ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 21,072
- 77,999
Jumapili iliyopita nikasema niende zangu kanisani.
Ibada ilikua nzuri ilibamba.
Changamoto ikaja muda wa neno mchungaji kapanda madhabahuni fresh tu, neno lilienda ikafika muda hata kipofu angeona suruali kwa mbele ikawa imetuna.
Binafsi niliona aibu kama vile pale mbele nimesimama mimi.
Nikawa naangaza macho kwa waumini wenzangu huku nasoma mawazo yao kama wanaona ninachoona mimi.
Nilichogundua wote walikua wanaona.
Nikawa naomba mahubiri yaishe haraka ili mchungaji ashuke lakini ndo hivyo wachungaji wetu wa kilokole wanahubiri si chini ya dakika 40.