Nilikopesha mwanamke, najuta sana...

Mkuu inamaana haujui namna ya kuidai hiyo pesa. Unafeli wapi, kama unategemea utalipwa hard cash pole sana
 
Hahahaha wewe kweli ni mtoto! Kiufupi wewe hiyo hela uwezi lipwa kamwe! Mbona rahisi sana kupata mbususu hiyo tena kwa huyo mliozoeana atakuamini kabisa! Sema upewe mbinu!

Kamwe upewi hiyo hela kama ukilipwa hiyo hela basi mimi nitakuongezea elfu therathini!
 

Na kama mwanamke hajamvutia jamaa inakuaje ale mbususu.
Kuna wanawake wengine ukikutana nao huwezi hata kumuangalia mara mbili sembuse kuwaza mbususu
 
Utalipwa kwa kupewa mbususu
 
Kama kiwango Cha pesa hukitaji vingine umevitaja vya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…