I see,mahusiano mengine hadi uchungu wa hasira unakupata kana kwamba umefanyiwa wewe....but kama umeshakaa normal we hayo achana nayo endelea na yako na uatapata mwingine anayejali hisia zako
Pole Sana!safari bado ni ndefu still unahesabu semester,watu wanasomesha wanaachwa,wananunua magari wanaachwa wanajenga nyumba(Ufoo Saro)wanaachwa!kama hii ni safari basi wewe Ndio kwanza gari inasumbua kuwaka bado huko mbele kuna kujaza fuel,traffic,Milima mabonde hata ajali na kifo hivyo usiumie sana endelea na maisha mwanaume hazeeki check Hapo chuo kitoto 1st year endeleza mapenzi.
kusema utakuja kusahau hilo jambo ni uongo..swala la kusamehe na kusahau halipo kamwe..unless uwe chizi...unaweza kusamehe ila sio kusahau..kuhusu huyo dada nakushauri umtafutie adhabu moja nzuri tu...isiyovunja sheria za nchi
Hivi kwanini wadada wanaamua kufanya hivi??
Mimi nataka nimroge akose ndoa yake afu arudi kwangu na mimi nimkatae.. Ili ajue uchungu ulivyo
Mbona nililala nae a week b4 ndoa? Ww umechukua mke au mazaga??
They say "The best revenge is to forgive" japo si rahisi kihivyoooo
Pole aiseee uzuri Mungu kaweka kusahau utasahau tu
Kaka nakuelewa..Adhabu gani unahis inamfaa huyu??
Kaka nakuelewa..Adhabu gani unahis inamfaa huyu??
Mimi sikupi.pole ila nakupa hongera.kwakuepuka mzigo.mzito kama huo mungu bado anamapenzi na wewe kwanza shukuru.mungu kwakuligundua hilo mapema ila nitakulaumu kwa mambo makuuu mawili au matatu 1,ulikuwa unampenda huo dem kupita kiasi hilo ni kosa kubwa kulionyesha hasa ukiwa mwanaume,2,umri wako na huyo demi kama aulingani mnatofautiana mwaka mmoja au miwili tu hilo ni kosa kwakutegemea kuoa mtu unaelingana kwake alikuona anakuzidi social life experience,3,uliruhusu kila kitu chako kuwa wazi kwake nakufanya yeye kuweza kukulinganisha na wasaka nia wenzio hivyo wewe kura zako hazikutosha,4,wanawake wanakitu kinaitwa intutive knowlegde yawezekana ulikua hauonyeshi kama unania ya dhati yakumuoa,mwisho achana nae wala usilipize tafuta mtu mwingine ila kunatatizo naliona kwako bado haujawajua wanawake vizur ebu tafuta wasichana wawili au watatu kwanza ndio uoe maana yawezekana huyo alikuwa msichana wako wa kwanza utanikosoa pale nilipoteleza asante