Nilichokiona ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza leo

Nilichokiona ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza leo

basi leo neno kamwambie hio tabia ya matusi aiache naa akome asirudie tena. basi hatorudia tena.
mwambie kwa upole kisha usubiri feedback natumai atakuwa ni mnyenyekevu kuliko wote hapo..
Kanatisha sana sura yake, kanaweza hata kubabua kibao, hahahahhah Asha ni kimbaumbau lakini mdomoni yuko vizuri hahahahahah
 
Milele Amina mkuu. Mie nitafia ukatoliki wangu sing'oki ng'oooo

Nimekusoma, nimehisi wewe ni mtumishi hapo kwa RAS Mwanza kwenye kada ya Utunzaji Kumbukumbu unamuonea donge huyo Asha kwenye nafasi yake ya Ofisi Supervisor ,
Any way nilikuwa hiyo ofisi miaka ya 2010 kurudi nyuma kama HR .
Hata hivyo thread yako nimeipeleka kwa muhusika Bw Projectus Rugonzibwa ni matumaini kama sio majungu ataifanyia kazi
 
Leo nimeona maajabu, kituko, jambo la kusikitisha ambalo sikutegemea kuliona katika ofisi ya Serikali Kuu, ofisi ambayo ndio "ikulu" yetu ya Mwanza, ofisi ambayo inamwakilisha Rais.

Nimefika ofisi hiyo leo muda wa saa 5.00 asubuhi kufuatilia mambo fulani yanayohusiana na ofisi yangu ninapopatia riziki ya kila siku.

Nilipofika kwenye korido la jengo la zamani nikasikia sauti kubwa, sauti kali, matusi ya nguoni yakitokea ofisi ya masjala ya wazi/bayana (open registry), nikashuhudia watu wengi wamesimama kwenye korido hilo wanasikiliza matusi yale ambayo ama kwa hakika hayakuwa hata na "skin tight" yalikuwa makavu yakiporomoshwa kutokea ofisi hiyo ya Masjala kwa sauti kubwa.

Baadhi ya matusi hayo yalikuwa "MB.WA WEWE, MSEN.GE, YAANI WEWE NDIE UNANIFANYA NIITWE KWA MKUU WA MKOA," na matusi mengine mengi mengi machafu machafu.

Nikawapita watu waliokuwa wanasikilizia huo mziki wa matusi, nikaenda moja kwa moja hadi ofisi ya masjala kushuhudia kuna nini!!!

Oooooooooooooooops! nikakuta dada ambaye nimesikia wakimuita ASHA, ni Office Supervisor, anamtolea matusi hayo kaka ambaye ni mfungwa wa kifungo cha nje.

Mimi kama mtumishi wa umma, pia kwa kuzingatia maadili ya utumishi wa umma ya mwaka 2005, nilijisikia vibaya sana. Sikutarajia ofisi kubwa kama ile kukuta mtumishi anamtukana mwenzie matusi ya nguoni kwa sauti kubwa kama vile amapandisha mashetani!

Nikawauliza baadhi ya watumishi wa ofisi hiyo, huyu Asha anaumwa au ni tabia yake? wakasema Asha ndivyo alivyo na uongozi unajua tabia zake, lakini WANAOGOPA KULOGWA!

Sasa mimi siogopi kulogwa na huyo Asha wenu, nawaomba viongozi wa mkoa, kaka Mongela, Mtweve, Rubanzibwa fuatilieni utendaji wa huyo Asha hapo Masijala sio kwa matusi hayo!

Mwisho wanaJF msiponiona hapa JF kwa muda mrefu basi mjue labda Asha kaniloga nimekufa.

Nitasema kweli daima fitina kwangu ni mwiko
Basi mkuu wew jiandae na safari maana hukujui huendako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A
hilo watu wa mwanza yote wakishasikia mtu ana sifa hizo, aisee anaogopwa mpaka na watawala wa eneo hilo, niliweza shuhudia kisiwa ki1 mtu kagongwa na gari na kufa lakini sikuona ufatiliaji wowote kisa jamaa aliyemgonga na kumuua ni mganga wa kienyeji, hakuna askari wana nani aliyekwenda kisa anajulikana kuwa jamaa ni mlozi, hii tabia kanda ya ziwa wanayo sana na hasa wakishajua una sifa hizo
cha Umbria wa kikekike wewe, we unaishi Mkoa gani ambako huko kwenu hamuogopi wachawi? Au unatokea Mkoa ambao wanaume wanakimbia panya road? Acha misfa hakuna asiyeogopa mchawi na ukome kuweka hasty generalization.
 
hilo watu wa mwanza yote wakishasikia mtu ana sifa hizo, aisee anaogopwa mpaka na watawala wa eneo hilo, niliweza shuhudia kisiwa ki1 mtu kagongwa na gari na kufa lakini sikuona ufatiliaji wowote kisa jamaa aliyemgonga na kumuua ni mganga wa kienyeji, hakuna askari wana nani aliyekwenda kisa anajulikana kuwa jamaa ni mlozi, hii tabia kanda ya ziwa wanayo sana na hasa wakishajua una sifa hizo
Ujinga ni kwamba kuloga hakupo kiuhalisi. Ni saikolojia tu.

Sent from my Kimulimuli
 
ngoja nijaribu kumchora kichwani jinsi alivyo
22608903-colorful-cool-cartoon-girl-dancing-disco.jpg

Atakua kama hivi...[emoji14] [emoji14]
 
Nimekusoma, nimehisi wewe ni mtumishi hapo kwa RAS Mwanza kwenye kada ya Utunzaji Kumbukumbu unamuonea donge huyo Asha kwenye nafasi yake ya Ofisi Supervisor ,
Any way nilikuwa hiyo ofisi miaka ya 2010 kurudi nyuma kama HR .
Hata hivyo thread yako nimeipeleka kwa muhusika Bw Projectus Rugonzibwa ni matumaini kama sio majungu ataifanyia kazi
Umeanza vibaya, ukamalizia vizuri...
 
Wanasema Asha anaogopwa na staff wote, hahahhahaha, ni kama Fulani kembamba sana, vimishipa vimechomoza kila mahali. hahahahhahahah.
NIkauliza huyu Asha ni nani humu, wakasema ni office supervisor, amesoma Chuo cha Utumishi wa Umma ana Diploma ya Record Management. Jamani Asha ni hatari. shost usiponiona badi ujue Asha atakuwa kanidungua,hahahahahahah
Unataka kusema ni kama kolu mi jei boi babake hasikii wala haambiwi kitu?
 
Nimekusoma, nimehisi wewe ni mtumishi hapo kwa RAS Mwanza kwenye kada ya Utunzaji Kumbukumbu unamuonea donge huyo Asha kwenye nafasi yake ya Ofisi Supervisor ,
Any way nilikuwa hiyo ofisi miaka ya 2010 kurudi nyuma kama HR .
Hata hivyo thread yako nimeipeleka kwa muhusika Bw Projectus Rugonzibwa ni matumaini kama sio majungu ataifanyia kazi
Hapana mnengene mimi sio mtumishi wa hapo kabisa! wala usije ukafanya Asha akagombana na watumishi wenzie hapo, mie nilikuwa ninapita zangu, kelele zake ndio zilikuwa zinamstua kila mtu aliye karibu na jengo la zamani, watu walikuwa kwenye koridi wanasikiliza. Mie sio mtumishi wa hapo my ndugu.
 
Back
Top Bottom