Nilichokiona ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza leo

Nilichokiona ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza leo

Nakumbuka Nilikwambia nina bilioni nne bank! 🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Hapana hili la bilioni nne lilikuwa kweli maana ulinipa bilioni tatu. Kwahili asante saaana maana nilifanikiwa kutatua kale kashida kangu japokuwa haikutosha lakini alhamdulilah mambo yalikaa sawa.
 
Mungu wangu, ni ka mama kembambaaa ajabu hadi mishipa ya mwili unaiona, halafu kamepitisha mkorogo, kakatoboa pua kwa mbaaaaliiiiii
Au alisahau kumeza vidonge asubuhi akaona dunia chungu kwa siku hiyo. Kuna C2 Bugando vile vile siyo Milembe tu.
 
Hapana hili la bilioni nne lilikuwa kweli maana ulinipa bilioni tatu. Kwahili asante saaana maana nilifanikiwa kutatua kale kashida kangu japokuwa haikutosha lakini alhamdulilah mambo yalikaa sawa.
hahahahaaha, GIUSEPPE umenifanya nicheke kwa sauti kubwa hahahahahahahahah
 
Kama uko Mwanza twende kuleeee michungwani kwa baba God nasikia huwa anajua sana kukemea watu wenye tabia kama za akina Asha, tehe tehe tehe.
kumbe baba God mfalme bado yupo hahaha umenikumbusha mbali mno...!
Kaa vizur Asha akawii kukutumia mamba kwenye glas ohoooo...
 
Au alisahau kumeza vidonge asubuhi akaona dunia chungu kwa siku hiyo. Kuna C2 Bugando vile vile siyo Milembe tu.
Hivi Bugando siku wagonjwa wa akili wako C2 kumbe? zamani walikuwa chini kabisa kule C1. Ila tuache utani Asha anatakiwa wamfuatilie afya yake hasa ya "serikali yake ya kichwa" yaelekea kuna nati zimelegea kichwani, halafu mbaya zaidi yuko sehemu ya kutunza kumbukumbu za ofisi, kibaya zaidi ya kibaya yeye ndie OFFICE SUPERVISOR!
 
kumbe baba God mfalme bado yupo hahaha umenikumbusha mbali mno...!
Kaa vizur Asha akawii kukutumia mamba kwenye glas ohoooo...
hahahahahahahahahahahahahhahah mwe!
 
Hivi Bugando siku wagonjwa wa akili wako C2 kumbe? zamani walikuwa chini kabisa kule C1. Ila tuache utani Asha anatakiwa wamfuatilie afya yake ha...sa ya "serikali yake ya kichwa" yaelekea kuna nati zimelegea kichwani, halafu mbaya zaidi yuko sehemu ya kutunza kumbukumbu za ofisi, kibaya zaidi ya kibaya yeye ndie OFFICE SUPERVISOR!
Wakati nasoma huko mwanza miaka ya 70 ilikuwa C1 huko lakini sijafika huko over 40 years now. Kuhusu Asha yawezekana na vile vidonge vingine je? Anaweza kawa hajali kitu anajua well .....
 
Wakati nasoma huko mwanza miaka ya 70 ilikuwa C1 huko lakini sijafika huko over 40 years now. Kuhusu Asha yawezekana na vile vidonge vingine je? Anaweza kawa hajali kitu anajua well .....
aiseeeeeeee!!
 
Back
Top Bottom