Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,759
- 37,370
We na mwiguru mumepisha ukubwa wa kinyeo tu.Mwenzako anakula vinono wewe unasindika ugali mkubwa na miogoKuna mtu anatafutwa hapa , akijaa kaisha!
We na mwiguru mumepisha ukubwa wa kinyeo tu.Mwenzako anakula vinono wewe unasindika ugali mkubwa na miogoKuna mtu anatafutwa hapa , akijaa kaisha!
ningetaka kula hela za ktapeli ningeshakula sana. they are not my thingsKuna mtu anatafutwa hapa , akijaa kaisha!
😄🫵🫵Mmeanza kupanic kama kawaida yenuWe na mwiguru mumepisha ukubwa wa kinyeo tu.Mwenzako anakula vinono wewe unasindika ugali mkubwa na miogo
aiseeWe na mwiguru mumepisha ukubwa wa kinyeo tu.Mwenzako anakula vinono wewe unasindika ugali mkubwa na miogo
sawa mkuu Kila lakheri katika mtego wako wa leoningetaka kula hela za ktapeli ningeshakula sana. they are not my things
ni kwa sababu hapa nyumbani crowd ya wajinga na wapumbavu ni wengi... mtu anapinga na kubisha bisha kila kitu... mwishoni anakufuata pm anataka ajue... unakuja kgundua kumbe alikuwa ni mjuaji tu na hajui kitu.Zaidi ya hiyo ndugu.Watu hapa tanzania wameamua kuwa kimya na pesa wanazoingiza hata kusema tunaogopa
mawindo ni makali kuelekea ungwe ya pili ya mwaka😅
kama unaona ni mtego its ok.. naheshimu mtazamo wako.sawa mkuu Kila lakheri katika mtego wako wa leo
ahsante, ingawa si lengo ila ninastahili pongezi hii.Hongera
Umenena vema sana katika bandiko lako hii ni biashara kwa Tz yetu ukiamua kufanya fanya kimya kimya coz wa tz wengi hawana taarifa sahihi na watakukatisha moyo ila fx ni biashara nzuri na sio rahisi kama newbie wanazani shida kubwa scamners ni wengi kuliko watu legitni kweli. mimi nimetoa experience yangu. sitafuti kichwa.
Kwa kweli unastahili, wengi tulikurupuka tukaishia kuumiaahsante, ingawa si lengo ila ninastahili pongezi hii.
kwa nini uwe scammed? nieleze how mtu anakuwa scammed? mimi sikuwahi kuwa scammed zaidi ya miaka mingi mno sasa. though nina taaluma yangu ila forex nayo imekuwa kama biashara yangu rasmi.Umenena vema sana katika bandiko lako hii ni biashara kwa Tz yetu ukiamua kufanya fanya kimya kimya coz wa tz wengi hawana taarifa sahihi na watakukatisha moyo ila fx ni biashara nzuri na sio rahisi kama newbie wanazani shida kubwa scamners ni wengi kuliko watu legit
liwe fundisho... usifanye vitu kwa mkumbo na mihemko.Kwa kweli unastahili, wengi tulikurupuka tukaishia kuumia
hiyo ni passion kama zilivyo zingine. hakuna ubaya na si kosa kisheria.Ulitumia mda gani kupenda wabibi?
niende moja kwa moja. mabinti wengi wana matumbo flat, wamekaukiana, ngozi na makalio magumu, hawana usoft wa kutosha, hawana mafuta, hawana makalio.
Sifa hizo tajwa kwangu sizitaki, wanawake wakubwa wana matumbo makubwa yana hang fulani kwa chini, halafu ni soft mno sijui ndo mnaita kitambi, yeah napenda hilo.
Pia wanawake wakubwa ni very soft.
Nimekuwa addicted kwa kuwa ni ngumu kupata mwanake wa sifa nilizotaja kwa binti wa miaka 25 au 30, so nalazimika kuwatafuta watu wazima kitu ambacho pia kinafanya nishindwe ku date na wasichana warembo.
Msaada wenu tafadhali
its an addiction...
- zee_latown
- age uraibu wanawake
- Replies: 72
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki