Nilichokiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike! So sad!

Nilichokiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike! So sad!

Hatua ya kwanza ilitakiwa iwe Kichapo
Badae ndo unatumia diplomasia ili unapozungumza anakumbuka kichapo,japo anaweza asibadilike ila wajibu wako kama kaka utakuwa umeutimiza ,kichapo cha hivyo huwa ni namna ya kuexperess LOVE n CARE, akipewa kichapo atajua kumbe yupo mikono salama,anyway chambua chambua pumba zangu usichukue zote

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hii thread kuna watu wamenikera kweli mnaleta mambo ya uzungu eti privacy .. Seems wengi humu hamna majukumu ya kulipia ada wadogo zenu ... Subiri mje kuwa na jukumu LA kulipa ada ya 3M kila January na kutoa matumizi ndio mje na mambo ya privacy ... Mmenikeraaa
Kwani nampeleka huko shule kuwa kungwi na kuwa na mabwana ... Ningekuwa Mimi ningemuweka chini achague moja shule au simu ? Tusipotezeane muda na pesa ...
 
Tehtehteh,yan kiukwel simu ya mtu haijawai mwacha mtu salama,..yan ni vigumu saana mtu ashike sim ya mpenz wake,au yoyote wa jinsia nyingne,af asiifukunyue huko ndani,yaan kitendo cha kuacha sim ama kumpa mtu sim akusaidie kitu etc ni kosa kubwa sana,hahahah[emoji23]
 
MKUU THREAD YAKO IMENIUMIZA SANA HAKIKA...

NOW FANYA NITUMIE NAMBA YA HUYO MDOGO WAKO PM NIMPATIE USHAURI MUJARABU

MAANA TUNA JUKUMU LA PAMOJA KUHAKIKISHA VIZAZI VINASTAWI KIMAADILI
Braza pamputi mwakata hahahahahahaha swemwi tuli ningo ,hilo jina la pamputi kwetu huko ni matusi ya karne

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Mada kama hizi zinanifanya nishukuru sana kuwa Muislam, hakika mafunzo ya Uislam ni mema sana kupita kiasi:

DHANA MBAYA

Tabia mbaya sana kumchunguza mdogo wako hususan wa kike.

Mleta mada wacha kumchungulia dada'ko.
 
Ni Binti mdogo kamaliza kidato cha nne mwaka Jana kimwonekano ni mpole na mtaratibu sana.Niende kwenye Nada

Leo mida ya jioni simu yake ilikuwa kwenye lugha ambayo haielewi(africanas) akaomba nimfanyie setting irudi katika kizungu nikafanya hivyo nikamaliza wakati yy akiwa nje anaosha vyombo ,ndipo akili iliponituma kukagua inbox zake za WhatsApp na SMS za kwaida ,duh niliyoyaona nimejuta kuyafahamu.

Chatting nyingi ni mapenzi (mabwana wengi) japo sioni kama ni shida sana kilichokuja kuniuma na kunifanya niandike huu Uzi nilipokuta message za wanafundishana mbinu mbalimbali za kufanya mapenzi ,kuwatega na kuwachuna wanaume ,amejiunga magroup ya WhatsApp ya ukahaba na makungwi wanafundishana mambo ya ajabu ,ndo nikahamia kwenye gallery uko ndo basi .

Nimeumia sana japo sijafanya reaction yoyote mdogo wangu kaniumiza alivyo mpole msitaarabu sikutegemea ndo wa kufundisha wenzake Mara chuma mboga Mara nn.

Naombeni ushauri wadau nimchukulie hatua gani uyu Dogo maana ni mdogo wangu ananiuma sitaki aharibikiwe
Ubaya ulio tenda lazima urudi. Kama ww unapigaga watoto wa watu ndo zamu ya mdogo wako nae kufumuliwa
 
Kama uliwahi kula wadogo wa wenzio andika maumivu, kumbuka " Mla kuku wa wenziwe....."[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Lol, mdogo wake anamlipia madeni, hahaha so sad.

Culture Gal.
 
Mkuu pole sana kwa uliyokuta kwny simu ya dada'ko. Sasa namna ya kumsaidia kwa ninavyoona mm ni hv:
1. Usimpanikie kwa 7bu umeona upuuzi anaofanya kwny simu yake atakuchukia sana na hatakuwa karibu na ww wanawake akili zao wanazijua wenyewe.
2. Tafuta siku ukae naye umwambie kuna rafiki yangu anamdogo wake mpole sana wa kike ila kuna siku alichukua simu ya dadake aliisahau macho hayana pazia kakuta vitu vya ajabu yani anashindwa hata amfanye nn kaniomba ushauri hapa yani na mi nawaza,inakuaje kama na ww dada angu uko kama huyo sijui ntakufanyaje yani. Halafu unajifanya unatoa povu lako kwa uliyetunga ujumbe unakuwa umeshamfikia atajirekebisha tuu kama ni wa kusikia. Hapo hatajua kama umefahamu hivyo utakuwa umemsaidia na hatakuchukia ndugu yake.
 
Hakuna makosa aliyofanya tena amefanya vizuri as long as yupo kwangu . nalipa ada Mimi namlisha na kumvisha ... Ni jukumu langu kumfuatilia mwenendo wake ... Kabla hajaleta mimba nyumbani na maradhi yasiyo na tiba ...

Punguzeni uzungu ... Huyo ni mtoto mpaka akiletewa mahari ..


Sawa,
Ngoja siku mdogo wako atakwambia mshushe pichu ndiyo utaelewa. Maana, hawa watoto akili zao wanazijua wenyewe
 
Mfanye amtambue Muumba wake aachane na ukahaba

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
 
Mtafutie mwanamume

Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
 
Kila mwanamke ana asili ya uchangudoa....usifikiri upole ndiyo chanzo cha kumfanya yeye mwema. Pole lakini. Ulikutana na picha yangu humo?
 
Ndugu we muache tu na muombee mungu amsaidie mana hawezi kukiepuka kikombe hicho hii ndo dunia yetu ya leo na waharibifu ni mi na wewe so mtagombana bure

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo simu ulimpa wewe au ametafuta mwenyewe, na kama ulimnunulia wewe ilikuwa ni kwa matumizi gani? Vinginevyo pamoja na michango yote, kwangu mimi bado ni jukumu lako kuongea nae madhara ya hayo anayofanya, ukizingatia kwamba lolote likimtokea, iwe magonjwa, mimba wewe ndiyo utamhangaikia. Timiza wajibu wako, kama atakuelewa sawa, na usichoke kuongea nae.

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Me ndo naplay part zote m ndo kama baba kwake ila simu sijamnunulia mimi
 
Globalization..... ili fagio halijawahi kuacha teenagers salama!
 
Mkuu ulicho kitafuta umekipata

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom