mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,493
- 57,427
mgeni sana nilikuwa!
Hanijui lakini ataniloga kwa kusema "aliyenibandika JF" hahahahahahhahahanakufahamu kama umemrusha huku jf ili akuroge?
Atashindwa ktk jina la Aliyejuu.Walaahi hadi nimejitoa potelea mbali Asha ani loge lakini nimesema, hahahahahahahahahahah
Ameeeen. Amina kubwa ndugu yangu Mgibeon. HaleluuuuyaaaaaaaaaaaaaAtashindwa ktk jina la Aliyejuu.
hahahahahahah, Mla Bata tehe tehe tehe, muonyeni hahahahaDada asha ndo kawaida yake mbona, si wenyewe tumeshamzoea.
Asha anatisha aisee, sijui anajiamini nini yule mama, halafu katoboa pua kwaa mbaaali hahahahhaahaHa ha ha ha ha unaogopwa kulogwa na Asha
Sent from my TV
Akikurestisha in peace nitapigania haki yako...hasa biashara zakoAsha anatisha aisee, sijui anajiamini nini yule mama, halafu katoboa pua kwaa mbaaali hahahahhaaha
hahahahhaah, Asha huuuyuuuuu! hahahahhahhaahahah uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiAkikurestisha in peace nitapigania haki yako...hasa biashara zako
Sent from my TV
Shida moja ya hawa watumishi kama Asha wanakua wameshakaa eneo moja muda mrefu na kuzoeana na kila mtu in such a way kwamba wanashindwa kabisa kuwa na heshima ama kujiheshimu. Public office sio sehemu ya kushusha heshima za watu. Inatakiwa abadilike ama abadilishweahahaaa asha ngedere kazua balaa hadi jf
naomba namba zake kuna mtu nataka nimloge
huyo Mwanamke anaye watukana wenzie ndio wa kulogwa huo mdomo wake uache kutukana watu sio wewe kumuogopa eti atakuloga.MziziMkavu nisaidie tafadhali, mwenzio nitalogwa
Poa poa andaa maziwa ya kutosha maana nakunywaga vibuyu 7Kitwanga kwake ni Usagara - mawe matatu
ahsante mtalaamu kwa kunipa moyo!huyo Mwanamke anaye watukana wenzie ndio wa kulogwa huo mdomo wake uache kutukana watu sio wewe kumuogopa eti atakuloga.