Nilikopesha mwanamke, najuta sana...

Ushauri wangu kama ni marafiki mmeivana na hamnaga upuuzi wowote mwite mkae meza moja jieleze(aibu weka pembeni) naamini kama ni mtu mzimah anajielewa utapata hela yako
 
Laki na nusu mwanamke alishindwa rudisha miezi 8 mwisho wa siku nikamfata namkuta yupo na kanga moja na sio mke wa mtu
Kilichofata piga mambo mazito na mimba juu siku ilele baada ya mwaka mtoto kazaliwa mimi
 
Kwanini ukopeshe mwanamke asiye eleweka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…