Nilimfanya kitu mbaya mgoni wangu, naweza samehe mke

Nilimfanya kitu mbaya mgoni wangu, naweza samehe mke

Hii story ya kutunga tu....

1. Haionyeshi mazingira ya mtu mwingine kuishi ndani ya nyumba.
2. Ndani ya dakika chache tayari dog style...kama hakuna mtu na mume yuko ulaya...kusingekuwa na 'cha haraka'
3. Mlango wa mbao utaupigaje jeki ya gari,ungesema grill ndo ilipigwa jeki nitakubali.
4. Jamaa kakimbia asijulikane alipo lakini gari yake ikutwe kwako na bado usiwe na kesi ya kujibu polisi? Yaani familia yake walivyopata gari yakaishia hapo?

Mpaka hapo sijashawishika na mkasa wenyewe.
Great thinker at his best
 
Duuh mshkaji una roho mbayaa aisee,,,,ila ushauri apo ni kua ni bora urudiane na mkeo uyo shosti ake ka-take advantage na wala haitakua busara kufunga nae ndoa,,ila una roho ngumu mnoo aisee
 
Kama story ingekuwa ya ukweli ningekuwa na haya ya kusema

mlango wa mbao haupigwi jeki
familia yake haiwezi kujua gari lipo kwako bila kuambiwa na yeye
kama wangejua ipo kwako kwa kuambiwa na yeye na wakajua mazingira yaliyotokea lazima wangekupeleka polisi
familia isingeridhika kuchukua gari tu bila angalau kupata maelezo jamaa yao yupo wapi
mkeo kama umemuacha hawezi kwenda kwenu akakaa mwezi mzima anaomba msamaha bila wewe kuitwa kwenda huko
reaction ya kwanza mtu akifumaniwa huwa ni kuchomoa kitu sasa hata ukitoa command gani lazima atakuwa ameshachomoa, labda kama ungesema ulimuamuru aichomeke tena
mwanamke mliyeachana kwa miaka miwili hawezi kuwa na ujasiri wa kununua zawadi na kukuletea mbele za watu ofisini, lazima angekupigia simu kukuomba akukute mahali ili akupe zawadi hizo
wanawake huwa ni wachunguzi kwa watu ambao wako interested nao, kwa vyovyote angeshajua upo na shosti yake na angeshakwambia kitu ambacho ungekipost hapa

MIAKA MIWILI JAMAA HAJULIKANI ALIPO, gari alilitelekeza kwako, NA WEWE HATA MWENYEKITI WA SERIKALI YA MTAA (ACHILIA MBALI POLISI) HAJAWAHI KUKUHOJI??? Utakuwa na undugu na Shigongo wewe!!!!!!
 
Naomba nikujibu maswali yako kama ulivyouliza
(1) ulitaka nieleleze kila detail na kila kilichotokea?
Then habari hii ingekua ndefu kuliko Maelezo maana nimeruka vitu vingi mno mno

Mfano Wa vitu nilivyoruka katika huu mkasa ni Maelezo ya polisi, ambayo ni marefu mno niliamua kuyaacha maksudi
Kwa akili ya kawaida msomaji yeyote anafaham fumanizi lazima polisi wahusike sina haja ya kutaja hilo
Mtu mumewe amepotea nyumbani lazima aripoti polisi, je ni lazima nihadthie hilo?

Nimetamka wazi mke wangu na mgoni walikua wanafanya kazi sehemu moja, taarifa za mke Wa mgoni zilipatikana hapo, from there mambo mengine yakaanzia hapo

Na mm binafsi nililipoti polisi taarifa za kumshika mke ugoni

Kwa hiyo ni taratibu nyingi mno zilifanyika kama nilivyosema juu yangekua Maelezo marefu
sana kama ningeweka humu kila kitu

Wakati mwingine una question mambo ambayo hayana formula kama zawadi.
Sasa mke kuniletea zawadi ulitakaje?
Ulitaka niorodheshe Mara zote ambazo mke wangu aliniletea zawadi?

