G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,654
- 8,708
Usishangae ndugu hiyo ndo dunia na huyo ni mtu hulu hapa duniani japo hapo kwenye kufundishana kwao kutuchuna kwa sasa wamekwama.watafundishana mpaka watakua maprof ktk elimu hiyo ila wa kuwachuna wameshaisha.sasa hv kila mtu anailinda shekeli yake mkononi.hatuchunwi tenaNi Binti mdogo kamaliza kidato cha nne mwaka Jana kimwonekano ni mpole na mtaratibu sana.Niende kwenye Nada
Leo mida ya jioni simu yake ilikuwa kwenye lugha ambayo haielewi(africanas) akaomba nimfanyie setting irudi katika kizungu nikafanya hivyo nikamaliza wakati yy akiwa nje anaosha vyombo ,ndipo akili iliponituma kukagua inbox zake za WhatsApp na SMS za kwaida ,duh niliyoyaona nimejuta kuyafahamu.
Chatting nyingi ni mapenzi (mabwana wengi) japo sioni kama ni shida sana kilichokuja kuniuma na kunifanya niandike huu Uzi nilipokuta message za wanafundishana mbinu mbalimbali za kufanya mapenzi ,kuwatega na kuwachuna wanaume ,amejiunga magroup ya WhatsApp ya ukahaba na makungwi wanafundishana mambo ya ajabu ,ndo nikahamia kwenye gallery uko ndo basi .
Nimeumia sana japo sijafanya reaction yoyote mdogo wangu kaniumiza alivyo mpole msitaarabu sikutegemea ndo wa kufundisha wenzake Mara chuma mboga Mara nn.
Naombeni ushauri wadau nimchukulie hatua gani uyu Dogo maana ni mdogo wangu ananiuma sitaki aharibikiwe
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA