Nilihuzunika sana na mchungaji wangu

Nilihuzunika sana na mchungaji wangu

Nilicho Gundua mleta mada anachangdha kijiji, hakuna mchungaji anaye weza kudidinsha mbele ya kadamnasi. Tena wakati anatoa neno.
 
Jumapili iliyopita nikasema niende zangu kanisani.
Ibada ilikua nzuri ilibamba.

Changamoto ikaja muda wa neno mchungaji kapanda madhabahuni fresh tu, neno lilienda ikafika muda hata kipofu angeona suruali kwa mbele ikawa imetuna.

Binafsi niliona aibu kama vile pale mbele nimesimama mimi.
Nikawa naangaza macho kwa waumini wenzangu huku nasoma mawazo yao kama wanaona ninachoona mimi.
Nilichogundua wote walikua wanaona.

Nikawa naomba mahubiri yaishe haraka ili mchungaji ashuke lakini ndo hivyo wachungaji wetu wa kilokole wanahubiri si chini ya dakika 40.
Ulilowana?
 
kwahiyo mahubiri ya mchungaji yakahamishia hisia na mawazo yako kimwili na kiroho huko chini right?

ulitamani au uliona aibu kuexpose tamaa yako?

kuingia mbinguni inahitaji maandalizi na bidii sana kiroho na kimwili ndugu zangu, vikwazo ni vingi humu duniani, na inafaa vituongezee imani na sio kututumbukiza dhambini kwa mawazo na matendo :1Head:
 
Changamoto ikaja muda wa neno mchungaji kapanda madhabahuni fresh tu, neno lilienda ikafika muda hata kipofu angeona suruali kwa mbele ikawa imetuna.

Binafsi niliona aibu kama vile pale mbele nimesimama mimi.
Nikawa naangaza macho kwa waumini wenzangu huku nasoma mawazo yao kama wanaona ninachoona mimi.
Nilichogundua wote walikua wanaona.
Wewe ni KE au ME?
 
Back
Top Bottom