mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,031
Teh, teh why demiSiku nikifumaniwa sithubutu kurudi kwa mume hata Kama amenisamehe.
Hapana aisee, sio kwa fumanizi hilo, sitakuwa na amani maisha yangu yote!
Jamaa ni mkatili sana. Halafu hawazi hata kumuomba msamaha huyo mgoni kwa ubaya wote aliomfanyia. Inawezekana kabisa huyo rafiki wa mke wake ndiye aliunganisha hayo mahusiano akijua atafaidi akishawavuruga. Tuwe na utu. Angeweza tu kuwaachia wagoni wakaondoka baada ya kupata ushahidi kuwa ni kweli.Hapa nimeona mambo kadhaa
1. Level yako ya utu na huruma ni ndogo sana, kwenye hio process yote kama una utu lazima somewhere ungeona huruma, unge-withdraw.
2. Wewe unadhani hustahili adhabu kwa kutoka na rafiki wa mkeo??
3. Ku-cheat ni uamuzi tu, mkeo sio mtoto mdogo kwamba alazimishwe, mwaka mzima uko nje ya nchi unategemea nini??
4. Huyo jamaa inawezekana hata alijiua roho yake itaku-haunt maisha yako yote ama sivo nenda katubu utafute amani.
5. Mapenzi hayana logic, usifanye maamuzi ukiwa na hasira, fikiria matokea ya maamuzi kabla hujatenda.
6. Hata huyu ulienae ukizubaa utachapiwa vile vile, badili mtazamo wako juu ya haya mambo, angalia wapi ulikosea, tumia akili.
Yeah nakuelewa, ni.kweli kabisa. Ila kama mna watoto unavumilia hivo hivo kwa ajili yaoHapana aisee, sio kwa fumanizi hilo, sitakuwa na amani maisha yangu yote!
Tena ukirudi nitakuja kukufanyia malipo ya kisasi kwakua moyo wangu kuna siku utakua unakumbuka usaliti uliowahi kunifanyia. Ni ngumu sana kusahau mabaya uliofanyiwa na mume au mke wako hasa usalitiSiku nikifumaniwa sithubutu kurudi kwa mume hata Kama amenisamehe.
Kweli kabisa, sithubutu mie, namshangaa huyo dada. Ila hayanihusu atajua mwenyeweTena ukirudi nitakuja kukufanyia malipo ya kisasi kwakua moyo wangu kuna siku utakua unakumbuka usaliti uliowahi kunifanyia. Ni ngumu sana kusahau mabaya uliofanyiwa na mume au mke wako hasa usaliti
Mkorintho wa 6
Shoga mtu ndio alichokuwa anakitaka, akuharibie ndoa yako aingie yeye na kafanikiwa.. Hamna ht mmoja wa maana hapo, mara mbili umrudie mkeo. Hiv ingekuwa unamfumania mtu mara moja na kuachwa hv kungekuwa na ndoa zinazodumu miaka na miaka, ni kwasbbu hayo mambo yapo lakn watu husameheana na maisha huendelea..
Kosa moja halimfukuz mke.! Je wew mwenyew ulipokuwa masomon huko hukuwah kuchepuka ht mara moja? hamna aliekamili hvyo kusameheana ni jambo la heri, achana na shankupe huyo, aliemuachisha mwenzie. we unajuaje km huyo ulienae ndio sahihi! hatakaa akusaliti? Piga moyo konde mrudie mkeo km kujuta atakuwa kajuta sn na hatakaa arudie maisha yake yote kwa show uliomuonyesha ulipomfumania.. Mrudie!!
Jamaa ni mkatili sana. Halafu hawazi hata kumuomba msamaha huyo mgoni kwa ubaya wote aliomfanyia. Inawezekana kabisa huyo rafiki wa mke wake ndiye aliunganisha hayo mahusiano akijua atafaidi akishawavuruga. Tuwe na utu. Angeweza tu kuwaachia wagoni wakaondoka baada ya kupata ushahidi kuwa ni kweli.
Unahakika huyu wa sasa ambaye ndiyo unataka uishi naye unadhani hawezi kumegwa? kaka ndoa ni kuvumila kibaya ugonjwa tu, wanadamu ni wajanja sana. Huko masomoni wewe hujawahi kutoka hata na mwanamke? Usaliti kwenye ndoa ni mkubwa na unakuwa kwa kiasi kikubwa sana kuliko unavyofikiria, ukitaka uamini tembelea siku za kazi kwenye Lodge zilizopo mafichoni hasa mijini uone usaliti ulivyo. Ni ndoa chache sana ambazo usaliti haujagusa, kumuacha mkeo sio dawa pia kumrudisha sio dawa, kuoa mwingine sio tiba ya tatizo kikubwa fikiria zaidi familia yako itakuwa katika nafasi gani kama utamuacha mkeo.
Hapa nimeona mambo kadhaa