Nilichokiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike! So sad!

Nilichokiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike! So sad!

Ushauri mlete huku kwa babu yake wewe humuwezi tena huyoo keshaharibiwa kote kote fb na whatsapp
 
Jaman wote wakiwa wanatoka kwa taming sisi mbunye tutapata wapi, ujue hili jambo nalo muliangali sanaaa

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Mnyang'anye simu ya android mnunulie nokia tochi. Pili mkalishe chini mweleze kwa kirefu namna marafiki wabaya wanavyoharibu maisha ya watu. Tatu na muhimu zaidi mfundishe kwamba ni lazima aishi maisha ya kuwa karibu zaidi na Mungu hasa kuachana na mambo ya ngono maana mara nyingi uharibifu mwingi hutokana kwenye ngono- yaani ukimwi unaoleta kifo, mimba zisizotarajiwa, maumivu ya kisaikologia pale mahusiano ya kimapenzi yanapovunjika n.k. Kila ukifika nyumbani jioni uwe unampa mafundisho hayo. Mwonyeshe kumjali na kumpenda sana atabadilika tu. Ukimgombeza umeharibu kila kitu

Sent from my SM-J120H using JamiiForums mobile app
 
Kuna saa unakuaga na point nzito zenye mashiko mpaka basi na kuna saa sjui unakua umebanwa na haja kubwa ivo unaandika fasta fasta ukaachie mzigo wako nashindwa kuelewa.
Mleta uzi angekuja kusema mdogo wake kapata mimba akiwa "Minor" ungekuja na utope wako huu huu.
Ivi ndugu zangu waislam, hili jitu mnalielewa kweli?

Ana u "minor" gani huyo kishamaliza form four?

Hivi mnaelewa mnachokisoma?

Kaka mtu anaweza kuzuia mimba ya dada'ke kwa kumchungulia?

Punguani wahed.
 
Mada kama hizi zinanifanya nishukuru sana kuwa Muislam, hakika mafunzo ya Uislam ni mema sana kupita kiasi:

DHANA MBAYA

Tabia mbaya sana kumchunguza mdogo wako hususan wa kike.

Mleta mada wacha kumchungulia dada'ko.
Dini yako hapa imeingiaje ?
Acha kuwa na fikira chakavu na fikra za zima moto
Kumbe din yenu hairuhusu kaka kumuchunguza mdgo wake kama anafanya Uchafu?
 
Hata wewe ulikuwa kama yeye.... kama hukujifunza kama yeye mambo ya çhuma mboga' umeyajulia wapi?
 
Ktk charting zake ulikuta Kuna mtu anazungumza nae suala LA kumpa mtandao pendwa wa tigo?kama hukukuta hyo bas shusha pumz mengine ni ya kawaida tu kwa mbinti wa kizazi hiki,wanaanza kuwa mafundi wa mpaka kudatisha waume za watu wakiwa primary huko na huwa wanasoma sana vijarida vya ngono,makala za mapenz,na movie za x wanacheki sana so usipanic ndio Aina ya kizaz tulichonacho

Sent from my C6903 using JamiiForums mobile app
 
Mnyang'anye iyo cm kwanza then mpatie elimu rika, ktk age iyo mtu anakua yuko hot sana kila afanyalo ajiona yupo sawa. Ongea nae kwa mifano ya anaowajua walioharibikiwa kwa kuendekeza mambo km hayo.
By the way, pole sana.
 
kaa naye umweleze kwa upole...tatizo ni zama tunamoishi
 
mwache akae simu ya mtu ww umepekuaa ya nn yaan ww kaka gani unapekua simu ya mdogo wako wa kike??form 4 kwan mdogo mwache ajifunze asije kuwa gogo bure badae aje kusemwa cha msingi nyumbani ana heshima na anafanyaa yanayotakiwaa hapo nyumbani the rest ni ukuaji tu kitafika kipindi ataacha kama ww ulivyokuwaa unakuaa yapo mengi ya kijingaa uliyoyafanyaa mwache naye ayafaanye at the right tym muda utafikaa ataachaa trust me ..kuwa kwenye magroup dsnt mean kuwa anafanyaa hayo mambo noo ni anajifunzaa lazimaa mtu uwe na elimu dunia na elimu aheraaa cha msingi anawezaa kucontrol mambo yake lastly siku nyingine fanyaa ulichoombwa mengine hayakuhusu!!
Dada anauma jerry si unakumbuka yale ya kwako
 
MKUU THREAD YAKO IMENIUMIZA SANA HAKIKA...

NOW FANYA NITUMIE NAMBA YA HUYO MDOGO WAKO PM NIMPATIE USHAURI MUJARABU

MAANA TUNA JUKUMU LA PAMOJA KUHAKIKISHA VIZAZI VINASTAWI KIMAADILI
Hahahahahaa[emoji23][emoji23]

Sent from my E6633 using JamiiForums mobile app
 
Ntumie namba yake.. Ntakusaidia kumnyoosha

Sent from my itel_it1502 using JamiiForums mobile app
 
Ikiwezekana delete app zote na muunge na jamii forum aje ajifunze maarifa ya jamii

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Kabla haujachukua maamuzi yoyote juu ya uliyoyakua humo mpe nawewe sim yako aikague kwanza usije ukawa umeona kibanzi kwenye jicho lamdogo wako alafu ukasahau boliti kwenye jicho lako
 
Dini yako hapa imeingiaje ?
Acha kuwa na fikira chakavu na fikra za zima moto
Kumbe din yenu hairuhusu kaka kumuchunguza mdgo wake kama anafanya Uchafu?
Kila binaadam ana dini hake, dini yangu hapo imenifundisha tusichunguzane.

Huoni mafundisho yenye akili hayo? Wewe dini yako inakufundisha mchunguzane?
 
Ktk charting zake ulikuta Kuna mtu anazungumza nae suala LA kumpa mtandao pendwa wa tigo?kama hukukuta hyo bas shusha pumz mengine ni ya kawaida tu kwa mbinti wa kizazi hiki,wanaanza kuwa mafundi wa mpaka kudatisha waume za watu wakiwa primary huko na huwa wanasoma sana vijarida vya ngono,makala za mapenz,na movie za x wanacheki sana so usipanic ndio Aina ya kizaz tulichonacho

Sent from my C6903 using JamiiForums mobile app

= chatting

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Muite kistaarabu sana. Kisha ongea nae kwa mifano mingiiii then unakuja kwakwe na kumuleza ukweli huku ukimshauri. Tafadhali sana usimuache aharibukiwe.

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
 
Daah nilitaka kumwoa, sasa nimetemana nae, asante kunijuza shem

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom