Nilipata ulemavu sababu ya Mapenzi

Aisee
 
Aisee πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯

Mapenzi haya mweeeh
 
Mimi hata kwa mke wangu sifanyi ..siwezi Kutoa mamlion ya pesa na kumpatia mtu wakati Mimi uwezo wa kumiliki hizi pesa Sina

Yaani nitatoa pesa endapo nitakuwa na uwezo mkubwa wa kumiliki pesa ..mfano nikiwa na milion 5 nitatoa laki 5 ..nikiwa na milion 100 nitatoa hata ml5 .lakini sio Kutoa mipesa kibao wakati Mimi Sina kitu ..I'm sorry to say this huo Ni ujinga na Ni kutojipenda mwenyewe Ni kuto jihurumia pia nikuto itambua thamani yako
 
Mi hata ukilipa kisasi nakuelewa.
Sitaki hata kuwa marafiki, oh sijui songa mbele sijui maisha ndo yalivyo sijui bla blah muachie Mungu.

Wala.
So we react tu kivyovyote ,fresh tu.
Au sio 😁😁
 
Yaani wewe na Mimi Ni mtu 1 kabisa 😁😁
 
Bwana
Wee
 
Al-Qisas al-Haqq,
Huyo ndezi namie ningemvunja miguu ili aonje utam wa kukosa miguu
 
dada yangu najitahidi kuwa na moyo wa kusamehe ila hali yangu ya ulemavu na majuto yananiumiza na kunitesa mimi siwezi sahau na kusamehe nimejitahidi nimeshindwa
Jitahidi kusamehe mkuu, hamna namna kubali matokeo maisha yaendelee
 
Very true πŸ‘ŠπŸ€”πŸ€”
 
Pole Sana..samehe ingawa najua ngumu kusahau.
Karma itamfundisha maisha naima.
 
Kweli kabisa .. tunaoishi hivi tuna enjoy Sana maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…