Nilimfanya kitu mbaya mgoni wangu, naweza samehe mke

Nilimfanya kitu mbaya mgoni wangu, naweza samehe mke

Tena si ajabu huyo mtoa taarifa ndiye aliyemshawishi mke wake awe na mahusiano nje ya ndoa yake. Katu asijiite rafiki maana angekuwa rafiki angemshauri aache na angemtunzia siri.

Mtoa taarifa anacheza kokote apate anachotaka!
 
We huko ulaya uliwafanya wangapi maana miaka miwili kukaa bila kufanya wakati ulipokuwa naye kila siku ulikuwa ukimpa huduma

Hata mimi siwezi kaa mwezi
 
akili ya mleta uzi ni ndogo sana km ubongo wa sisimizi,maana hajui mambo ya msingi na ukweli na usahihi wa kuwa na mke.hata tukimpa ushauri stahiki hawezi kuubeba.maana yy anadhani faraja na adhabu ya mgoni ni kufanya alivofanya wakati si kweli.hana akili na kifua cha kukabili changamoto ktk njia stahiki.maisha haishii kwa kuwaadhibu kidhambi dhambi wanaotuudhi maana haiondoi maumivu unayopata kwa kutendewa ubaya.km unamtoto subiri akue afu uje umsimulie au ajue ulilofanya utaona km hatakuita baba mjinga na japo mama ake ana kosa atamheshimu kuliko ww.
 
Usirudie kosa. Uliyenaye sasa ni chaguo kutoka kwa mungu. Histoshe anajuwa huko vizuri ndio maana anajilesi kwako tena. Kama alikusaliti basi fahamu hata kukuhuwa angeweza. Achana naye
 
una roho ya ajabu sana japo hatutakiwi kuhukumu, yani unamfanyia ukatili mgoni wako kisa katembea na mkeo...ungekuwa na akili ungemuuliza kwanza mkeo na sio huyo mgoni...na hujui alipo yote ni wewe na kama alijiua basi we ndio chanzo...una mambo ya ajabu sana ,,,na isitoshe aliyetoa taarifa ndio uko naye,,,,nyie wote walewale....
 
Mwamuzi wa mwisho ni wewe ulokutwa na hili janga. Km ni mimi hapo sirejeshi mtu moyoni.
 
Aiseee kuna mambo Duniani.
Kwaupande wangu achana na
wote.
Lo masikini mgoni ulimpa adhabu
stahili.
 
Wagoni wengi...wanashughulishwa na matokeo ya tatizo lakini hawajali mzizi wa matatizo kwenye ndoa zao....katika maisha ya ndoa hatupaswi kuyadharau matatizo ambayo kimtazamo wa juu tunaweza kuyaona kuwa ni madogo lakini yana madhara makubwa sana...malalamiko ya mwenzi wako ndani ya nyumba si ya kuyapuuza hata kidogo...wazee walisema usipo ziba ufa basi iko siku utajenga ukuta....hayo mambo huwa hayatokei tuu hivi hivi...huwa kuna mahali yanaanzia lakini huonekana kama vile hayana madhara....kwa kuendekeza ubabe ndani ya nyumba mwanaume huivunja ndoa yake yeye mwenyewe....
 
Siku zote huwa napinga suala la mwanamke kufanya kazi...ukitazama kwa jicho la tatu utakuta kuwa ndoa nyingi ambazo wenzi wanafanya kazi hazina furaha bali zina utulivu wa watu wawili waishio pamoja....utakuwaje na furaha wakati mkeo anapokea amri mbili kwa wakati mmoja...utakuwaje na furaha ndani ya ndoa wakati humpati mkeo kwa wakati isipokuwa bosi wake ndio anampata kwa wakati....furaha ya ndoa itatoka wapi wakati unamaliza miaka hujawahi kula alichokipika mkeo bali muda mwingi unaitumia na dada wa kazi aliyechukua nafasi ya mkeo...??
Kiasili mwanamke ni kiumbe dhaifu sana....yeye ni pambo la nyumba na liwazo kwa mumewe pindi arudipo mahangaikoni....wimbi la kuongezeka kwa taraka miaka ya hivi karubuni linaenda sambamba na vitendo vya wanawake kudai usawa katika usawa ambao kiuhalisia haupo na hta wao wenyewe wanalijua hilo....
 
Huyo mwanamme alikosa nini hata ukamfanya hivyo? kama mbaya ni huyo shoga'ke uliyekuwa nae leo. Usikute hata uhusiano na huyo kijana mwengine aliupanga yeye kama ni kisa cha kweli.

Hii hadithi kama ya kutunga tu siiamini sana. Isiishie kwa kuombewa na wachungaji tu.
 
wewe mleta mada ni mzinzi zaidi. huyo mgoni wako kwa ulichomtendea si sawa kwani yaweza ikawa yeye hakujua kua mkeo kashaolewa. pili huyo kuwadi wako ni chui kwani yawezekana anajua mipango yote ya familia yako ndiyo maana hata siku ya fumanizi akajua leo wanakutana na yaweza ikawa yeye ndiye aliyeshawishi siku hiyo wakutane. je na wewe nikikushika na huyo mke wangu nikufanye nini? maana yeye anajua umeoa na anajua kisa cha kuachana kwenu.
 
wewe mleta mada ni mzinzi zaidi. huyo mgoni wako kwa ulichomtendea si sawa kwani yaweza ikawa yeye hakujua kua mkeo kashaolewa. pili huyo kuwadi wako ni chui kwani yawezekana anajua mipango yote ya familia yako ndiyo maana hata siku ya fumanizi akajua leo wanakutana na yaweza ikawa yeye ndiye aliyeshawishi siku hiyo wakutane. je na wewe nikikushika na huyo mke wangu nikufanye nini? maana yeye anajua umeoa na anajua kisa cha kuachana kwenu.

mleta mada anajidanganya kuwa yy ni kidume mbabe wakati ni dhaifu wakhed
 
Huyo mwanamme alikosa nini hata ukamfanya hivyo? kama mbaya ni huyo shoga'ke uliyekuwa nae leo. Usikute hata uhusiano na huyo kijana mwengine aliupanga yeye kama ni kisa cha kweli.

Hii hadithi kama ya kutunga tu siiamini sana. Isiishie kwa kuombewa na wachungaji tu.

ukweki mtupu umeongea.mi pia siamini hii ni hadithi na km ni kweli basi inatoka kwa mtu dhaifu sana kifikra.
 
naomba msamehe mkeo mrudiane .kosa alilofanya hatarudia tena atakuwa mwaminifu katika ndoa.msamehe
 
Oooppssss hapo njia panda kweli mkuu, ila kama hali ya huruma inakujia.msamehe,.lakini kwa huyu dada rafikiye ongea nae ila mpe zawadi ya shukrani, kama biashara au chochote kikubwa kiwe kama faraja hasa mradi kama asante yake.
Ila mwanamke ushamuhakikishia ndoa hapo ni pagumu kupokea habari ya kurudiana na mkeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom