zee_latown
JF-Expert Member
- Feb 21, 2026
- 523
- 927
- Thread starter
- #41
watu wavivu... kusoma hawataki wanataka kutafuniwa.
sipo hapa kukamata yeyote wala kujiongelesha. nipo hapa kukanusha misconceptions nyingi kuhusiana na biashara hii ya forex. ni kweli watu humu wana machungu ya kutapeliwa mno, sina la kuwasaidia.Mbona unajiongelesha Mzee ,ulijua hii nyavu utanasa watu?
Hakuna mtu utakamata humu,FX story za JF humu zimeletwa 2015 huko nikiwa form 3.
Kakamate vibua huko Facebook
kama ni mtazamo wako, basi nauheshimuMpk wanase kiongozi.
Kazi ni kipimo cha utu
wengi wana machungu ya kutapeliwa bado... walijua kunahela rahisi. mimi nilileta uzi huu kuharibu misconception ya wengi humu kuwa fx haina faida na ni utapeli.. kitu ambacho si kweli. hilo tu. wanajijua sana humukeep fighting bro, wabongo so watu wakuwapa michongo watakunanga adi so poa, njia ulopita ndo inatakiwa trader apite kuwa mwnyewe anzsha strategy yako mwnyw mchezo kwisha.
Mi sijasema kwamba ati uliazima ila kama mkamaria mwenzio ni vyema ukafanya hivo ikiwa kama ni sehemu ya kurudisha kwa jamiimimi sikuazima single cent kwa mtu.. nilipambana mwenyewe.. so jitwike msalaba wako.
Aha forex siyo mchezo bro ni biashara. ngumu.kuliko zote dunianiHabari kila mwanachama humu... mimi niko salama kabisa na naendelea na majukumu yangu ya kujenga taifa kama ilivyo ada.
Humu jukwaani, na si humu tu, bali hata mitaani kwa kweli mapokezi ya fursa hii ya teknolojia ya kidigitali ya forex yamekuwa hafifu na yakupigwa sana vita. sababu ni nyingi na kila mmoja ana sababu zake. binafsi kwa upande wangu nina historia yangu kuhusu forex.
Maswali ni mengi sana. mara oog hakuna anayefanikiwa au aliyetoboa kupitia forex, mara ooh forex ni utapeli tu, mara ooh hakuna pesa rahisi(ni kweli na ndiyo maana akili ni lazima iumie kwelikweli) na maneno kadha wa kadha.
Stori yangu.
nimekaa kimya kwa muda mrefu mno... leo naona ni wakati sahihi wa kueleza kile nijuacho kuhusiana na forex trading.
1. Forex trading ni biashara kama zilivyo zingine. ni halali kisheria kwenye mataifa makubwa kama USA na UK na inahusisha kulipa kodi kisheria. kuna sheria zinasimamia hii ili kudhibiti cheating. tofauti kubwa ni kwamba forex trading inafanyika online(hapa ndipo watu wanatania na kuita pesa za kudownload)
2. Kama ilivyo kawaida, kila biashara ina hasara na faida. pia forex ina hasara pia, na si vema kuifanya kwa mihemko, ni lazima risk iwe managed.
3. Kwa nchi zetu, ni biashara inayokua kwa kasi ingawa kwa tz bado hearsay ni nyingi na scandal za utapeli ni nyingi.
4. Ni rahisi kutengeneza pesa forex ila ni ngumu pia. kama ilivyo kwenye biashara nyingine yoyote. uzoefu na umakini pamoja na kukubali hasara. hata wanaowekeza kwenye hisa na hatifungani nadhani wanatambua hii concept.
5. Elimu, elimu, elimu. hapa namaanisha elimu sahihi isiyoghoshiwa.
experience yangu:
1. Nilijifundisha forex kwa miaka zaidi ya 5 ndipo nikaanza rasmi trading. baada ya miaka 2 ndipo nikaanza kuona faida na kumake baada ya kupoteza na kuchoma mtaji zaidi ya mara 20(mara nyingi sana). nakumbuka scenario moja ya kupata $420 kwa mtaji wa $200(market volatility ilikuwa juu mno).
2. Kipindi ha miaka mitano ya kujifunsisha, ndipo nili develop my own strategy.
3. Sikutaka na sikuwahi kuwa na mentor, kila kitu nilifanya mwenyewe... ni kusoma pdf's na ku practise.
youtube videos and classes sikuvitaka hata kuvisikia, nilijifundisha mwenyewe kila kitu,
4. Nili trade mwenyewe, sikuwa hi kumpa mtu hela yangu atrade badala yangu. hii iliniepusha na matapeli wengi mno na vilio ambayvyo havikuwa na ulazima.
5. Mwisho... siongei yote... lazima ieleweke kuwa mafanikio kwenye kitu chochote huenda kwa watu wachache na si wengi...
nb
Mimi siyo mentor na sufundishi mtu, nimetoa experience yangu tu.
ahsanteni sana.
kamari/betting ni nini kwa mtazamo wako? forex kuwa au kutokuwa kamari kutategemea na wewe umeingiaje? si veam kusema moja kwa moja kuwa kila fx trader ni mcheza kamari. jielimishe sana>Mi sijasema kwamba ati uliazima ila kama mkamaria mwenzio ni vyema ukafanya hivo ikiwa kama ni sehemu ya kurudisha kwa jamii
Watakutafuta inbobo kwa hii strategyHabari kila mwanachama humu... mimi niko salama kabisa na naendelea na majukumu yangu ya kujenga taifa kama ilivyo ada.
Humu jukwaani, na si humu tu, bali hata mitaani kwa kweli mapokezi ya fursa hii ya teknolojia ya kidigitali ya forex yamekuwa hafifu na yakupigwa sana vita. sababu ni nyingi na kila mmoja ana sababu zake. binafsi kwa upande wangu nina historia yangu kuhusu forex.
Maswali ni mengi sana. mara oog hakuna anayefanikiwa au aliyetoboa kupitia forex, mara ooh forex ni utapeli tu, mara ooh hakuna pesa rahisi(ni kweli na ndiyo maana akili ni lazima iumie kwelikweli) na maneno kadha wa kadha.
Stori yangu.
nimekaa kimya kwa muda mrefu mno... leo naona ni wakati sahihi wa kueleza kile nijuacho kuhusiana na forex trading.
1. Forex trading ni biashara kama zilivyo zingine. ni halali kisheria kwenye mataifa makubwa kama USA na UK na inahusisha kulipa kodi kisheria. kuna sheria zinasimamia hii ili kudhibiti cheating. tofauti kubwa ni kwamba forex trading inafanyika online(hapa ndipo watu wanatania na kuita pesa za kudownload)
2. Kama ilivyo kawaida, kila biashara ina hasara na faida. pia forex ina hasara pia, na si vema kuifanya kwa mihemko, ni lazima risk iwe managed.
3. Kwa nchi zetu, ni biashara inayokua kwa kasi ingawa kwa tz bado hearsay ni nyingi na scandal za utapeli ni nyingi.
4. Ni rahisi kutengeneza pesa forex ila ni ngumu pia. kama ilivyo kwenye biashara nyingine yoyote. uzoefu na umakini pamoja na kukubali hasara. hata wanaowekeza kwenye hisa na hatifungani nadhani wanatambua hii concept.
5. Elimu, elimu, elimu. hapa namaanisha elimu sahihi isiyoghoshiwa.
experience yangu:
1. Nilijifundisha forex kwa miaka zaidi ya 5 ndipo nikaanza rasmi trading. baada ya miaka 2 ndipo nikaanza kuona faida na kumake baada ya kupoteza na kuchoma mtaji zaidi ya mara 20(mara nyingi sana). nakumbuka scenario moja ya kupata $420 kwa mtaji wa $200(market volatility ilikuwa juu mno).
2. Kipindi ha miaka mitano ya kujifunsisha, ndipo nili develop my own strategy.
3. Sikutaka na sikuwahi kuwa na mentor, kila kitu nilifanya mwenyewe... ni kusoma pdf's na ku practise.
youtube videos and classes sikuvitaka hata kuvisikia, nilijifundisha mwenyewe kila kitu,
4. Nili trade mwenyewe, sikuwa hi kumpa mtu hela yangu atrade badala yangu. hii iliniepusha na matapeli wengi mno na vilio ambayvyo havikuwa na ulazima.
5. Mwisho... siongei yote... lazima ieleweke kuwa mafanikio kwenye kitu chochote huenda kwa watu wachache na si wengi...
nb
Mimi siyo mentor na sufundishi mtu, nimetoa experience yangu tu.
ahsanteni sana.
na ndiyo maana nikajitolea mfano... nikatenga 5 years kujielimisha kabla ya kuanza kuweka pesa. sasa leo kijana ana dola mia zake zinamuwasha anaamua kuvamia vamia vitu asivyovielewa ili apate hela rahisi, no easy moneyAha forex siyo mchezo bro ni biashara. ngumu.kuliko zote duniani
strategy kila mmoja anatakiwa awe na yake... watu wavivu wavivu wanataka mteremko. strategy ni siri ya mtuWatakutafuta inbobo kwa hii strategy