Nilichomfanya Mama Mkwe nadhani hatokisahau kwa muda mrefu

Nilichomfanya Mama Mkwe nadhani hatokisahau kwa muda mrefu

Faiza hata wewe!?
Ingekuwa mara moja sawa unaweza sema ana tatizo,lakini mara kwa mara au kila siku! Huko ni kukosa heshima kama mzazi.
Kakosea kuona kuwa ni makosa mama mzazi kumpigia mwanawe simu usiku.

Ni ujinga wa hali ya juu kabisa
 
Exactly! Jamaa kamuonea tu Mama wa watu! Kosa linguine jamaa na mkewe wanattombama mapema sana! Kosa la 3 why simu hawakuzma kuepeusha "INTERFERENCE" mbona tunazima simu kwenye ibada?

Hopeful amekuskia mtoa mada ila kwa jinsi alivyoongea bila kumtaja jina sidhani kama amekosea mkuu ingawa ametumia maneno makali sana
 
Wewe tatizo lako umeanza kugegedwa toka una miaka 9 ndo maana unajiita mzee....ni sawa lakini .kama umeolewa na mtu ambaye amekuzidi 30+ years huwezi kuwa wa kawaida. Mama yako kakulea miaka 9 tu ukaenda lelewa na mume mtu mzima.sasa unahangaika na vijana.

Msioheshimu mama mnazidi kujitokeza.

Nafahamu, tatizo lako na la mleta mada linalingana, hamkulelewa na mama zenu.

Msioheshimu mama mnazidi kujitokeza. Nafahamu, tatizo lako na la mleta mada linalingana, hamkulelewa na mama zenu.
 
Huyo faiza najua tatizo lake anapenda sana vijana sababu kaolewa na mzee.hata hajielewi.
Mama mkwe kila mara anapiga simu usiku. Mke ashaambiwa mara kadhaa kuwa si heshima mama yake kuongea naye usiku saa tano tupo kitandani. Haelewi... Toka last time hajapiga tena simu usiku. So imesaidia sana.sometime the only way which helps is the harsh way



Faiza hata wewe!?
Ingekuwa mara moja sawa unaweza sema ana tatizo,lakini mara kwa mara au kila siku! Huko ni kukosa heshima kama mzazi.
 
Wewe tatizo lako umeanza kugegedwa toka una miaka 9 ndo maana unajiita mzee....ni sawa lakini .kama umeolewa na mtu ambaye amekuzidi 30+ years huwezi kuwa wa kawaida. Mama yako kakulea miaka 9 tu ukaenda lelewa na mume mtu mzima.sasa unahangaika na vijana.
Nafahamu ndiyo wale wale tu. Sikushangai.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 nmecheka sana. Aisee... Hii kitu sometime nasoma nashangaa huwa huyu gudume ni nani mi mwenyewe kuna kipindi nashindwa kumwelewa.

GuDume, I salute you, hakika wewe ni General Galadudu wa jeshi la Mabaharia Shupavu.
Pokea military salute ya mizinga 42.
akawa hoi kasambaza tu miguu hivi kama chura aliyekufa barabarani.
 
Inaonekana kabisa Mzee wewe ni under age kwanza mama mkwe ameshajua wewe ndio ulimtukana mana kasoma humu.
 
La Madame,
Mbona yupo sahihi huyo😋
Hayupo sahihi hata kidogo.

Kwa sababu hawezi kujuwa huyo mama nini kinampitia wakati huo, halafu saa nne au tano za usiku siyo usiku wa kukera mtu. Na hata iwe saa nane za usiku, bado, mama ni mama tu. Hakuna sauti njema duniani kama ya mama.
 
dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mimi sikushangai... Nafahamu ndo wale wale wapo wengi tu wamejaa.siyo mpya [emoji16][emoji16][emoji16]. Usipotibu hizo stress zako zitakufikisha mikononi mwa mabaharia wa nchi kavu....
 
Wewe tatizo lako umeanza kugegedwa toka una miaka 9 ndo maana unajiita mzee....ni sawa lakini .kama umeolewa na mtu ambaye amekuzidi 30+ years huwezi kuwa wa kawaida. Mama yako kakulea miaka 9 tu ukaenda lelewa na mume mtu mzima.sasa unahangaika na vijana.
blaza inaonekana unamjua vizuri huyu ajuza [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hayupo sahihi hata kidogo.

Kwa sababu hawezi kujuwa huyo mama nini kinampitia wakati huo, halafu saa nne au tano za usiku siyo usiku wa kukera mtu. Na hata iwe saa nane za usiku, bado, mama ni mama tu. Hakuna sauti njema duniani kama ya mama.
Umeambiwa imekuwa ni kawaida.
Sasa kalitafuta acha alipate tu😋
 
Hapo kwenye avatar ni wewe? Naomba geukia huku kwangu?
Hopeful amekuskia mtoa mada ila kwa jinsi alivyoongea bila kumtaja jina sidhani kama amekosea mkuu ingawa ametumia maneno makali sana
 
Back
Top Bottom