alikuwa anatimiza maandiko ya zaeni mkaijaze dunia!Huyu jamaa alikuwa ni bonge la msanii, unaambiwa enzi zake alisumbua sana maana alikuwa ni bingwa wa kujichanganya na wanawake utadhani kojoleo lake linamuwasha.........
![]()
Kwa wale wanaosoma sana habari za wababe na watu waliokuwa na sifa zenye kuumiza miili na hisia wa hapa duniani, bila shaka wameshawahi kukutana na jina la Chico Marx. Huyu jamaa, ambaye alizaliwa mwaka 1891 na kufariki hapo mnamo mwaka 1961 alikuwa na makusudi mawili tu ya kuja kwake hapa duniani. Kwanza wanawake kwa fujo na pili, kamari kwa kufuru. Siku moja alifumaniwa na mkewe akimbusu mwanamke. Mkewe alipokuja juu, Marx alimwambia, unapiga kelele bure, sikuwa ninambusu, nilikuwa namnongoneza mdomoni !
![]()
I wasn't kissing her, I was whispering in her mouth
Ni utetezi mzuri eh ..!
Bazazi hivyo vyote ulivyotaja (ligi na ugomvi) mie siviwezi na ndio maana nikasema "leeloooo" kama mtoto anayehofia kichapo baada ya kuvunja glass. Halafu kweli ndio nithubutu kukutusi? Kwani sijipendi? Na nikiingalia hiyo sigara unayovuta, shades, kofia na jinsi ulivyonyanyua kola ya koti ndio kabisaaaa, natamani niseme "SHIKAMOO KAKA BAZAZI"! Lol!
Na nikiingalia hiyo sigara unayovuta, shades, kofia na jinsi ulivyonyanyua kola ya koti ndio kabisaaaa, natamani niseme "SHIKAMOO KAKA BAZAZI"! Lol!
Mnh! Sina utani naye katu! Mie niliandika bazazi ya kitabia kumbe ni jina la mtu! Leeloooooooo!
Hahaaaaa
Utetezi wa ajabu sana.
Ina kera, nahisi mkewe alimwacha kwa uwongo huu
amna bana mnatakiwa mkiona hivyo ujue kumbe mumeo anapendwa.... ujisifie na umshauri asiende tena huko njee
Upendo wa kushare nani anataka?
One love, me tu..