Nilichomfanya Mama Mkwe nadhani hatokisahau kwa muda mrefu

Girl. What is the meaning of falcuty? You take some english words you have from some people and put them together. You enforce yourself to some men who dont even give a shit about you. Why dont you just wipe your ass and sleep? 😁😁😁😁😁
What a hocus pocus!
 
We kenge ni aina ya vivulana mnaofugwa.Ushuzi mtupu!
 
Huu Uzi upo humu JF
Ilizuka tu tabia usiku saa nne tupo kitandani na wife mama mkwe anapiga simu aongee na mwanaye. Nmevumilia kama miezi kadhaa hivi. Ilikuwa inanikera maana sometime tunafanya warm up mara simu inaita wife utamsikia "mama huyo sijui ana shida gani ngoja nimsikilize"

Tatizo mama mkwe mumewe alifariki so yupo single right now na inaonekana ameshasahau hata maadili ya mida ya kuwasiliana na mtoto wake aliyeolewa.

Jana akapiga simu saa tano.bahati nzuri muda huo ilikuwa ni half time.wife akapokea ile simu nikasikia sauti ni ya mama mkwe. Nlikwazika sana. Saa tano unampigia mtu simu unataka nini na mtu mwenyewe ni mke?Nikaongea kwa sauti kubwa.

"Hivi ni nani ambaye hana akili kiasi hicho anakupigia simu wewe mke wa mtu mida hii?maana sidhani kama huyo rafiki yako ana heshima na anafahamu maana ya ndoa.mida hii ya wanandoa kutombanah yeye anapiga simu why naye asitafute wa kumtombah awe busy aache wanandoa wa enjoy?"

Wife alikata simu haraka na kung'aka ... "Hayo maneno umeongea unajua nlikuwa naongea na mama na amekusikia?"

Nlimjibu kwa utulivu kabisa. "Acha uongo, mama hawezi kuwa na mambo ya kipuuzi akupigie simu saa tano na anajua wewe umeolewa mpige stories.mimi huwa namwona ana hekima ni mtu mzima.usimsingizie tabia za kishenzi kama hizo"

Wife aliishiwa nguvu kabisa akawa anatembeza tembeza tu macho kama mgonjwa wa dege dege. Nlimwambia hiyo ni tabia ya watu wasio staarabika.mimi binafsi kuwasiliana na mke au mume wa mtu mwisho saa mbili na nusu usiku. Na hapo iwe ni lazima sana.otherwise si kesho ipo?

Wamama wa siku hizi hawana maadili kabisa.hawaheshimu ndoa za watoto wao. Wanatujengea tabia mbaya sana. Maana kuna siku nlikuwa napiga show saa nne na nusu simu ya wife inaita kuangalia jina ni la mama mkwe na namba yake.nikapokea nikampa huku naendelea kupiga show na yeye anahema sana.

Akakata simu.tumemaliza akampigia.baadaye anaomba tena nimtombeh...nikamwambia ameshanikata stimu.hakujifunza lakini la jana nadhani atakuwa amejifunza yeye na mama yake pia.
 
Mama mkwe alikosea,lakini njia uliyoitumia si sahihi.
Ulipaswa umweleze mkeo juu ya kero hiyo,huwezi kutatua tatizo kwa kutumia njia isiyo sahihi...bali utakuwa umeongeza tatizo.
 
Mbona wengine show inapigwa mchana.. Sio lazima usiku
Ilizuka tu tabia usiku saa nne tupo kitandani na wife mama mkwe anapiga simu aongee na mwanaye. Nmevumilia kama miezi kadhaa hivi. Ilikuwa inanikera maana sometime tunafanya warm up mara simu inaita wife utamsikia "mama huyo sijui ana shida gani ngoja nimsikilize"

Tatizo mama mkwe mumewe alifariki so yupo single right now na inaonekana ameshasahau hata maadili ya mida ya kuwasiliana na mtoto wake aliyeolewa.

Jana akapiga simu saa tano.bahati nzuri muda huo ilikuwa ni half time.wife akapokea ile simu nikasikia sauti ni ya mama mkwe. Nlikwazika sana. Saa tano unampigia mtu simu unataka nini na mtu mwenyewe ni mke?Nikaongea kwa sauti kubwa.

"Hivi ni nani ambaye hana akili kiasi hicho anakupigia simu wewe mke wa mtu mida hii?maana sidhani kama huyo rafiki yako ana heshima na anafahamu maana ya ndoa.mida hii ya wanandoa kutombanah yeye anapiga simu why naye asitafute wa kumtombah awe busy aache wanandoa wa enjoy?"

Wife alikata simu haraka na kung'aka ... "Hayo maneno umeongea unajua nlikuwa naongea na mama na amekusikia?"

