Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,520
- 830,033
- Thread starter
- #81
Sikumsubiria ilikuwa ndani ya ratiba zangu akajichomekaUlimsubiria wa nini mpaka muda wake wa kutoka baa ufike,alafu ukakubali kuondoka nae.
Ila mbele ya safari anajitambulidha kama demu wako unaogopa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app