Nilichokiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike! So sad!

Nilichokiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike! So sad!

Kwa dunia ya sasa hata ukimnyang'anya simu hitosaidia jambo la msingi mpe ushauri uliotukuka......kashakuwa mtu mzima huyoo

Sent from my Z5 Premium using JamiiForums mobile app
 
MKUU THREAD YAKO IMENIUMIZA SANA HAKIKA...

NOW FANYA NITUMIE NAMBA YA HUYO MDOGO WAKO PM NIMPATIE USHAURI MUJARABU

MAANA TUNA JUKUMU LA PAMOJA KUHAKIKISHA VIZAZI VINASTAWI KIMAADILI
 
Huwezi ukakagua simu ya mtu aidha, mkeo, mdogo wako. Umefanya Makosa.

Any way, angalia sana mdomo wako usieukatumia maneno mabaya juu yake ukajuta kusoma text hizo na kumuulizia kuhusu uliyoyaona.
Na kuhusu, wanawake kwenye idara ya kwichi-kwichino, wanaakili sana kama wanahitaji kufanya tambia mbaya atafanya tu.

Cha msingi, mpe counselling bila kumtajia ulichokiona.

Japo, Narudia tena kuandika kuwa "umefanya makosa kukagua simu ya Mdogo wako"
 
Ushauri ndiyo kitu cha msingi si kuchukua simu watamhonga tu tena ya ghalama kuzidi hata ya kaka

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
dah mi naomba unipe namba yake mkuu nimwombeee maaana hilo ni pepo dah! yaaani hadi huruma [emoji52][emoji52][emoji52]

sent from my SM-galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Papuch n yake yy ndo anajua
Anachokipata kweny hayo
Magrup mwache aitumie
Hyo papuch yake atakavyo
Usmpangie wa kumpa aigonge
 
Akizalishwa nyumbani utamsaidia jamaa kulea hiyo mizigo??

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
im sure kaka mtu naye ana madudu yake na hapendi simu yake ishikwe yy kamuamin kaka ake ndo sababu kampaa sasa kaka naye kapekenyuaaa hamnaa kitu kibayaa kama mtu asome text zako hata kama kaka ako bad enough akimwambiaa mdogo ake anweza akamchukiaa daimaa ,nilipokuwa mdogo mm na kaka angu tulikuwaa yunakeshaa kwenye tv kusubiriaa ni lini watu watajibusu then wafanye mapenzi tuone hatukuona tukacgaa kuangaliaa matamthiliaa ,tukaja kugunduaa kuwa kuna x bwanaa wee tulikuwaa tunatoroka kwendaa kuangaliaa lakin tangu nilipokuwa nakujitambuaa sijawah kuangaliaa tena hayo madude coz hamnaa jipya so huyo mtoto ataacha au laaah akitaka kumwambiaa atumie njia ya kumwomba simu yake kila siku then ndo mwambie na sio akurupuke
 
Daah sasa amesha kuwa kungwi kilichobak, muombe Mungu amsaidie tu
 
Ukitaka kuingia kwenye bifu na mdogo wako, jaribu kumbadilisha kipindi hiki ambacho utamu umemshika kila sehemu ya mwili wake... Baadae sana, akishatendwa na kudanganywa akili ikiwa imekomaa, atakuelewa.. Ila kwa sasa acha wamfilimbe tu, hamna namna
 
im sure kaka mtu naye ana madudu yake na hapendi simu yake ishikwe yy kamuamin kaka ake ndo sababu kampaa sasa kaka naye kapekenyuaaa hamnaa kitu kibayaa kama mtu asome text zako hata kama kaka ako bad enough akimwambiaa mdogo ake anweza akamchukiaa daimaa ,nilipokuwa mdogo mm na kaka angu tulikuwaa yunakeshaa kwenye tv kusubiriaa ni lini watu watajibusu then wafanye mapenzi tuone hatukuona tukacgaa kuangaliaa matamthiliaa ,tukaja kugunduaa kuwa kuna x bwanaa wee tulikuwaa tunatoroka kwendaa kuangaliaa lakin tangu nilipokuwa nakujitambuaa sijawah kuangaliaa tena hayo madude coz hamnaa jipya so huyo mtoto ataacha au laaah akitaka kumwambiaa atumie njia ya kumwomba simu yake kila siku then ndo mwambie na sio akurupuke
Hapo kuacha ni akili ya mtu mwingine anayabeba jumla hapo akashindwa shule kaja baby halafu wewe yawezekana ni me huyo ni ke hapo inakuwaje yeye amwambie tu

