Nilikuwa namnongoneza mdomoni..!

Nilikuwa namnongoneza mdomoni..!

Ulijifunzia wapi kusifu, hata kama sifa hizo ni za Kibaradhuli?
Hongera mwaJ kwa kuyaweza majigambo;

Umenifanya nicheke baada ya kununa nilipouona kwanza waraka unaodaiwa ni wa wanauamsho.
Shame on them all.

Bazazi!

Jamani yaani ina maana mie baradhuli?!! Ila ni bora kama nimekufanya ucheke maana hapo ninakuwa na uhakika there is peace and I'm safe!
 
kuna wakati ulindika asiye na mwana aeleke jiwe hukujua pia kama ni jina langu amaaa??

Ukikutwa gafla unaweza amkia shikamoo nke wangu, shetani alinipitia gafla nikajikuta tayali...

Kuna rafiki yangu alikutwa na kondom akaulizwa vipi mbona unatembea na ndomu wakati humu ndani hatutumii akasema nilipita kwenye promosheni ya PSI...... itaendelea

Sasa kwani wewe hupendi kuelekwa? Mie nilikuwa nakutafutia watu wa kukubeba wewe unalalamika.
 
labda mkewe ni wale blondes,akaona huo utetezi utamtosha lol....hii kali mzee Mtambuzi:A S angel:
 
Hello mtani wangu...kweli tumepotezana kama rupia ya India, kila mtaa ninaojaribu kukusaka naishia kuona vumbi tu, mbio zote za wapi hizo mtani???

SANTEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
miss yu mingi!hebu ukipita mitaa ile drop me something
 
Hello mtani wangu...kweli tumepotezana kama rupia ya India, kila mtaa ninaojaribu kukusaka naishia kuona vumbi tu, mbio zote za wapi hizo mtani???

hebu nisake mtaa wa hewani mtani!lol!
hizi mbio hiiiiizi!
 
hebu nisake mtaa wa hewani mtani!lol!
hizi mbio hiiiiizi!

heheheh...mtani nitakucheck baada ya masaa kama mawili hivi, hapa nilipo kuna reception mbovu sana ya netiweki, sijui utakuwa ushamaliza kusahihisha Zoezi la Maumbo na Mafumbo??
 
heheheh...mtani nitakucheck baada ya masaa kama mawili hivi, hapa nilipo kuna reception mbovu sana ya netiweki, sijui utakuwa ushamaliza kusahihisha Zoezi la Maumbo na Mafumbo??

wanafunzi wa kujibu maumbo na mafumbo wako wapi mtani!lol bora ukinipta eneo la angani naweza nikapata ahueni!manake naumwa tumbo hapa mwenzio!
 
Back
Top Bottom