Mello tunaomba utuweke dubwana la Akili mnemba(AI) ๐คฃ liwe nyuzi kama hizi mtu akiziweka ndani ya sekunde 5 zimeshafutwa na ban ya miezi 6 juu Automatically ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
KUTUJAZIA SERVER BURE SHENZI(In leonardo's voice)๐คฃ ๐คฃ๐คฃ
Kuna Binti mmoja mrembo kuna siku natoka mazoezini nikamfuta bhana nilimuona Akanivutia nikaomba namba akanipatia
Akanitajia majina yake tulivyowasilina
Nikamwambia ninahisiana naye akawa mkali nikampotezea.
Leo kanicheki kaniita dukani kwake nikaenda kaanza kuniambia alinidanganya majina yake then akanipa zawadi ya 3 pair of soksi za mazoezi hapo nifanyeje?