Nilikamatwa na Polisi na kufichwa Kituo kilichopo Dar kwa siku tatu bila kula nikipewa vitisho

Akikupa hennessy akufire??Mana nasikia wapenda Sana kinywaji hicho kuna ka ukweli mkuu???
 
Hapo wewe huna tofauti na mtu aliyetekwa na majambazi wakadai. β€˜Ransom’ toka kwako au la wakumalize, polisi wajitafakari upya. Ila pia, kama huyo jamaa yupo, mtumie majambazi a wewe wakamle kiboga, hivi why mnakuwa walegevu hivi?
 
Kwa nini unabisha?
Halijakukuta
Tupo na ushuhuda
Yapo yanatendeka
Mahabusu Magereza ni zaidi ya jehanamu duniani kote
Swala la ulawiti lipo sio hiyari ya mtu
Mleta mada ameeleza lililomkuta wewe upo hapa kumpangia lililomkuta na ambaoo halikumkuta
Mshukuru Mungu wewe halijakukuta
Kuweni na huruma

Ni vizuri kuweka wazi Ufanyike mchakato wa kupunguza ukatili huu magerezani na mahabusu
 
"Nilikaa lockup na vibaka hao (niliponea chupu kubakwa na nikawaahidi kuwapa hela ndio wakaniacha kidogo wanishughulikie, Polisi wao hawana muda)" πŸ§πŸ§πŸ§πŸ§πŸ§πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ€·πŸΏβ€β™‚οΈπŸ€·πŸΏβ€β™‚οΈπŸ€·πŸΏβ€β™‚οΈπŸ€·πŸΏβ€β™‚οΈπŸ€·πŸΏβ€β™‚οΈπŸ€·πŸΏβ€β™‚οΈ
 
"Aliniuliza una milioni 20 kwenye gari nikuachie au niruhusu ushughulikiwe na hao vibaka, niliumia sana nilitamani geti lifunguliwe nimrukie nimtafune hata meno na aliniambia hivyo mbele ya Polisi."
πŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ˜²πŸ˜²πŸ˜²πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜₯
 
Nabisha kwa sababu si kweli,

Mambo yasiwe mengi, una ushahidi ni gereza gani umeshuhudia au kuna ushuhuda wa mahabusu kuliwa tako kwa lazima?

Unawajuwa KM? Umewahi kusikia show show ukiacha ile ya Papaa Mobimba ya Koffi? Unazijuwa ndonga?

Anayefilwa jela ni msenge tangu mtaani kwake alikosa tu jukwaa la kutolea tako.

Unadhani mambo yangekuwa kama tunavyotaka kuaminishwa mtu kama Ole Sabaya ingekuwaje?

Ila ukweli usiopingwa wala kubishaniwa ni kweli mahabusu zote za Polisi na magereza ni sehemu za hovyo pasipostahili binadamu kufika huko.

Ukiweza kumaliza vimeo vyako bila kufikishana Polisi nashauri watu wafuate option hiyo, lakini iwe na fair play tu.
 
Kuna muda ukiona watu ni vichaa au wanaugua magonjwa ya ajabu basi ujue kuna kitu.
Yaani unifanyie ukatili huo nitoke nikuache??? Hata Mungu atanilaumu, malipo lazima tulipane hapahapa duniani huko kwa Mungu ni hesabu tu. Kisasi chake anaweza kukiamua Yesu kama atawahi kurudi.
 
pole sana mkuu, nita comment na kukushauri zaidi utakapomalizia hii Sagga!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…