nafanya gambling na siyo trading?
 
Biashara tamu sana hii ilnahitaji bidii za kujifunza tu, Hawa wavivu wakusoma na kujifunza ndo huwa wanaingia tamaa kuwapa mamentor watrade on their behalf, wanaishia kupigwa wanarudi jf kulialia ooh utapeli ooh kamari.
That Professional business you have to professional trader to make dollars
 
Habari kila mwanachama humu... mimi niko salama kabisa na naendelea na majukumu yangu ya kujenga taifa kama ilivyo ada.

Humu jukwaani, na si humu tu, bali hata mitaani kwa kweli mapokezi ya fursa hii ya teknolojia ya kidigitali ya forex yamekuwa hafifu na yakupigwa sana vita. sababu ni nyingi na kila mmoja ana sababu zake. binafsi kwa upande wangu nina historia yangu kuhusu forex.

Maswali ni mengi sana. mara oog hakuna anayefanikiwa au aliyetoboa kupitia forex, mara ooh forex ni utapeli tu, mara ooh hakuna pesa rahisi(ni kweli na ndiyo maana akili ni lazima iumie kwelikweli) na maneno kadha wa kadha.

Stori yangu.
nimekaa kimya kwa muda mrefu mno... leo naona ni wakati sahihi wa kueleza kile nijuacho kuhusiana na forex trading.

1. Forex trading ni biashara kama zilivyo zingine. ni halali kisheria kwenye mataifa makubwa kama USA na UK na inahusisha kulipa kodi kisheria. kuna sheria zinasimamia hii ili kudhibiti cheating. tofauti kubwa ni kwamba forex trading inafanyika online(hapa ndipo watu wanatania na kuita pesa za kudownload)

2. Kama ilivyo kawaida, kila biashara ina hasara na faida. pia forex ina hasara pia, na si vema kuifanya kwa mihemko, ni lazima risk iwe managed.

3. Kwa nchi zetu, ni biashara inayokua kwa kasi ingawa kwa tz bado hearsay ni nyingi na scandal za utapeli ni nyingi.

4. Ni rahisi kutengeneza pesa forex ila ni ngumu pia. kama ilivyo kwenye biashara nyingine yoyote. uzoefu na umakini pamoja na kukubali hasara. hata wanaowekeza kwenye hisa na hatifungani nadhani wanatambua hii concept.

5. Elimu, elimu, elimu. hapa namaanisha elimu sahihi isiyoghoshiwa.

experience yangu:
1. Nilijifundisha forex kwa miaka zaidi ya 5 ndipo nikaanza rasmi trading. baada ya miaka 2 ndipo nikaanza kuona faida na kumake baada ya kupoteza na kuchoma mtaji zaidi ya mara 20(mara nyingi sana). nakumbuka scenario moja ya kupata $420 kwa mtaji wa $200(market volatility ilikuwa juu mno).

2. Kipindi ha miaka mitano ya kujifunsisha, ndipo nili develop my own strategy.

3. Sikutaka na sikuwahi kuwa na mentor, kila kitu nilifanya mwenyewe... ni kusoma pdf's na ku practise.
youtube videos and classes sikuvitaka hata kuvisikia, nilijifundisha mwenyewe kila kitu,

4. Nili trade mwenyewe, sikuwa hi kumpa mtu hela yangu atrade badala yangu. hii iliniepusha na matapeli wengi mno na vilio ambayvyo havikuwa na ulazima.

5. Mwisho... siongei yote... lazima ieleweke kuwa mafanikio kwenye kitu chochote huenda kwa watu wachache na si wengi...

nb
Mimi siyo mentor na sufundishi mtu, nimetoa experience yangu tu.
ahsanteni sana.
Nifundishe basi na mimi😛
 
Back
Top Bottom