caxton
Senior Member
- May 8, 2015
- 145
- 157
Hapa naona kama ni zile story za Shigongo za "Angels Of My Heart" yaani dizaini ile ya stories.
Si ukalale!!! Umelazimishwa?
Watoto wengine bana !!
Hapa naona kama ni zile story za Shigongo za "Angels Of My Heart" yaani dizaini ile ya stories.
Umesema ulipiga picha nyingi tu,sasa mbona hujaziweka tuhakikishe?.
Alafu maelezo yako hayajakamilika,maana umesema mgoni wako alichagua kuolewa na sio kupigwa au kukatwa nyeti,pia ukasema akaolewa na hizo njemba ulizoenda nazo,ila katika maelezo yako hukusema kama ulienda na Shekhe au Padri,au hiyo ndoa uliwafungisha wewe??.
Anyway,nice story....u are very creative.
#Analyse
oa uliyenaye, mzinzi achana naye, hao wazazi wasikuzingue hawajakusaidia kubeba maumivu ya mapenzi, kutombewa kunauma bhana
Mimi pia nimemuhurumia sana,sawa alikosea lakini hakustahili kufanyiwa vile jamani,,sijuwi yuko wapi masikini,au ndo ilikuwa mwisho wa maisha yake kwa kujitoa uhai.Aisee Mungu tusaidie.
Ama mrudishe mkeo au oa mwingine lakini si huyo aliyekupa taarifa za mkeo.