katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Mke wako ni usimrudie na usio huyo mnafiki wala hakupendi .
Na wanawake mtajifunza lini hakuna rafiki waukweli jamani.

Hivi ni drill au grillNimesoma hii makala yote,on lichogundua kuwa wewe ni jambazi tena mbobezi,maana kama una dawa za kupulizia kufuri na unafungua mpaka drill!!! Wewe ni kibaka tu,kuhusu story yako nakushauri mrudie mkeo tu,maana huyo wa sasa hujamfahamu kiundani na siku ukimfahamu utajuta kumuacha mkeo,,mrudie mkeo tafadhali maana K haina makombo na mgoni wako pia hayupo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena jambazi lililokubuhu haswa! huyo Rafiki wa mkewe si mke mwema kwake, ni vema umrudie mkewe aka mzinzi kama unavyotaka tumjue. Vinginevyo anza mchakato upyaaahakika kupiga jeki mlango, kupulizia kufuli dawa huyu atakua mstahiki jambazi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mtoa mada hajajibu kitu kwenye huu Uzi toka 2015. Pengine mke alimuua.
Hahaaa hivi malaya ni aliyezini au aliyetake advantage ya mzinzi?Yaani huyo malaya uliyenaye sasa hivi alifanya yote hayo lengo umuache mkeo awe yeye
Sent using Jamii Forums mobile app
Anayetamani mume wa malaya nae malaya tuHahaaa hivi malaya ni aliyezini au aliyetake advantage ya mzinzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu habari zenu,
Miaka 2 iliyopita nilishika mke wangu na jamaa moja hivi Nilikua nimekwenda kozi ya mwaka mmoja nje ya nchi nilipelekwa na kampuni.Nikiwa huko wife alianzisha uhusiano usiofaa na staff mwenzie kazini kwao. Taarifa hizi nilizipata toka kwa Rafiki wa karibu wa mke wangu yaani shosti walieshibana na walikua kama ndugu.Nilisubiri nimalize kozi ili nirudi kulishgulikia tatizo hilo maana nilibakiza miezi miwili nimalize kozi ambayo nikimaliza napandishwa cheo.
Baada ya kozi nilirudi Tanzania kimya kimya bila kumwambia wife na kufikia gesti, nikampigia simu Rafiki wa wife akaja akanipa mkanda mzima tukakubaliana mpango wa kumnasa siku nne mbele Rafiki mtu akanipigia simu kwamba leo mgoni anakuja kulala kwako ukikamilisha fumanizi usinitaje.Mchana nikaandaa vijana 4 wavuta bangi walioshiba, nikawaambia kuna 50,000 kwa kila mmoja.
Kwangu nimepanga nyumba nzima yenye Geti, usiku wa saa tatu tulikua tumejificha pale mtaani karibu na nyumbani saa nne jamaa akaja hakupiga honi Geti lilifunguliwa tu jamaa akaingia ndani, taa zilipozimwa tu tukaruka ukuta tukanyata hadi nyuma ya nyumba upande wa master bedroom, kulikua na miguno ya kimahaba.
Tukarudi mlango wa jikoni wale wavuta bangi wakapuliza dawa kwenye makufuli mawili la chini na juu wakaingiza vitu kama spoku kufuli zikaachia, tukafungua grill kwa umakini ilijitokeza kelele kwa mbaali, wakapiga mlango wa mbao jeki ya Gari hadi mwisho mpaka ukafunguka ilijitokeza kelele kidogo ila hawakushtukia.
Tukaenda hadi mlango wa chumbani ambao najua wife huwa hana habari nao mm ndo huwa nafunga huo mlango.Tulipousukuma ukafunguka walikua kwenye doggie style wakashtuka mlango kufunguliwa nikawasha taa haraka nikamwamuru jamaa asichimoe nyeti nikapiga picha kwa simu nyingi tu mke wangu akachukua mashuka kujisitiri.
Wakampiga na ubapa wa mapanga yao akaanza kulia kama mtoto na kuomba msamaha hatarudia tena nami nikamwambia chagua moja kati ya matatu tukuoe, tukuue, au tukukate nyeti zako msamaha haupo.Wakampiga kipigo kitakatifu, mmoja wao akavuta nyeti za mgoni akatishia kama vile anazikata na kisu jamaa alipiga kelele nioeni msinikate nyeti wakamuoa nikachukua picha kibao tu, sikutaka kuita mashahidi wala mjumbe, tukamruhusu jamaa aondoke.
Alikimbia akaacha Gari kwangu, mkewe ndo alilifuata baada ya wiki na hiyo baada ya kutafuta sana details kazini kwao na jamaa hakurudi nyumbani wala kazini hadi Leo ni miaka miwili hajulikani alipo.Wife usiku ule baada ya wavuta bangi kuondoka nilimshushia kipigo cha mbwa Mwizi na kumfungia stoo kesho yake asubuhi nilipomkisha kwao waliniuliza huyo ni nani amekua hivyo?
Nilipoondoka nasikia mama yake alitaka kwenda polisi lakini binti alikataa kata kata.Ikawa ndo mwisho wetu sasa ni miaka miwili imepita, nimeshapona makovu yote, sina tatizo kabisa rohoni nilimsamehe nikaendelea na hamsini zangu.Nikiri tu kwamba mm na yule Rafiki Wa wife somehow somewhere tukajikuta tumekua wapenzi kutokana na faraja aliyonipa katika matatizo yangu.Uhusiano wetu una mwaka na nusu, tumepanga kufunga ndoa pindi taratibu za talaka zinazoendelea mahakamani zikikamilika.
Kilichonileta kwenu kuomba ushauri ni hili kwa karibu miaka miwili sasa mrs amekua akinililia nimrudie, amekuja uso kwa uso mara nyingi tu, ametuma ndugu marafiki na jamaa zetu. Valentine alinunua lundo la zawadi ikiwemo nguo, kadi na vitu mbali mbali na kuniletea kazini na kisha kuniomba msamaha.Kwamba hatarudia tena, kwamba alidanganyika kwa sababu ya umbali tuliokua nap akadai yupo tayari kuacha kazi awe mama Wa nyumbani kama Nina hofu na kazini kwake Ingawa mgoni hakuonekana tena.
Pia ameendelea kushiriki shughuli za nyumbani kwetu kama misiba na harusi, pia likizo ya mwaka Jana December alisafiri kwenda kijijini kwetu kuomba msamaha kwa mama yangu na kuwaangukia wazee na alikaa huko likizo nzima
Mama amenisihi nimsamehe kwa upande wangu nipo njia panda maana huyu mwanamke nilie nae mapenzi yamekolea sana na kwa kweli hana tabia mbaya.
Ingawa kwetu hawamtaki kabisa wanamtaka mzinzi na mzinzi amewalisha sumu kwetu kuhusu huyu mwanamke wangu mpya. Hata hivyo nilimchukua rafiki wa wife kulipa kisasi ili aumie kama yeye alivyoniumiza lakini muda ulivyozidi kwenda nikanikuta namzoea na kumpenda pia.
Naombeni mawazo yenu
Umeamua kutuandikia shairi kabisaMsimjudge yeye sio jambazi yeye ni mtu asiyefikiri kabla ya kutenda .
Mwenye hasira ambaye nimekuwa hasara.
Napia nadhani alioa akiwa ananyegezi nyingi.
So akachukulia uamuzi ambao sio mzuri .
Msimsemee hata nyie mngefanya hivyo.
Basi tu hamjajua chakufanya amesalitiwa.
Ila angekuwa ni mtu mzima kipindi hicho.
Watu wazima hawafumanii wanamwacha mtu kama hajui analetaga humo kitu.
Analala nyumba ya wageni sio kwa mkewe.
Baadae ndio anaita familia anawakalisha anawaambia kuwa huyu ananisaliti sijawaita mtatue naomba aende home akapumzike mimi sijaja kuomba msaada nimekuja kuwa kabidhisha .
Hapo unazo simple ushaidi mesages only tu wakichart au calls unadivert kwa kila kitu messages na nini .
Akibisha unatoa huo ushaidi wanawake wamejaa wazuro wataratibu wenye uelewa umalaya wao ndoto kwa maana wameshapiga mishe mishe za kutosha .
Natatizo la nyie wanaume mnataka kuoa wakina mobeto , beyonce , wanawake wazuri ni shida hawezi mwambia mtu no.
Kweli nawaambia kisa ya ndoa zao.
Halafu ukienda tena njee jaribu kumtafutia mkeo njemba lakuwa naye hadi urudi kwa maana.
Mtu hawezi kaa mwenyewe tu bila kutamani.
Ungekuwa hata unakuja mara moja ai.
mzinzi mzinz tu na msaliti hana alamaWakuu habari zenu,
Miaka 2 iliyopita nilishika mke wangu na jamaa moja hivi Nilikua nimekwenda kozi ya mwaka mmoja nje ya nchi nilipelekwa na kampuni.Nikiwa huko wife alianzisha uhusiano usiofaa na staff mwenzie kazini kwao. Taarifa hizi nilizipata toka kwa Rafiki wa karibu wa mke wangu yaani shosti walieshibana na walikua kama ndugu.Nilisubiri nimalize kozi ili nirudi kulishgulikia tatizo hilo maana nilibakiza miezi miwili nimalize kozi ambayo nikimaliza napandishwa cheo.
Baada ya kozi nilirudi Tanzania kimya kimya bila kumwambia wife na kufikia gesti, nikampigia simu Rafiki wa wife akaja akanipa mkanda mzima tukakubaliana mpango wa kumnasa siku nne mbele Rafiki mtu akanipigia simu kwamba leo mgoni anakuja kulala kwako ukikamilisha fumanizi usinitaje.Mchana nikaandaa vijana 4 wavuta bangi walioshiba, nikawaambia kuna 50,000 kwa kila mmoja.
