MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,318
- 6,411
Kaombe ushauri kwa wazee huku Jamii Forums tatizo lako ni kubwa kuliko umri wa members wote
Ina maana hata mimi pia?
Kaombe ushauri kwa wazee huku Jamii Forums tatizo lako ni kubwa kuliko umri wa members wote
Nashukuru Kwa Maelezo Yako Marefu Japo Point Iko Sehemu Moja Tu Isiyozidi Hata Mstari Mmoja!
oa uliyenaye, mzinzi achana naye, hao wazazi wasikuzingue hawajakusaidia kubeba maumivu ya mapenzi, kutombewa kunauma bhana
Wakuu habari zenu
Miaka 2 iliyopita nilishika mke wangu na jamaa moja hivi
Nilikua nimekwenda kozi ya mwaka mmoja nje ya nchi nilipelekwa na kampuni
Kwa upande wangu nipo njia panda maana huyu mwanamke nilie nae mapenzi yamekolea sana na kwa kweli hana tabia mbaya ingawa kwetu hawamtaki kabisa wanamtaka mzinzi
Na mzinzi amewalisha sumu kwetu kuhusu huyu mwanamke wangu Mpya
Hata hivyo nilimchukua Rafiki Wa wife kulipa kisasi ili aumie kama yeye alivyoniumiza lakini muda ulivyozidi kwenda nikanikuta namzoea na kumpenda pia
Naombeni mawazo yenu
Unaeweza kuitaja na kuielezea?