EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,610
- 21,468
Ulivhokuwa unaona aibu nini,mboo ya mchungaji halafu aibu unaona wewe,ningekuwa mimi ninekugundua unaionea aibu ningekusogezea karibu uione kwa ujirani zaidi
Kwamba ungeinjoi au?Nimebaki mdomo wazi
Natamani ningekuwa kwenye hilo kanisa.
Sasa hapo kuna ka dame kamempa uroda MC na kapo hapo kanisani, na MC kakumbuka mechi!
Mkaipata maana na sababu ya wengine kuvaa kanzu wawapo ibadani?Jumapili iliyopita nikasema niende zangu kanisani.
Ibada ilikua nzuri ilibamba.
Changamoto ikaja muda wa neno mchungaji kapanda madhabahuni fresh tu, neno lilienda ikafika muda hata kipofu angeona suruali kwa mbele ikawa imetuna.
Binafsi niliona aibu kama vile pale mbele nimesimama mimi.
Nikawa naangaza macho kwa waumini wenzangu huku nasoma mawazo yao kama wanaona ninachoona mimi.
Nilichogundua wote walikua wanaona.
Nikawa naomba mahubiri yaishe haraka ili mchungaji ashuke lakini ndo hivyo wachungaji wetu wa kilokole wanahubiri si chini ya dakika 40.
Doh!!! Poleni..Hawavai
Ndo maana madhehebu mengne wanavaa, waliliona hili la mleta mada mapema.Doh!!! Poleni..
Wangekuwa wanavaa zingewastiri changamoto kama hizo..
Utapangia mzunguko wa damu?Shida inasimama wakati gani?
Kinaitwa podiumKwanza najua kunakuwa na kile sijui kikabati kinamziba mnamuona nusu tu, kuanzia kifuani kwenda juu
simjui namfahamu.Baba yangu wa kiroho unamjua?
nilishakuambiaga nina mashaka na ulokole wako, mlokole gani unajibu hv?Nenda ukamwambie