Kwangu nimepanga nyumba nzima yenye Geti, usiku wa saa tatu tulikua tumejificha pale mtaani karibu na nyumbani saa nne jamaa akaja hakupiga honi Geti lilifunguliwa tu jamaa akaingia ndani, taa zilipozimwa tu tukaruka ukuta tukanyata hadi nyuma ya nyumba upande wa master bedroom, kulikua na miguno ya kimahaba.
Tukarudi mlango wa jikoni wale wavuta bangi wakapuliza dawa kwenye makufuli mawili la chini na juu wakaingiza vitu kama spoku kufuli zikaachia, tukafungua grill kwa umakini ilijitokeza kelele kwa mbaali, wakapiga mlango wa mbao jeki ya Gari hadi mwisho mpaka ukafunguka ilijitokeza kelele kidogo ila hawakushtukia.
Tukaenda hadi mlango wa chumbani ambao najua wife huwa hana habari nao mm ndo huwa nafunga huo mlango.Tulipousukuma ukafunguka walikua kwenye doggie style wakashtuka mlango kufunguliwa nikawasha taa haraka nikamwamuru jamaa asichimoe nyeti nikapiga picha kwa simu nyingi tu mke wangu akachukua mashuka kujisitiri.
Wakampiga na ubapa wa mapanga yao akaanza kulia kama mtoto na kuomba msamaha hatarudia tena nami nikamwambia chagua moja kati ya matatu tukuoe, tukuue, au tukukate nyeti zako msamaha haupo.Wakampiga kipigo kitakatifu, mmoja wao akavuta nyeti za mgoni akatishia kama vile anazikata na kisu jamaa alipiga kelele nioeni msinikate nyeti wakamuoa nikachukua picha kibao tu, sikutaka kuita mashahidi wala mjumbe, tukamruhusu jamaa aondoke.
Alikimbia akaacha Gari kwangu, mkewe ndo alilifuata baada ya wiki na hiyo baada ya kutafuta sana details kazini kwao na jamaa hakurudi nyumbani wala kazini hadi Leo ni miaka miwili hajulikani alipo.Wife usiku ule baada ya wavuta bangi kuondoka nilimshushia kipigo cha mbwa Mwizi na kumfungia stoo kesho yake asubuhi nilipomkisha kwao waliniuliza huyo ni nani amekua hivyo?
Nilipoondoka nasikia mama yake alitaka kwenda polisi lakini binti alikataa kata kata.Ikawa ndo mwisho wetu sasa ni miaka miwili imepita, nimeshapona makovu yote, sina tatizo kabisa rohoni nilimsamehe nikaendelea na hamsini zangu.Nikiri tu kwamba mm na yule Rafiki Wa wife somehow somewhere tukajikuta tumekua wapenzi kutokana na faraja aliyonipa katika matatizo yangu.Uhusiano wetu una mwaka na nusu, tumepanga kufunga ndoa pindi taratibu za talaka zinazoendelea mahakamani zikikamilika.
Kilichonileta kwenu kuomba ushauri ni hili kwa karibu miaka miwili sasa mrs amekua akinililia nimrudie, amekuja uso kwa uso mara nyingi tu, ametuma ndugu marafiki na jamaa zetu. Valentine alinunua lundo la zawadi ikiwemo nguo, kadi na vitu mbali mbali na kuniletea kazini na kisha kuniomba msamaha.Kwamba hatarudia tena, kwamba alidanganyika kwa sababu ya umbali tuliokua nap akadai yupo tayari kuacha kazi awe mama Wa nyumbani kama Nina hofu na kazini kwake Ingawa mgoni hakuonekana tena.
Pia ameendelea kushiriki shughuli za nyumbani kwetu kama misiba na harusi, pia likizo ya mwaka Jana December alisafiri kwenda kijijini kwetu kuomba msamaha kwa mama yangu na kuwaangukia wazee na alikaa huko likizo nzima
Mama amenisihi nimsamehe kwa upande wangu nipo njia panda maana huyu mwanamke nilie nae mapenzi yamekolea sana na kwa kweli hana tabia mbaya.
Ingawa kwetu hawamtaki kabisa wanamtaka mzinzi na mzinzi amewalisha sumu kwetu kuhusu huyu mwanamke wangu mpya. Hata hivyo nilimchukua rafiki wa wife kulipa kisasi ili aumie kama yeye alivyoniumiza lakini muda ulivyozidi kwenda nikanikuta namzoea na kumpenda pia.
Naombeni mawazo yenu
Hapana unajua maisha ndio hayoo.Umeamua kutuandikia shairi kabisa

[/QUOTE
Duh! wagoni mna taabu kweli, jamani mke wa mtu wa sumu