- Thread starter
- #121
hahahahahahaahhaPoa poa andaa maziwa ya kutosha maana nakunywaga vibuyu 7
hahahahahahaahhaPoa poa andaa maziwa ya kutosha maana nakunywaga vibuyu 7
Asha anaonekana kama vile ana jeuri Fulani hivi!Shida moja ya hawa watumishi kama Asha wanakua wameshakaa eneo moja muda mrefu na kuzoeana na kila mtu in such a way kwamba wanashindwa kabisa kuwa na heshima ama kujiheshimu. Public office sio sehemu ya kushusha heshima za watu. Inatakiwa abadilike ama abadilishwe
hahahahahah, ila wewe naye mmmmmh!MWe MWe watu na ofisi zao,OK tumekusikia tunanyoosha upinzani kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
uwiiii, hadi leo yupo?Bandari ya Dar alikuwepo mtumishi ambae ni mganga wa jadi alikuwa anapokea mshahara na kazini haendi.Menejimenti inamwogopa kulikoni kifo,imemuacha tu.Kwa nn iwe hivi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahurumia sana mbavu zako punguza kucheka utakonda kama uyo Ashahahahahahahaahha
unamuongelea BWK? kama huyo kweli ni wa mipasho, lakini Asha ana matusi manene, mazito, marefuMzee Benny pia nifundi wa mipasho,ila Asha amemzidi
Asha amekonda sana hadi mishipa inaonekana, halafu mbaya zaidi amepaka mkorogo ni shida kabisa!Nahurumia sana mbavu zako punguza kucheka utakonda kama uyo Asha
Na siku zote jeuri haiji hivi hivi, kuna jambo nyuma yake, sio bure. Aidha kawekwa pale na mtu maalum ama kuna mtu anamtumia kimaslahi yake.Asha anaonekana kama vile ana jeuri Fulani hivi!
Inawezekana Idimi!Na siku zote jeuri haiji hivi hivi, kuna jambo nyuma yake, sio bure. Aidha kawekwa pale na mtu maalum ama kuna mtu anamtumia kimaslahi yake.
NAHUJA aksante kwa kunidanganya. najua unakumbuka ni nini uliniongopea.Leo nimeona maajabu, kituko, jambo la kusikitisha ambalo sikutegemea kuliona katika ofisi ya Serikali Kuu, ofisi ambayo ndio "ikulu" yetu ya Mwanza, ofisi ambayo inamwakilisha Rais.
Nimefika ofisi hiyo leo muda wa saa 5.00 asubuhi kufuatilia mambo fulani yanayohusiana na ofisi yangu ninapopatia riziki ya kila siku.
Nilipofika kwenye korido la jengo la zamani nikasikia sauti kubwa, sauti kali, matusi ya nguoni yakitokea ofisi ya masjala ya wazi/bayana (open registry), nikashuhudia watu wengi wamesimama kwenye korido hilo wanasikiliza matusi yale ambayo ama kwa hakika hayakuwa hata na "skin tight" yalikuwa makavu yakiporomoshwa kutokea ofisi hiyo ya Masjala kwa sauti kubwa.
Baadhi ya matusi hayo yalikuwa "MB.WA WEWE, MSEN.GE, YAANI WEWE NDIE UNANIFANYA NIITWE KWA MKUU WA MKOA," na matusi mengine mengi mengi machafu machafu.
Nikawapita watu waliokuwa wanasikilizia huo mziki wa matusi, nikaenda moja kwa moja hadi ofisi ya masjala kushuhudia kuna nini!!!
Oooooooooooooooops! nikakuta dada ambaye nimesikia wakimuita ASHA, ni Office Supervisor, anamtolea matusi hayo kaka ambaye ni mfungwa wa kifungo cha nje.
Mimi kama mtumishi wa umma, pia kwa kuzingatia maadili ya utumishi wa umma ya mwaka 2005, nilijisikia vibaya sana. Sikutarajia ofisi kubwa kama ile kukuta mtumishi anamtukana mwenzie matusi ya nguoni kwa sauti kubwa kama vile amapandisha mashetani!
Nikawauliza baadhi ya watumishi wa ofisi hiyo, huyu Asha anaumwa au ni tabia yake? wakasema Asha ndivyo alivyo na uongozi unajua tabia zake, lakini WANAOGOPA KULOGWA!
Sasa mimi siogopi kulogwa na huyo Asha wenu, nawaomba viongozi wa mkoa, kaka Mongela, Mtweve, Rubanzibwa fuatilieni utendaji wa huyo Asha hapo Masijala sio kwa matusi hayo!
Mwisho wanaJF msiponiona hapa JF kwa muda mrefu basi mjue labda Asha kaniloga nimekufa.
Nitasema kweli daima fitina kwangu ni mwiko
Huyu dawa yake wangemuhamishia wilayani hasa UKEREWE ndio pangemfaa Asha.Shida moja ya hawa watumishi kama Asha wanakua wameshakaa eneo moja muda mrefu na kuzoeana na kila mtu in such a way kwamba wanashindwa kabisa kuwa na heshima ama kujiheshimu. Public office sio sehemu ya kushusha heshima za watu. Inatakiwa abadilike ama abadilishwe
Nadhani serikali ifike mahali sasa wafikirie kuwapima watumishi wa umma AKILI, nishasikia wataalamu wanasema kuwa kila binadamu ni kichaa lakini tunazidiana, nadhani kichaa cha ASHA kiko juu kidogo japo havui nguo na kuokota makopo. Alivyokuwa anapayuka kwa sauti kubwa, matusi manene manene, hapana sio bure Asha ana tatizo kichwani!
Alafu wewe nakuona mitaa ya posta ya zamani unakunywa chai hapo burger point ngoja nimshtue AshaRelief Mirzska njoo huku uone jinsi watumishi wa umma wanavyotukana, kwenye ule uzi wako ulisema receptionist alikukwaza, njooo sasa ofisi ya RC Mwanza umkute Asha. hahahahahaahaha
Niko hapa Kamanga kwa wa mama ntilie nakula chapatti na maharage, hahahahahahha, Asha ataniponda hata na jiwe, Asha sio sport sportAlafu wewe nakuona mitaa ya posta ya zamani unakunywa chai hapo burger point ngoja nimshtue Asha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaaaaaaaaa mkuu wacha utaniNiko hapa Kamanga kwa wa mama ntilie nakula chapatti na maharage, hahahahahahha, Asha ataniponda hata na jiwe, Asha sio sport sport
Kwa kuwa nilimkariri sura yake jana nikimuona tu kwa mbali nitakimbia hadi kituo cha kwanza ni Ikulu, hahahahahahahahahaahahahah
Hahaaaaaaaaaaaa wacha bwana utapiga mbizi mpaka Sengerema oooh watu wabayaKwa kuwa nilimkariri sura yake jana nikimuona tu kwa mbali nitakimbia hadi kituo cha kwanza ni Ikulu, hahahahahahahahahaahahahah
hahahahaahhha, jamani Asha huyu hahahahahahaahahaHahaaaaaaaaaaaa wacha bwana utapiga mbizi mpaka Sengerema oooh watu wabaya
Sent using Jamii Forums mobile app