mlemavu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Mtwara-Ahukumiwa kwenda jela miaka 18 kwa kusugua uume wake sehemu ya haja kubwa ya mlemavu

    Mahakama ya Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara imemuhukumu kifungo cha miaka 18 jela Yusuph Twalibu Msindo maarufu kama Baba Amina (40) mkulima, mkazi wa Kijji cha Njinga Kata ya Ndanda, Tarafa ya Chikundi, Wilaya ya Masasi baada ya kukiri kosa na kupatikana na hatia ya shambulio la aibu Kamanda wa...
  2. cacutee

    JamiiForums Tanzania Nilimpa namba kwa huruma, kumbe ana heka heka

    Guys hope mko Salama. Kwenye pitapita zangu za utafutaji kuna omba omba mmoja ni mlemavu wa miguu. Yani ni wale mikono ni miguu na miguu imelegea kabisa haina kazi...anatembelea wheelchair kwa kusukumwa na ndugu yake. Sasa huyu mhitaji alikuwa anafika kila siku kupata huduma maeneo...
  3. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Jana akiingia Bungeni akiwa sambamba na Didier Drogba alionekana anatembea kwa shida sana

    Jana akiingia Bungeni akiwa sambamba na Didier Drogba alionekana anatembea kwa shida sana. Wengine waliohusika na kumshambulia Lissu walishakufa kama Magufuli, je naye huyu ndiyo adhabu yake imeanza? Mwenye video aiweke
  4. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Marekani: Maafisa wa Federal Agents Wavunja Gari na Kumvuta Mwanamke Mlemavu kwa Nguvu na Kumtia Mbaroni

    Video hii inaonesha maafisa wa shirikisho wa Marekani (federal agents) wakimvuta mwanamke kutoka kwenye gari lake kwa nguvu huko Minneapolis, huku mwanamke huyo akipaza sauti akisema kuwa ni mwenye ulemavu, wakati wakimtia mbaroni. Tukio hilo limetokea umbali wa mabawa machache tu kutoka pale...
  5. Replica

    JamiiForums Tanzania Mahakamani: Aliyemchoma mkewe kwa magunia mawili ya mkaa anatajwa kuwa mlemavu wa akili

    RIPOTI kutoka Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili, Mirembe imeeleza kuwa mfanyabiashara Khamis Luwonga (38) anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa wakati anafanya tukio hilo la mauji alikuwa ana shida ya akili. Taarifa hiyo, imetolewa leo...
  6. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kituo kwa mtoto mlemavu

    Wasalaam Kuna jambo linamiumiza kichwa nimeshindwa hata kulala usiku huu nikaona niwashirikishe humu Historia ya Charles David Mtoto huyu ambae nimepata kufahamiana na mama yake kwa zaidi ya miaka 7 hivi. Kwa majina anaitwa Charles David. Hakuzaliwa na ulemavu, alipata ulemavu wa mwili na...
Back
Top Bottom