Kweli mkuu!Sio Condom peke yake na Mungu anasaidia sanaTulipaita kaburini... Mungu ni mwema WE ARE LEFT TO TELL![]()
![]()
Tumesalimika tusimulie
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mtu alipokukera na Leo ulikua ushakunywa konyagi mkuu?Nimekumbuka hili tukio kuna mtu kanikera leo nikataka kumwambia utakufa ila nikasita
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Uzoefu wangu..ANAYEKWAMBIYA NAKUROGA huwa HAKUROGI ..utarogwa na USIYEMJUWA...siku zote EPUKA KUMNYOOSHEA MTU KIDOLE..KWAMBA Utaona..JUWA....kuna wabaya wake Pembeni....wanasubiri wapate PAKUJIFICHIA...PENGINE wako waliomuumiza.....sio wewe MKUUImepita miaka mitano sasa lakini bado nakumbuka hili tukio
Ilikuwa ni mchana mmoja siku ya ijumaa nilikwenda bar ya Igongwe pale Mwenge karibu na vinyago kupata lunch
Kufika pale nikahudumiwa na binti mgeni hata wa kuhudumia, ndani ya nususaa alikuwa keshaniambia historia yake yote lakini wakati huohuo akiwa keshagonga safari 3,
Nilibaki pale mpaka saa kumi muda aliosema anatoka huku nikiwa nimeshamaliza mzinga wa konyagi... Alikuwa kanihoji na mimi kama ni mwenyeji mitaa ile nikamdanganya nikamwambia mimi mgeni
Baada ya hapo tukaondoka kuelekea Cafe la Tino si mbali sana kutoka pale
Cha ajabu na cha kushangaza kufika pale akajifanya amelewa na mimi ni mpenzi wake.. Mbele za rafiki zangu akawapa cheo cha mashemeji
Kugundua hili nikaamua kumtelekeza kiaina.... Lakini loh kufika tu kwenye gari huyo naye kafika
Nikamkatalia kupanda lakini timbwili alilofanya pale aliishia polisi mabatini
Pale Cafe la Tino alidai ana mimba yangu halafu najifanya kumtoroka, hiyo mimba atalea na nani? Duu![]()
![]()
.... Siku hiyo nilikuwa nimeingia cha shoga wallah
Kwa hasira nikamwambia kama kweli una mimba yangu mimi nitakufa ila kama hata kama unasema uongo na hatufahamiani kabisa basi utakufa!
Alikaa mahabusu Ijumaa ile mpaka jumatatu nilipoenda kufuta kesi... Alifariki ijumaa ya wiki ile aliyotoka selo! Alilala getho la Igogwe akiwa mzima.. The next day jumamosi ilikuwa zamu yake kufanya usafi, wenzake walipojaribu kumuamsha alikuwa wa juzi![]()
![]()
..... Nilipata habari kwa meneja na nikatoa mchango wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaani
Mkuu hapa ninacheka yaani ndoa ya dakika 5 na mimba juu
alikuwa desperate mwe! Ukimkuta wa hivi ni live or die!! Mi nshamgongea LIKE, nadhani inatosha kutuokoa sisi wawiliYaaani
Nisaidie kumwambia namsalimia...
Afadhali babu... Tuwe makini tuu jamaniiMi nshamgongea LIKE, nadhani inatosha kutuokoa sisi wawili
Inabidi nikate mazoea kabisa hata siwezi ku quotes nyuzi zako tusije tukagombana bure.
nimejikuta nacheka kwa sauti kama mjingaNaahidi kukulinda...Afadhali babu... Tuwe makini tuu jamanii
Naomba nikuulize mshana ukijibu vizuri itakuwa vema ila usipo nijibu bas huna budi kufuta huu Uzi sio lazima lakini.Unahisi ni kwa nn alikufa? Ni baada ya ww kumwambia vile au?Imepita miaka mitano sasa lakini bado nakumbuka hili tukio
Ilikuwa ni mchana mmoja siku ya ijumaa nilikwenda bar ya Igongwe pale Mwenge karibu na vinyago kupata lunch
Kufika pale nikahudumiwa na binti mgeni hata wa kuhudumia, ndani ya nususaa alikuwa keshaniambia historia yake yote lakini wakati huohuo akiwa keshagonga safari 3,
Nilibaki pale mpaka saa kumi muda aliosema anatoka huku nikiwa nimeshamaliza mzinga wa konyagi... Alikuwa kanihoji na mimi kama ni mwenyeji mitaa ile nikamdanganya nikamwambia mimi mgeni
Baada ya hapo tukaondoka kuelekea Cafe la Tino si mbali sana kutoka pale
Cha ajabu na cha kushangaza kufika pale akajifanya amelewa na mimi ni mpenzi wake.. Mbele za rafiki zangu akawapa cheo cha mashemeji
Kugundua hili nikaamua kumtelekeza kiaina.... Lakini loh kufika tu kwenye gari huyo naye kafika
Nikamkatalia kupanda lakini timbwili alilofanya pale aliishia polisi mabatini
Pale Cafe la Tino alidai ana mimba yangu halafu najifanya kumtoroka, hiyo mimba atalea na nani? Duu![]()
![]()
.... Siku hiyo nilikuwa nimeingia cha shoga wallah
Kwa hasira nikamwambia kama kweli una mimba yangu mimi nitakufa ila kama hata kama unasema uongo na hatufahamiani kabisa basi utakufa!
Alikaa mahabusu Ijumaa ile mpaka jumatatu nilipoenda kufuta kesi... Alifariki ijumaa ya wiki ile aliyotoka selo! Alilala getho la Igogwe akiwa mzima.. The next day jumamosi ilikuwa zamu yake kufanya usafi, wenzake walipojaribu kumuamsha alikuwa wa juzi![]()
![]()
..... Nilipata habari kwa meneja na nikatoa mchango wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mnooo...Naahidi kukulinda...
Ikibidi tufe wote tu... maana hamna namna tenaAsante mnooo...

Ni lazima tukufwe wote babu... Kaka Mshana ukimloga babu na mieee nloge tuu maana hamna namna ingineIkibidi tufe wote tu... maana hamna namna tena