Kwa ufupi tu nime summerize hii habari, ila kama nimekosea kuifupisha na hivyo kupoteza mantiki then am truly sorry and i regret for inconvenience caused

But trust me it did happen
 
in fairy land
 
Huyo rafiki alikuwa anakutamani siku nyingi alikuwa anatafuta point ya kukutenga na wewe umetegeka. Mrudiye mkeo musonge mbele au tafuta mwingine na huyo naye kimeo
 
YOU ARE WEAK! (1)kukodi watu kukusaidia kufumania mali yako (2)kumpga mwanamke (3)kuskiliza maneno ya pemben imagne mtu kutoa siri ya rafk yk wa karbu nawe unamuamn na kutaka kumuoa (4)Unataman kumrudia mkeo alokusaliti yani 2yrs bado hujakata shauri!! REALLY?
 
Wote nyie n waznz,kwan ww n din gan? hv hjui kuwa kumuinglia m2 knyume na maumble n dhamb? NENO LA MUNGU LINAXEMA 'OLE WAO WAFILAJI NA WAZINZ'
Leo unanambia kuwa umetangaza ndoa...nyingne? nakushaur mrudie mkeo na ukatub na yy pia
 
Kwa hiyo mgoni kumuingilia mke wangu ni sawa sio dhambi ila mm ndo dhambi
 
Ndugu
Naomba nikupe mawazo na kwanza nimtangulize Mungu katika hili anisaidie na akusaidie pia. Wanadamu tumeumbwa na dhambi na ndio maana maandiko yanathibitisha kua Mungu husamehe na kusahau matendo maovu na machafu.Lakini katika ulimwengu wa kiroro kuna swala la laana zinazopatilizwa kwa kutoka kizazi hadi kizazi jambo linaloathiri watu wengi saana.Jiulize kama kuna tatizo kama hili katika familia yako au ya x wife wako?Lakini kimsingi Ndoa ni maafikiano ya nafsi mbili na kama alikua mke wako maana yake mliapa mbele za Mungu na usharika na kusema utaishi nae katika shida na raha, dhiki na utajiri, magonjwa na afya n.k. Maana yake ni kwamba Shetani hua anapenda watu waliosimama katika mstari nyoofu maana amepewa mamlaka ya kuzimu sasa huwatatafuta sana ili muwe wake na ndo maana hata mkeo alijawa na vishawishi, itoshe kukushauri kua MSAMAHA NI DHATI YA MOYO YENYE KWELI TUPU na ndio maana Yesu alibeba dhambi za waadamu wote na pale msalabani alimuomba baba Mungu atusamehe maana hatujui tulitendalo, sasa kama wewe unaendaga kanisani au msikitini na unatubu jua toba yako haifiki popote(kwa mujibu wa imani) maana wewe hujasamehe waliokukosea na hivyo ili utakasike ni lazima usamehe na kutubu.KAka hapa duniani hakuna mtimilifu na Mungu hukataa uafiki na ndio maana mnafiki ni zaidi ya mchawi. Kama kweli shemeji yako alikua na nia nzuri msingekua wote kimahusiano hata kufikia kutaka ndoa, jiulize, kwanini alikuambia?kama alimpenda mke wako kwanini hakumsihi aache?ushawahi kuhisi pengine uyo shemeji alihusika kumkuwadia huyo mkeo kwa jamaa?Unajua ni kwa kiasi gani wanawake wanahitaji ndoa na wanahuzunika marafiki wakiwa ndani ya ndoa wakati wao hawana hata mchumba?
Samehe, sali sana Mungu akupe uwezo wa kusahau pia, kabla ya kuchukua hatua mtu mmoja alisema "kabla yakuachana na mkeo au mumeo kwanza fikiria nyakati zenu za furaha.."
FORGIVE AND FORGET WELCOME BACK YOUR WIFE AND LET LOVE LEAD AMONG YOURSELVES IN JESUS NAME.. AMEN
 
