Nilikuwa namnongoneza mdomoni..!

Nilikuwa namnongoneza mdomoni..!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,438
Chico_Marx.jpg

Kwa wale wanaosoma sana habari za wababe na watu waliokuwa na sifa zenye kuumiza miili na hisia wa hapa duniani, bila shaka wameshawahi kukutana na jina la Chico Marx. Huyu jamaa, ambaye alizaliwa mwaka 1891 na kufariki hapo mnamo mwaka 1961 alikuwa na makusudi mawili tu ya kuja kwake hapa duniani. Kwanza wanawake kwa fujo na pili, kamari kwa kufuru. Siku moja alifumaniwa na mkewe akimbusu mwanamke. Mkewe alipokuja juu, Marx alimwambia, "unapiga kelele bure, sikuwa ninambusu, nilikuwa namnong'oneza mdomoni……!"

kissing.bmp

I wasn't kissing her, I was whispering in her mouth

Ni utetezi mzuri eh…..!
 
@Mtambuzi jaribu ufumwe na Mama Ngina then umwambie 'I wasn't kissing her, I was whispering in her mouth' uone huo moto wake.

Huyu jamaa alikuwa ni bonge la msanii, unaambiwa enzi zake alisumbua sana maana alikuwa ni bingwa wa kujichanganya na wanawake utadhani kojoleo lake linamuwasha.........
Mtambuzi, kuna makojoleo mengine huwa yanakuwa n amatawi. Naona jamaa alikuwa na bidhaa yenye matawi pia
 
Last edited by a moderator:
@Mtambuzi jaribu ufumwe na Mama Ngina then umwambie 'I wasn't kissing her, I was whispering in her mouth' uone huo moto wake.

Mie ningemwambia nilikuwa namfanyia CPR (I wasn't kissing her I was just applying cardiopulmonary resuscitation[FONT=arial, sans-serif] (CPR))[/FONT]
 
Huyu jamaa alikuwa ni bonge la msanii, unaambiwa enzi zake alisumbua sana maana alikuwa ni bingwa wa kujichanganya na wanawake utadhani kojoleo lake linamuwasha.........

huwa naambiwa vikojoleo vyenu vinaakisi mwanga haraka vinapoona skirt au skinjeans imekatisha machoni au ni ulongo.
 
kwikwikwikwikwi hii nayo kali.
Acha udaku, mtoto kwa kupenda kusoma udaku wewe na ndio maana kwa room yako umejaza magazeti ya Chogongo ya Kiu, Ijumaa, nk.............
 
Acha udaku, mtoto kwa kupenda kusoma udaku wewe na ndio maana kwa room yako umejaza magazeti ya Chogongo ya Kiu, Ijumaa, nk.............

hayo ndo yenyewe bila udaku umbea utapigaje mjini hapa, babu weh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom