Nilipata ulemavu sababu ya Mapenzi

Pole sana bro...n changamoto za maisha. M/Mungu akufanyie wepesi.

Sent using Redmi7
 
SO SAD
Ila jaman ulimwengu huu tujaribuni kuishi na wanawake kwa akili sana, hata maandiko yanasema
Don't take it serious,
 
Pole sana, kutokana na hali yako kwanza nakushauri ujikubali, kataa kujilinganisha na wengine, jikubali kwanza wewe kama wewe, ukubali hali uliyonayo na uone kuwa bado kwa namna ulivyo unaweza endesha maisha yako na yakasonga kama kawaida.

Kutokana na hali yako nakushauri fika ofc za Halmashauri idara ya Maendeleo ta Jamii uliyo karibu nayo na uone namna ya kupata mkopo usio na riba wa WYF (Women Youth Fund) serikali imeelekeza Halmashauri kutenga %ya mapato mapato ya ndani kuwezesha mikopo kwa wanawake, Vijana na Walemavu.

Natumaini una vigezo vya kupata mkopo huo.

Pole sana!!



.
 
Pole sana ndugu yangu lakini hukutakiwa kupenda kupita kiasi
 
Nimelia na kutoa machozi, poleee sanaa Jah na mpango na wee,
Usiumie sana, kuwa na furaha, amani, huru, wee ni binadamu sie, poleeeh sanaaah, nmeshkwa na uchungu mnooh.

Saint Anne njoo hapa cc utoe neno plz
 
Do not trust them. End
 
Pole sana Mwenyezi MUNGU aendelee kukusimamia.
 
pole sana bro! ila tahadhali kuhusu hawa dada zetu au mama zetu katika suala la mapenzi huwa zinatolewa na wanasema bank zenyewe zinamiliki pesa nyingi kuliko sisi ila hazijawahi kutoa pesa bure kisa uzuri wa sura au la! hivyo tuwe tunajifunza kupitia mifano hiyo. Nafikiri kuna mikataba mingi sana ya makubaliano iliyotanyika pale edeni kipindi bwana nyoka akimshawishi mama yetu kula tunda la mema na mabaya.
 
Dah pole sana kaka yameshatokea hayo amna namna tena kikubwa ni kukubaliana na hali yako kwa sasa uangalie cha kufanya


Pia wengine tuchukue somo hapa tujifunze
 
Tumsaidie njemba kuhakikisha Naima haolewi πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚
 
Basi unajikuta steringiiii mwenyeweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila uko sahihi asilimia zote.
Big up
 
nipo Dodoma mkuu,nimesomea education pia sina shughuli yoyote ndio kwanza nimepata mtaji wa laki 6 nataka nijitahidi biashara ya mtumba pia nimeulizia humu mkoa mzuri nikaanze upya
kuhusu Biashara ya Nguo za Mitumba wacheck Hornet na jooohs ni wataalamu wa hiyo biashara Watakusaidia. japo nguo za kike skin jeans na vipochi vinatoka zaidi
 
Pole sana kaka . mwenyewe nilishawahi kudata kabisa. Ila jamani mbona serikali ilitakiwa iweke kozi ama somo LA mahusiano. Watu wawe wanaenda kwafundisha vijana kabla ya kubalehe.
Mapenzi yanagharimu maisha ya watu
 
Pole sana mkuu, ila hio hospitali ni ya wapi na ilikuwa mwaka gani wakakupa hio quinine, Hio quinine imefanya watu wengi sana kuwa na matatizo ya masikio, Wengine wanasikia kwa mbali, wengine wanasikia makelele masikioni wengine ndio viziwi kabisa, Ni hospitali gani na mwaka upi hao madaktari walikufanyia huu ukatili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…