Asha akijua ww n ukereweYaani hapo ndio nimeshangaa,halafu kulikuwa na watu wengi sana eneo hilo wanachukua mitihani ya darasa la saba kwa ajili ya wilaya zao
sasa hata akinifanya chizi si shida pia,hahahahahaahAsha halogi kuua
Kweli umenipa wazo, na mie namtumia mamba, hahahhahahahaahahAsha akijua ww n ukerewe
Basi kumbe ndo maana mchawi kumbe hana cha kurogea kama Masogange.Mungu wangu, ni ka mama kembambaaa ajabu hadi mishipa ya mwili unaiona, halafu kamepitisha mkorogo, kakatoboa pua kwa mbaaaaliiiiii
Neriii....shoko hangi Asha eneniogha,hahahahahahahahaha
Kujifunza nini ndugu jown?Hongereni mwanza naona ndio mnajifunza siasa now
Kujifunza siasaKujifunza nini ndugu jown?
hahahahahahaahah ila Kadhi Mkuu na wewe hahahaBasi kumbe ndo maana mchawi kumbe hana cha kurogea kama Masogange.
mmmmmhhhh!Kujifunza siasa
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛 Asha huyu huyuuuuuu!!! hahahahahaTimbwili la Asha twalijua sisi.
Alishamgeuza Mzee mmoja jinsia miaka ya nyuma...Mzee kuingia uani kukojoa akajikuta ana jinsia ya kike.
Aaah bwana, usiogope. Chizi ni very honest and independent.sasa hata akinifanya chizi si shida pia,hahahahahaah
aiseee!Aaah bwana, usiogope. Chizi ni very honest and independent.
HahahahahTimbwili la Asha twalijua sisi.
Alishamgeuza Mzee mmoja jinsia miaka ya nyuma...Mzee kuingia uani kukojoa akajikuta ana jinsia ya kike.
King Tembo, niombeee Asha asije akaniadhibu kwa kumuanika JF!🙁🙁🙁🙁🙁Hahahahah mamaee
Ndo npo natafuta namba zake nimpigie nikuombee msamahaKing Tembo, niombeee Asha asije akaniadhibu kwa kumuanika JF!🙁🙁🙁🙁🙁
hahahahahahahahahahahahhah. sawa utanipa mrejesho kama amenisamehe au la! hahahahahahahahahahahNdo npo natafuta namba zake nimpigie nikuombee msamaha
Huemda ni mgonjwa ana UKIMWI , kisukari, kansa fulani hivi, au ugonjwa wa moyo unaomfanya ana fyumu hivyo.Ni taabu kama hamjui mtumishi kuwa na maradhi hayo akapimwe ili hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi yakeLeo nimeona maajabu, kituko, jambo la kusikitisha ambalo sikutegemea kuliona katika ofisi ya Serikali Kuu, ofisi ambayo ndio "ikulu" yetu ya Mwanza, ofisi ambayo inamwakilisha Rais.
Nimefika ofisi hiyo leo muda wa saa 5.00 asubuhi kufuatilia mambo fulani yanayohusiana na ofisi yangu ninapopatia riziki ya kila siku.
Nilipofika kwenye korido la jengo la zamani nikasikia sauti kubwa, sauti kali, matusi ya nguoni yakitokea ofisi ya masjala ya wazi/bayana (open registry), nikashuhudia watu wengi wamesimama kwenye korido hilo wanasikiliza matusi yale ambayo ama kwa hakika hayakuwa hata na "skin tight" yalikuwa makavu yakiporomoshwa kutokea ofisi hiyo ya Masjala kwa sauti kubwa. Baadhi ya matusi hayo yalikuwa "MB.WA WEWE, MSEN.GE, YAANI WEWE NDIE UNANIFANYA NIITWE KWA MKUU WA MKOA," na matusi mengine mengi mengi machafu machafu.
Nikawapita watu waliokuwa wanasikilizia huo mziki wa matusi, nikaenda moja kwa moja hadi ofisi ya masjala kushuhudia kuna nini!!!
Oooooooooooooooops! nikakuta dada ambaye nimesikia wakimuita ASHA, ni Office Supervisor, anamtolea matusi hayo kaka ambaye ni mfungwa wa kifungo cha nje.
Mimi kama mtumishi wa umma, pia kwa kuzingatia maadili ya utumishi wa umma ya mwaka 2005, nilijisikia vibaya sana. Sikutarajia ofisi kubwa kama ile kukuta mtumishi anamtukana mwenzie matusi ya nguoni kwa sauti kubwa kama vile amapandisha mashetani!
Nikawauliza baadhi ya watumishi wa ofisi hiyo, huyu Asha anaumwa au ni tabia yake? wakasema Asha ndivyo alivyo na uongozi unajua tabia zake, lakini WANAOGOPA KULOGWA!
Sasa mimi siogopi kulogwa na huyo Asha wenu, nawaomba viongozi wa mkoa, kaka Mongela, Mtweve, Rubanzibwa fuatilieni utendaji wa huyo Asha hapo Masijala sio kwa matusi hayo!
Mwisho wanaJF msiponiona hapa JF kwa muda mrefu basi mjue labda Asha kaniloga nimekufa.
Nitasema kweli daima fitina kwangu ni mwiko
may be, perhaps, probablyHuemda ni mgonjwa ana UKIMWI , kisukari, kansa fulani hivi, au ugonjwa wa moyo unaomfanya ana fyumu hivyo.Ni taabu kama hamjui mtumishi kuwa na maradhi hayo akapimwe ili hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi yake