Nilichomfanya Mama Mkwe nadhani hatokisahau kwa muda mrefu

Nilichomfanya Mama Mkwe nadhani hatokisahau kwa muda mrefu

Hivi saa nne ni Usiku?? maana wengine Usiku ni kuanzia saa saba hivi na kuendelea.
 
mkuu Kwa baharia mm nina wasiwasi huyo atakuwa ex wake amemsave mama mkwe .fungua macho mama mkwe hawezi piga cm mida hiyo.
 
Hii inamaanisha hii aina ya mama mkwe wapo wengi katika jamii
Sio lazima watujazie humu
Hii ingekuwa comment tu kwenye Uzi uliopita kwani ni lazima kila kitu kipostiwe humu?
 
Wewe ndio huna akili.

Alafu wanawake wakiwadharau wanaume wa sampuli yako unaanza kuwaona wabaya.

Mbinu uliyotumia ni mbaya. Ni mbinu wanaotumia watu waliovuka mipaka ya upumbavu ambao wengi hawaufikii mstari huo. Kwa hili naweza kukupongeza kufikia level ya juu ya Upumbavu.

Ulishindwa kumkalisha mke wako kumwambia kuwa ni marufuku kuongea na Mtu baada ya muda fulani. Au mkiwa mpo faragha?

Kama ni kuongea ulishindwa kumwambia asipokee simu. Akifanya hivyo zaidi ya mara tatu huyo anayempigia(mama yake) ataelewa kuwa mwanaye muda huo aidha amelala au Hataki kupokea simu.

Huyo mwanamke tegemea mabadiliko yasiyo yalazima kuanzia muda huo ulioongea upumbavu wako.

Mwanamke ili akuheshimu sio lazima uwe na pesa bali uwe na akili za kiume. Sasa unakuwa na akili ya kuku utegemee kesho na kesho kutwa ukiwika atetee kama mtetea. Thubutu
 
Mleta mada yupo sahihi lakini kumtukana mama mkwe amekosea.
Ametukana indirectly.....
Aisee inaboa sana wenye tabia hizo mjirekebishe! Siyo tu huyu na wale wenye tabia ya kwenda kwa watu bila taarifa muache.....
 
Ni sawa amekosea, ila hata mke hakujua kama Mr anajua aayeongea mama ....
Mkwe asipomuelewa litakuwa ni tatizo lake,ila sasa hajirekebishe kama ameumia!
 
Exactly! Jamaa kamuonea tu Mama wa watu! Kosa linguine jamaa na mkewe wanattombama mapema sana! Kosa la 3 why simu hawakuzma kuepeusha "INTERFERENCE" mbona tunazima simu kwenye ibada?
Kwa mantiki hii mke ndoanamakosa kwa kupokea simu mda wa kazi sio mama mkwe
 
Wala simlaumu, popoyo ni mama mkwe maana ilishatokea kwann arudie tena
Msioheshimu mama mnazidi kujitokeza. Nafahamu, tatizo lako na la mleta mada linalingana, hamkulelewa na mama zenu.
 
Kwani ukiwa una weka simu silent wakati wa majambozi utapata kisukari au??
 
Why so serious?
Uislam unatufumdisha kuwa pepo yetu ipo chini ya nyayo za mama zetu. Pia tunafundiahwa hatupaswi hat kusema "umf" kwa mama zetu.

Inaudhi sana unapoona mtu anadharau mama, iwe wake au wa mwenzake.
 
Ndiyo dear! Yaani hara kama hujaolewa hiyo si mida mizuri kuongea hata na rafiki zao, labda kama mnajuana vizuri akwambie leo yupo alone....
Nilifundishwa hivi na mchumba ndiyo Mr now mpaka leo sijasahau!
Cc:Feysher
 
Back
Top Bottom