FORGIVE AND FORGET WELCOME BACK YOUR WIFE AND LET LOVE LEAD AMONG YOURSELVES IN JESUS NAME.. AMEN[/QUOTE

Thanks for ur advice
 
Wakuu habari zenu,

Miaka 2 iliyopita nilishika mke wangu na jamaa moja hivi Nilikua nimekwenda kozi ya mwaka mmoja nje ya nchi nilipelekwa na kampuni.Nikiwa huko wife alianzisha uhusiano usiofaa na staff mwenzie kazini kwao. Taarifa hizi nilizipata toka kwa Rafiki wa karibu wa mke wangu yaani shosti walieshibana na walikua kama ndugu.Nilisubiri nimalize kozi ili nirudi kulishgulikia tatizo hilo maana nilibakiza miezi miwili nimalize kozi ambayo nikimaliza napandishwa cheo.

Baada ya kozi nilirudi Tanzania kimya kimya bila kumwambia wife na kufikia gesti, nikampigia simu Rafiki wa wife akaja akanipa mkanda mzima tukakubaliana mpango wa kumnasa siku nne mbele Rafiki mtu akanipigia simu kwamba leo mgoni anakuja kulala kwako ukikamilisha fumanizi usinitaje.Mchana nikaandaa vijana 4 wavuta bangi walioshiba, nikawaambia kuna 50,000 kwa kila mmoja.

Kwangu nimepanga nyumba nzima yenye Geti, usiku wa saa tatu tulikua tumejificha pale mtaani karibu na nyumbani saa nne jamaa akaja hakupiga honi Geti lilifunguliwa tu jamaa akaingia ndani, taa zilipozimwa tu tukaruka ukuta tukanyata hadi nyuma ya nyumba upande wa master bedroom, kulikua na miguno ya kimahaba.

Tukarudi mlango wa jikoni wale wavuta bangi wakapuliza dawa kwenye makufuli mawili la chini na juu wakaingiza vitu kama spoku kufuli zikaachia, tukafungua grill kwa umakini ilijitokeza kelele kwa mbaali, wakapiga mlango wa mbao jeki ya Gari hadi mwisho mpaka ukafunguka ilijitokeza kelele kidogo ila hawakushtukia.

Tukaenda hadi mlango wa chumbani ambao najua wife huwa hana habari nao mm ndo huwa nafunga huo mlango.Tulipousukuma ukafunguka walikua kwenye doggie style wakashtuka mlango kufunguliwa nikawasha taa haraka nikamwamuru jamaa asichimoe nyeti nikapiga picha kwa simu nyingi tu mke wangu akachukua mashuka kujisitiri.

Wakampiga na ubapa wa mapanga yao akaanza kulia kama mtoto na kuomba msamaha hatarudia tena nami nikamwambia chagua moja kati ya matatu tukuoe, tukuue, au tukukate nyeti zako msamaha haupo.Wakampiga kipigo kitakatifu, mmoja wao akavuta nyeti za mgoni akatishia kama vile anazikata na kisu jamaa alipiga kelele nioeni msinikate nyeti wakamuoa nikachukua picha kibao tu, sikutaka kuita mashahidi wala mjumbe, tukamruhusu jamaa aondoke.

Alikimbia akaacha Gari kwangu, mkewe ndo alilifuata baada ya wiki na hiyo baada ya kutafuta sana details kazini kwao na jamaa hakurudi nyumbani wala kazini hadi Leo ni miaka miwili hajulikani alipo.Wife usiku ule baada ya wavuta bangi kuondoka nilimshushia kipigo cha mbwa Mwizi na kumfungia stoo kesho yake asubuhi nilipomkisha kwao waliniuliza huyo ni nani amekua hivyo?

