Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

Kuna kijana alikuja kupata huduma ofisini kwetu akawa amechukua namba yangu yeye ana ofisi yake huko town anauza viatu vya kike.

Mwanzoni alikuwa mpole tukawa tunawasiliana vizuri tu, kwa vile ana ofisi yake nikajua atanipa ushauri mzuri wa biashara na kujiajiri hivyo nikawa nimemuamini, na kumchukulia kama kaka au rafiki wa kiume.

Ikatokea siku akanialika kwake nikitoka kazini, kwakuwa siyo mbali na ofisini kwetu nilivyotoka nikaenda, tukakaa tukapiga story tukala chakula, baada ya hapo nashangaa mtu mara anisogelee atake kunishika, akaninyanyua kanipeleka chumbani weee hapa nilibadilika nikawa mbogo, maana mimi sikujia hayo mambo iweje atake kunibaka bila ridhaa yangu kisa nimekuja kwake ndiyo aone kuwa nimekubali kila kitu.

Tulivutana sana hiyo siku nakumbuka, mimi hadi nimefura kwa hasira ndiyo kumlazimisha akanipeleka home maana ana usafiri wake, tangu hiyo siku nimetoka sijapokea simu yake wala kujibu meseji zake, nimemuona ni mwanaume wa hovyo sana tangu lini mapenzi yakalazimishwa? Mwache mwanamke akupe kwa kuridhia mwenyewe.
Unakumbuka ndio mana umekuja kumuanzishia uzi hapa.

Huo mzigo ni wake Tu wewe dada mzuri.
 
Sio "soprano" kweli hii?
Wanawake bwana. Hapo unaongea tu kujichetua ila kuna sehemu ya nafsi yako inasema angekupa pesa na mtaji ungemuachia aichape.

Shida ninayoiona kwa wanawake wa kisasa ni umalaya. Hutoi mkiwekewa dau zuri mezani mnagawa mzigo bila mazungumzo na ndo maana mnaliwa sana nje ya ndoa ila hapa unajifanya story za misimamo kubabake.

Kuna series moja hivi ya mafia wa kiitalia mob boss, akamchana kijana wake m'moja aliyekuwa anataka kuzingua kwasababu ya mapenzi alikuwa anataka kutemana na kundi akaanze life lake mwenyewe,mzee akamwambia unamengi sana kujifunza kuhusu wanawake.

Akamwambia mwambie aje halafu nitakuonyesha unadeal na kiumbe gani. Jamaa akamualika demu wake dinner nyumbani kwa yule boss wake.

Wakiwa mezani mzee akamwambia demu una mpango gani na life lako,demu akasema nataka kuishi na mshikaji,mzee akamuuliza tena unampango gani na maisha yako,demu akasema tena ni kuishi na mshikaji, mzee akaweka begi la dollar laki tano, akamwambia demu hizi hela ni za kwako kama una maisha unataka kufanya mwenyewe ukajipange ila kama ni kweli unataka kuishi na mwamba poa komaa nae ila hizi hela sitakupa hata mia.

Demu akasema asante mzee,but mimi nataka kukaa na mshikaji,mzee akaongeza dollar 250,000 juu,demu akamtazama boyfriend wake kwa mashaka huku anatazama hela,mzee akaongeza zikawa one milion, demu akatoa macho kwenye hela huku anamtazama mshikaji wake,mzee akaongeza milioni 2 zikawa tatu kasema huyu kijana kwangu ana thamani sana hii pesa niliyokuwekea mezani ni sehemu ndogo ya thamani ninayoitafuta kwake so ukichukua mimi sioni hasara,ila hasara ni ukiondoka nae,ila sikuzuii.

Mzee akaweka jiwe lingine juu zikawa 4milion demu macho yamemtoka,mzee akasema sawa niwatakie maisha mema,demu akawahi kumkatisha akasema nitazichukua.

Jamaa macho yakamtoka akashangaa demu kabadili gear hewani 😂 halafu demu hakumtazama tena mwamba usoni kwa aibu. Video ikakatikia hapo. Naitafuta nijue ni movie gani ile ila ndio wapuuzi wale kwenye comment ukiuliza hawasemi wapo kimya, na aliyeipost hajatag jina la movie/series wala nini. Inaonekana movie moja kali sana ya kimafia.

Mzee akanyanyuka akasepa zake na glass yake ya wine. Akawaacha mezani demu kainama maana anajua kamzingua mwamba ila moyoni ameona opportunity ya pesa amebadili mawazo.
 
Mimi nimeshangaa sana huyu kijana kwanza anaonekana ana mademu kibao nikajua mimi atanichukulia kama mdogo wake tu loh! Kumbe alikuwa ananipigia mahesabu nikimaliza kula kitimoto anile na mimi
Njoo kwangu tuangalie series ya kikorea
 
Mbuzi na chui pamoja waweza kaa pamoja ?uliyataka umuri huo unaenda kwake? Jifunze ila nawe unaitwa sitaki nataka huyo ni dumeu alikuonyesha kuwa yy dume tungemushangaa kukuacha safii hiyoo
 
Huo mpapaso ungenipiga saa ngapi wakati ukinishika nakutoa mikono
Mi nikipapasa mwanamke huwa akili zinamuhama, nikianza na kukunong'oneza skioni taaaratibu Huku nimekukumbatia Kwa nyuma na mpapaso ukiwa unaendelea jumlisha bembelezo ndo unapoteza na faham kabisa.

Unajikuta nshakunyonya denda na ukuni nshakuzamishia wote.

Mimi mwanamke ukiingia ndani kwangu umeisha, na skuingine utanitafuta mwenyewe.
 
Back
Top Bottom