Nilidhani ni story kumbe Kweli

Siwezi kukubishia sana coz inategemea ntu na ntu....kwa mimi nikihisi tu kuchapiwa lazima niondoke na sigeuki nyuma kamwe sasa kwa ambaye nimeprove kachapwa narudije kwa mfano....inahitaji ushujaa kuendelea kubaki na mwanamke ka huyo
Teh we wasema
 
Na mm kiroho safi navunja na yake tu basi sote tucheze gemu la nyoka
 
Nilikuwa na hasira na huwa sijali nikikasirika.... Alinipiga vibaya mnooo nakwambia nusu nife.... Ilifikia stage alinibana nikashindwa kupumua sijui nilipata wapi nguvu ya kusema "unaniuwaaa" akaniachia
Duh! Pole sana...Bila shaka hiyo simu alikuwa na uchungu nayo sana kuliko wewe.
 
Hazikua hasira nahisi, ila ulijaribu kupima maji kwa miguu miwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…