Nilipoondoka nasikia mama yake alitaka kwenda polisi lakini binti alikataa kata kata.Ikawa ndo mwisho wetu sasa ni miaka miwili imepita, nimeshapona makovu yote, sina tatizo kabisa rohoni nilimsamehe nikaendelea na hamsini zangu.Nikiri tu kwamba mm na yule Rafiki Wa wife somehow somewhere tukajikuta tumekua wapenzi kutokana na faraja aliyonipa katika matatizo yangu.Uhusiano wetu una mwaka na nusu, tumepanga kufunga ndoa pindi taratibu za talaka zinazoendelea mahakamani zikikamilika.

Kilichonileta kwenu kuomba ushauri ni hili kwa karibu miaka miwili sasa mrs amekua akinililia nimrudie, amekuja uso kwa uso mara nyingi tu, ametuma ndugu marafiki na jamaa zetu. Valentine alinunua lundo la zawadi ikiwemo nguo, kadi na vitu mbali mbali na kuniletea kazini na kisha kuniomba msamaha.Kwamba hatarudia tena, kwamba alidanganyika kwa sababu ya umbali tuliokua nap akadai yupo tayari kuacha kazi awe mama Wa nyumbani kama Nina hofu na kazini kwake Ingawa mgoni hakuonekana tena.

Pia ameendelea kushiriki shughuli za nyumbani kwetu kama misiba na harusi, pia likizo ya mwaka Jana December alisafiri kwenda kijijini kwetu kuomba msamaha kwa mama yangu na kuwaangukia wazee na alikaa huko likizo nzima
Mama amenisihi nimsamehe kwa upande wangu nipo njia panda maana huyu mwanamke nilie nae mapenzi yamekolea sana na kwa kweli hana tabia mbaya.

Ingawa kwetu hawamtaki kabisa wanamtaka mzinzi na mzinzi amewalisha sumu kwetu kuhusu huyu mwanamke wangu mpya. Hata hivyo nilimchukua rafiki wa wife kulipa kisasi ili aumie kama yeye alivyoniumiza lakini muda ulivyozidi kwenda nikanikuta namzoea na kumpenda pia.

Naombeni mawazo yenu

Umelala! Jamaa anakulia migomigo ipo siku utajuta!
 
Nashukuru Kwa Maelezo Yako Marefu Japo Point Iko Sehemu Moja Tu Isiyozidi Hata Mstari Mmoja!

point zenyewe hapa tu...
Wakuu habari zenu,

jamaa alipiga kelele nioeni msinikate nyeti wakamuoa nikachukua picha kibao tu, sikutaka kuita mashahidi wala mjumbe, tukamruhusu jamaa aondoke.

Kilichonileta kwenu kuomba ushauri ni hili kwa karibu miaka miwili sasa mrs amekua akinililia nimrudie, amekuja uso kwa uso mara nyingi tu, ametuma ndugu marafiki na jamaa zetu.

watu wengine sijui mmeshikiwa akili......!!!!!
 
Ukweli ni kwamba unatakiwa upigiliwe msalabani mchana kweupe kama vile walivyomfanyia Yesu Mnazareti na usipewe ule msamaha wa Baraba. Si kwamba tu ulimdharirisha mwanaume mwenzio, ila ulianzisha ugomvi wa malipizo kwa miaka mingi ijayo. Kutamba kwako kwa leo sawa ila dhambi hii yaweza kupatilizwa hata vizazi vyenu vya tano hadi vya nane. HUTKUTUMIA BUSARA KAMA AMBAVYO HUJATUMIA BUSARA KUZINI NA SHEMEJI YAKO NA KISHA KUTAMBA MBELE YA UMMA ETI MLIMUOA MWANAUME NA UKIMWITA MKEO MZINZI.

Kama uliyemtoa nduki ni mwanaume halisi na kama alipona, siku akikubamba, muombe kabla hajamaliza kisasi chake akuachie muda wa kuja hapa jf utuambie sala yako ya mwisho itakuwaje.
 
Kwani hata hizo nguvu za kurudi kumtafuta jamaa anazo
Achana na kufumaniwa
Si ajabu alienda kujiua
 
Hapa naona kama ni zile story za Shigongo za "Angels Of My Heart" yaani dizaini ile ya stories.
 
Back
Top Bottom