Nilichomfanya Mama Mkwe nadhani hatokisahau kwa muda mrefu

Nilichomfanya Mama Mkwe nadhani hatokisahau kwa muda mrefu

Nadhani ungeongea na mkeo kwa hekima na busara halafu yeye ndo angeenda kuongea na mama yake pia kwa hekima na busara ili wapange muda muafaka wa kuwasiliana usioleta bugudha katika ndoa yenu, uliongea kwa hasira lakini hasira zimekuisha na maneno yamebaki.
Umejishushia heshima kwa mama mkwe wako hata Kama alikuwa akikosea wewe umemkosea zaidi.
 
Girl. What is the meaning of falcuty? You take some english words you have from some people and put them together. You enforce yourself to some men who dont even give a shit about you. Why dont you just wipe your ass and sleep? 😁😁😁😁😁

Something important is missing in your mental falcuty,",Emotional intelligence" that prompt your immaturity behavior.
 
Heshima yangu ipo pale pale.nadhani sasa tutaheshimiana zaidi.maana kama nlishaongea kistaarabu kwa mtoto wake hakuelewa. Na pia elewa heshima yangu haipandishwi na kushushwa na mtu.ni mimi mwenyewe. Ninayo ukijiheshimu ntakuheshimu.usipo sitakuheshimu

Nadhani ungeongea na mkeo kwa hekima na busara halafu yeye ndo angeenda kuongea na mama yake pia kwa hekima na busara ili wapange muda muafaka wa kuwasiliana usioleta bugudha katika ndoa yenu, uliongea kwa hasira lakini hasira zimekuisha na maneno yamebaki.
Umejishushia heshima kwa mama mkwe wako hata Kama alikuwa akikosea wewe umemkosea zaidi.
 
Heshima yangu ipo pale pale.nadhani sasa tutaheshimiana zaidi.maana kama nlishaongea kistaarabu kwa mtoto wake hakuelewa. Na pia elewa heshima yangu haipandishwi na kushushwa na mtu.ni mimi mwenyewe. Ninayo ukijiheshimu ntakuheshimu.usipo sitakuheshimu
Sawa komeo la chuma
 
Ilikua umweleze mkeo kuhusu hili jambo na sio njia uliyoitumia mkuu.

Kumbe unaelewa kabisa Mama mkwe anapitia kipindi kigumu na changamoto za ujane lakini umeamua kumvunjia heshima kwa makusudi kabisa.
Kama haelewi mimi nifanyeje labda
 
Ilizuka tu tabia usiku saa nne tupo kitandani na wife mama mkwe anapiga simu aongee na mwanaye. Nmevumilia kama miezi kadhaa hivi. Ilikuwa inanikera maana sometime tunafanya warm up mara simu inaita wife utamsikia "mama huyo sijui ana shida gani ngoja nimsikilize"

Tatizo mama mkwe mumewe alifariki so yupo single right now na inaonekana ameshasahau hata maadili ya mida ya kuwasiliana na mtoto wake aliyeolewa.

Jana akapiga simu saa tano.bahati nzuri muda huo ilikuwa ni half time.wife akapokea ile simu nikasikia sauti ni ya mama mkwe. Nlikwazika sana. Saa tano unampigia mtu simu unataka nini na mtu mwenyewe ni mke?Nikaongea kwa sauti kubwa.

"Hivi ni nani ambaye hana akili kiasi hicho anakupigia simu wewe mke wa mtu mida hii?maana sidhani kama huyo rafiki yako ana heshima na anafahamu maana ya ndoa.mida hii ya wanandoa kutombanah yeye anapiga simu why naye asitafute wa kumtombah awe busy aache wanandoa wa enjoy?"

Wife alikata simu haraka na kung'aka ... "Hayo maneno umeongea unajua nlikuwa naongea na mama na amekusikia?"

Nlimjibu kwa utulivu kabisa. "Acha uongo, mama hawezi kuwa na mambo ya kipuuzi akupigie simu saa tano na anajua wewe umeolewa mpige stories.mimi huwa namwona ana hekima ni mtu mzima.usimsingizie tabia za kishenzi kama hizo"

Wife aliishiwa nguvu kabisa akawa anatembeza tembeza tu macho kama mgonjwa wa dege dege. Nlimwambia hiyo ni tabia ya watu wasio staarabika.mimi binafsi kuwasiliana na mke au mume wa mtu mwisho saa mbili na nusu usiku. Na hapo iwe ni lazima sana.otherwise si kesho ipo?

Wamama wa siku hizi hawana maadili kabisa.hawaheshimu ndoa za watoto wao. Wanatujengea tabia mbaya sana. Maana kuna siku nlikuwa napiga show saa nne na nusu simu ya wife inaita kuangalia jina ni la mama mkwe na namba yake.nikapokea nikampa huku naendelea kupiga show na yeye anahema sana.

Akakata simu.tumemaliza akampigia.baadaye anaomba tena nimtombeh...nikamwambia ameshanikata stimu.hakujifunza lakini la jana nadhani atakuwa amejifunza yeye na mama yake pia.
Wewe 1.umekosea kuomgea nailihali huna haya .
2.ikute umeoa utotoni au uzeeni au wewe ni wale ambao hawafikiri kabla yakutenda.
Hoja yako ni upo sawa kabisa mama mkwe anapiga simu usiku anataka nini??
Yaani mchana hajaweza kupiga ijioni mpaka usiku.
Wewe kama unaheshima unaipokea simu.
Unamwambia mama samahani unatakaje kwa maana hii mida sio nzuri kupiga simu.
Hata wewe unajua iwe mwanzo na mwisho kupiga simu mida hii usipobadilika naita kikao nakukabidhisha mwanao.
Basi hii ndio sababu pekee ya huyo mama kuacha kuwasumbua .
Kwa maana mama wakwe wengine sio riziki wanawataka wakwe zao bila hata aibu.
Nakuomba uite kikao na umkomeshe hili ni lishangingi likahaba lilo olewa kwa nadra.
Mtu mzima anajua kabisa hii ni mida ya kugegedana wapendanao halafu anaanza kupiga simu kaa naye mbali huyo.
Nawewe unafamilia acha kufanya mambo ya kiprimary huo niutotoz.
Kuwa uisimamie ndoa vyema .
 
Mimi na uanaume wangu hata nikipata kasumba kama hiyo kamwe sithubutu kupost hicho kitu humu jamvini.

Sioni Umuhimu wala sababu ya kupost.
 
 
Muda wa kipute simu hutakiwa kuzimwa...iwe mchana au iwe any time...
 
Wewe jamaa fala sana hujui ni kama mzazi wako?
Hivi mama yako angevunjiwa heshima namna hiyo ungemfikiriaje mkeo?

Ulipaswa kuongea na mke wako kistaarabu sana kumueleza aongee na mama yake apunguze kupiga simu usiku mrefu maana mara nyingi mnakuwa kwenye faragha,sasa unajiona kidume kwa uliyoyafanya???
 
Back
Top Bottom