Nlimjibu kwa utulivu kabisa. "Acha uongo, mama hawezi kuwa na mambo ya kipuuzi akupigie simu saa tano na anajua wewe umeolewa mpige stories.mimi huwa namwona ana hekima ni mtu mzima.usimsingizie tabia za kishenzi kama hizo"

Wife aliishiwa nguvu kabisa akawa anatembeza tembeza tu macho kama mgonjwa wa dege dege. Nlimwambia hiyo ni tabia ya watu wasio staarabika.mimi binafsi kuwasiliana na mke au mume wa mtu mwisho saa mbili na nusu usiku. Na hapo iwe ni lazima sana.otherwise si kesho ipo?

Wamama wa siku hizi hawana maadili kabisa.hawaheshimu ndoa za watoto wao. Wanatujengea tabia mbaya sana. Maana kuna siku nlikuwa napiga show saa nne na nusu simu ya wife inaita kuangalia jina ni la mama mkwe na namba yake.nikapokea nikampa huku naendelea kupiga show na yeye anahema sana.

Akakata simu.tumemaliza akampigia.baadaye anaomba tena nimtombeh...nikamwambia ameshanikata stimu.hakujifunza lakini la jana nadhani atakuwa amejifunza yeye na mama yake pia.
 
Pamoja na ujinga ulio nao nimejifunza kitu hapo. Hata kama huyo mama mkwe ni mjane, hastahili kupiga sim za usiku kwa mwanaye mke wa mtu. Tendo la ndoa halikuandikiwa muda muafaka bali tumeambiwa; Hata kama nakula ikiwezekana ikaage humo humo huku mnakula. Nadhani mtanielewa ila sim za usiku sio sahihi
 
Ilizuka tu tabia usiku saa nne tupo kitandani na wife mama mkwe anapiga simu aongee na mwanaye. Nmevumilia kama miezi kadhaa hivi. Ilikuwa inanikera maana sometime tunafanya warm up mara simu inaita wife utamsikia "mama huyo sijui ana shida gani ngoja nimsikilize"

Tatizo mama mkwe mumewe alifariki so yupo single right now na inaonekana ameshasahau hata maadili ya mida ya kuwasiliana na mtoto wake aliyeolewa.

Jana akapiga simu saa tano.bahati nzuri muda huo ilikuwa ni half time.wife akapokea ile simu nikasikia sauti ni ya mama mkwe. Nlikwazika sana. Saa tano unampigia mtu simu unataka nini na mtu mwenyewe ni mke?Nikaongea kwa sauti kubwa.

"Hivi ni nani ambaye hana akili kiasi hicho anakupigia simu wewe mke wa mtu mida hii?maana sidhani kama huyo rafiki yako ana heshima na anafahamu maana ya ndoa.mida hii ya wanandoa kutombanah yeye anapiga simu why naye asitafute wa kumtombah awe busy aache wanandoa wa enjoy?"

Wife alikata simu haraka na kung'aka ... "Hayo maneno umeongea unajua nlikuwa naongea na mama na amekusikia?"

Nlimjibu kwa utulivu kabisa. "Acha uongo, mama hawezi kuwa na mambo ya kipuuzi akupigie simu saa tano na anajua wewe umeolewa mpige stories.mimi huwa namwona ana hekima ni mtu mzima.usimsingizie tabia za kishenzi kama hizo"

Wife aliishiwa nguvu kabisa akawa anatembeza tembeza tu macho kama mgonjwa wa dege dege. Nlimwambia hiyo ni tabia ya watu wasio staarabika.mimi binafsi kuwasiliana na mke au mume wa mtu mwisho saa mbili na nusu usiku. Na hapo iwe ni lazima sana.otherwise si kesho ipo?

Wamama wa siku hizi hawana maadili kabisa.hawaheshimu ndoa za watoto wao. Wanatujengea tabia mbaya sana. Maana kuna siku nlikuwa napiga show saa nne na nusu simu ya wife inaita kuangalia jina ni la mama mkwe na namba yake.nikapokea nikampa huku naendelea kupiga show na yeye anahema sana.

Akakata simu.tumemaliza akampigia.baadaye anaomba tena nimtombeh...nikamwambia ameshanikata stimu.hakujifunza lakini la jana nadhani atakuwa amejifunza yeye na mama yake pia.

Komeo la chuma = roho ya chuma.

Ulishindwaje kumuambia mkeo kabla juu ya jambo hilo ili naye amueleze mama yake (mkweo) juu jambo hilo badala ya kuongea lugha ya kifedhuli dhidi ya mkweo mbele ya mwanaye huku mkweo akikusikia??!!😱😱
 
Mbona umeirudia hii?

Back
Top Bottom