Nilichokiona ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza leo

Nilichokiona ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza leo

Duh! mkuu mimi pia ningemuangalia tu lakini through the back door ningefanya kitu. Ila sasa umeamini kwamba nyie wanawake mna mashaka sana????
Sio wote kaka yangu! Asha kazidi maana yeye sio nyodo ila mshari na matusi makubwa makubwa tena haogopi anatukana kwa sauti kubwaaaaaa kama mtu aliyepandisha wadudu kama sio majini
 
hahahaha, ningekamatwa na hivi jengo Zima lilikuwa limejaa polisi wanasimamia mambo ya mitihani ya darasa la saba usambazaji
Aisee nmemtamani sana huyo ngoja nitoke kwimba nimeshiba matobolwa kma sijamtandika makofi
 
Yaani hisia zangu juu yako sijawahi kukosea.., uko kama ninavyokuwazia... Strong woman.
 
Aisee nmemtamani sana huyo ngoja nitoke kwimba nimeshiba matobolwa kma sijamtandika makofi
hahahahaah, ukitoka Kwimba upite na hapa kwetu Misungwi kata ya Kolomije unywe japo maziwa hahahha
 
Back
Top Bottom