Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 4,026
- 7,718
Hapa ndio shida ilipoanziakabisa najiona naelekea huko maana nilikuwa namuamini 100% lakini imani imebaki 0% najuta hata kwanini nilienda kwenye sms dah
Lkn
Kuna kitu hakipo sawa kuhusu huyo mwanamke,,,si kweli kwamba alikuwa anaachika ndani ya miezi mitano kisa hakushika mimba hapana nakataa,,kipindi cha kumuacha mwanamke kisa hajashika mimba ni kidogo mno walau ingefika mwaka hata miaka miwili
Huyo ni malaya aliyekubuhu,,just imagine anaolewa na ww lkn anamuita mtu mwingine mume na anamnasibisha huyo jamaa na mtoto wako
Kosa lako kubwa ni kudharau ishara uliyoiona ktk msg,,,ilitosha kabisa kufanya maamuzi magumu
Sikwambii umuache hilo lipo katika mamlaka yako