Nilidhani ni story kumbe Kweli

Kwenye ndoa zetu hizi za digital mbona ni mambo ya kawaida kwa sasa...ila mchepuko ukivunja hapo ndio mwisho wa kuniona...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Huyo demu anampenda mshikaj na inaonekana ndo kwanza anayaingia mapenz na hana michepuko mingne,siku akiwa na michepuko mingne hatakua na time na simu za wanaume coz ukianza kuchati na mchepuko wako nayy anamtamfuta mchepko wake wanayamaliza
 
Hapana hiyo huja na hasira,unajua hasira zikizidi unaweza hata kujiua mwenyewe! Cha msingi shuka tu omba msamaha siyo kuwa mbabe,utasikia mademu wangu ndiyo,mara simu kwanini umeshika?....
Ndo univunjie simu yangu...na maisha yalivyomagumu haya...ebu tuwe serious..ukinikamata na cheat wewe lia tu nitakuonea huruma nitaacha but usijaribu kuleta vurugu kwa kujifanya baunsa
 
Hapana hiyo huja na hasira,unajua hasira zikizidi unaweza hata kujiua mwenyewe! Cha msingi shuka tu omba msamaha siyo kuwa mbabe,utasikia mademu wangu ndiyo,mara simu kwanini umeshika?....
Duh hasira za kuvunjiana vitu...but kuna watu sio wa kuwaletea hizoo...hivi unamletea mkurya hayo mambo unategemea nini...si mtaishia kubadilishana majengo ya serikali
 
HahahaAaaa
Nimekumbuka mbali...
Niliwahi vunja simu ya mtu
Akaniangalia tu
Ila kuvunja simu haisaidii
Cha msingi tafuta furaha yako...
 
Huyo demu anampenda mshikaj na inaonekana ndo kwanza anayaingia mapenz na hana michepuko mingne,siku akiwa na michepuko mingne hatakua na time na simu za wanaume coz ukianza kuchati na mchepuko wako nayy anamtamfuta mchepko wake wanayamaliza
Ni kweli kabisa...!
 
HahahaAaaa
Nimekumbuka mbali...
Niliwahi vunja simu ya mtu
Akaniangalia tu
Ila kuvunja simu haisaidii
Cha msingi tafuta furaha yako...
duuh jamaa ako alijikaza sanaa[emoji23][emoji23][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…