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza usivunjike moyo juu yake kwa ulioyaona kwenye sim yake tu mkuu. Believe me hayo ni mambo ya kawaida kwa sisi vijana kujoin kila tuonapo link na kushare tuliyo wahi kuyasikia au hata kuyaona.Mimi mwenyewe nipo kama dogo lako lakini sijawahi kuwaza kua na bae/mpenzi.Hivyo ni vitu vya kawaida tu mkuu sisi kama vijana hupendelea sana kujifunza lakini mfuatilie kwa makini kama anayaimpliment hayo anayoyapata huko.
 
Simba mwenda pole

Sent from my itel it1505 using JamiiForums mobile app
 
Ni Binti mdogo kamaliza kidato cha nne mwaka Jana kimwonekano ni mpole na mtaratibu sana.Niende kwenye Nada

Leo mida ya jioni simu yake ilikuwa kwenye lugha ambayo haielewi(africanas) akaomba nimfanyie setting irudi katika kizungu nikafanya hivyo nikamaliza wakati yy akiwa nje anaosha vyombo ,ndipo akili iliponituma kukagua inbox zake za WhatsApp na SMS za kwaida ,duh niliyoyaona nimejuta kuyafahamu.

Chatting nyingi ni mapenzi (mabwana wengi) japo sioni kama ni shida sana kilichokuja kuniuma na kunifanya niandike huu Uzi nilipokuta message za wanafundishana mbinu mbalimbali za kufanya mapenzi ,kuwatega na kuwachuna wanaume ,amejiunga magroup ya WhatsApp ya ukahaba na makungwi wanafundishana mambo ya ajabu ,ndo nikahamia kwenye gallery uko ndo basi .

Nimeumia sana japo sijafanya reaction yoyote mdogo wangu kaniumiza alivyo mpole msitaarabu sikutegemea ndo wa kufundisha wenzake Mara chuma mboga Mara nn.

Naombeni ushauri wadau nimchukulie hatua gani uyu Dogo maana ni mdogo wangu ananiuma sitaki aharibikiwe
Huna cha kufanya lakini jua kwanini aliamua kujiingiza kwenye hiyo biashara ili msaidiane kuitatua hiyo sababu. Muulize kama anafahamu kama anajuwa madhara yake
 
ni utoto tuu, aki kua ata acha, mshauri tu awe mwangalifu.

lakin umeingilia privacy ya mtu jambo ambalo ki ukweli siyo poa.
 
Huwezi ukakagua simu ya mtu aidha, mkeo, mdogo wako. Umefanya Makosa.

Any way, angalia sana mdomo wako usieukatumia maneno mabaya juu yake ukajuta kusoma text hizo na kumuulizia kuhusu uliyoyaona.
Na kuhusu, wanawake kwenye idara ya kwichi-kwichino, wanaakili sana kama wanahitaji kufanya tambia mbaya atafanya tu.

Cha msingi, mpe counselling bila kumtajia ulichokiona.

Japo, Narudia tena kuandika kuwa "umefanya makosa kukagua simu ya Mdogo wako"

Mtu yetote ambaye hakagui simu ya mkewe au mabinti zake huyo ni DUBULHABESHI ana matatizo kichwani, atakuwa na afya mbaya ya akili kama atawanunulia simu familia yake halafu usichunguze matumizi, hafu mabint wapate mimba shuleni asingizie amebakwa wakati tayari ni hollow tyre muda mrefu,



Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom