Nilichokiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike! So sad!

Mwambie wewe pimbi naona umekua sasa niliyoyaona ktk cm yako yanatia kinyaa na ukakasi....achagua moja kusoma ama asepe akayajue maisha huko kwa walimwengu, akikujibu ujinga kelbu hata tano zinamfaa
 
Hapo ndy maji yameshamwagika cha kufanya mdanganye sku yoyote hasa weekend mwambie unahtaji kutoka kidogo na yeye ili mkapige story,mkifika unamuanzishia story za hapa na pale then baadae unachomekea suala hilo na uhakikishe unalizungumzia kwa kina bila kumkera

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
mwache akae simu ya mtu ww umepekuaa ya nn yaan ww kaka gani unapekua simu ya mdogo wako wa kike??form 4 kwan mdogo mwache ajifunze asije kuwa gogo bure badae aje kusemwa cha msingi nyumbani ana heshima na anafanyaa yanayotakiwaa hapo nyumbani the rest ni ukuaji tu kitafika kipindi ataacha kama ww ulivyokuwaa unakuaa yapo mengi ya kijingaa uliyoyafanyaa mwache naye ayafaanye at the right tym muda utafikaa ataachaa trust me ..kuwa kwenye magroup dsnt mean kuwa anafanyaa hayo mambo noo ni anajifunzaa lazimaa mtu uwe na elimu dunia na elimu aheraaa cha msingi anawezaa kucontrol mambo yake lastly siku nyingine fanyaa ulichoombwa mengine hayakuhusu!!
Unaongea hujui madhara yake. Mahusiano hayakatazwi ila aina ya mahusiano ndiyo shida. Huyu yuko na MDOGO wake ili spate elimu atue mzigo wa utegemezi nyumbani akimuacha MDOGO wake aendlee kwa namna hiyo kikubwa ni mimba na ama ukimwi. Ujue vyote hivi vitaongeza tena cost ya maisha mbali na kwamba dogo atashindwa kufikia malengo yake na ya kaka yake
 
mwache akae simu ya mtu ww umepekuaa ya nn yaan ww kaka gani unapekua simu ya mdogo wako wa kike??form 4 kwan mdogo mwache ajifunze asije kuwa gogo bure badae aje kusemwa cha msingi nyumbani ana heshima na anafanyaa yanayotakiwaa hapo nyumbani the rest ni ukuaji tu kitafika kipindi ataacha kama ww ulivyokuwaa unakuaa yapo mengi ya kijingaa uliyoyafanyaa mwache naye ayafaanye at the right tym muda utafikaa ataachaa trust me ..kuwa kwenye magroup dsnt mean kuwa anafanyaa hayo mambo noo ni anajifunzaa lazimaa mtu uwe na elimu dunia na elimu aheraaa cha msingi anawezaa kucontrol mambo yake lastly siku nyingine fanyaa ulichoombwa mengine hayakuhusu!!
Tabu anapojaribu na ukumwi anaupatia hapohapo
 
Mnyooshe mkuu, usipochukua hatua unafuga ubovu. Pole sana lakini.
 
Kama vp mkwarue mwenyewe na ww ufaidi mana naona unatuzibia riziki na wakati hata ww unakwarua dada zetu!.
 
Akizalishwa nyumbani utamsaidia jamaa kulea hiyo mizigo??

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Amini usiamini, hawezi kuzalia home. Wanaozalia home huwa hawajihusishi na theory za hayo mambo. So wanaharibikiwa simply bcoz hawajui theory za haya mambo. Kama walivyosema baadhi wa wadau, kuwa kwenye hizo theory not neccesarly anashiriki. Hata kama anashiriki si kwa kiasi hicho unachohisi. Cha msingi kaa nae, friendly.......mpe theory za upande wa pili.
Hata hivyo, vp maendeleo yake ya class?
 
Ni binti mdogo kamaliza kidato cha nne mwaka Jana kimwonekano ni mpole na mtaratibu sana niende kwenye mada;

Leo mida ya jioni simu yake ilikuwa kwenye lugha ambayo haielewi(Africanas) akaomba nimfanyie setting irudi katika kizungu nikafanya hivyo nikamaliza wakati yeye akiwa nje anaosha vyombo, ndipo akili iliponituma kukagua inbox zake za WhatsApp na SMS za kwaida, duh niliyoyaona nimejuta kuyafahamu.

Chatting nyingi ni mapenzi (mabwana wengi) japo sioni kama ni shida sana kilichokuja kuniuma na kunifanya niandike huu uzi nilipokuta message za wanafundishana mbinu mbalimbali za kufanya mapenzi, kuwatega na kuwachuna wanaume, amejiunga magroup ya WhatsApp ya ukahaba na makungwi wanafundishana mambo ya ajabu, ndo nikahamia kwenye gallery uko ndo basi.

Nimeumia sana japo sijafanya reaction yoyote mdogo wangu kaniumiza alivyo mpole msitaarabu sikutegemea ndo wa kufundisha wenzake mara chuma mboga mara nini.

Naombeni ushauri wadau nimchukulie hatua gani huyu dogo maana ni mdogo wangu ananiuma sitaki aharibikiwe.
Mkuu usisite kuongea naye,azima simu yake tena na ongea naye ukiwa na ushahidi,MPE mifano mingi ambayo inaweza kumsaidia,MPE darasa huu ya Haya aliyoyakimbilia,usitumie ukali Bali muonye kwa upendo

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Ni binti mdogo kamaliza kidato cha nne mwaka Jana kimwonekano ni mpole na mtaratibu sana niende kwenye mada;

Leo mida ya jioni simu yake ilikuwa kwenye lugha ambayo haielewi(Africanas) akaomba nimfanyie setting irudi katika kizungu nikafanya hivyo nikamaliza wakati yeye akiwa nje anaosha vyombo, ndipo akili iliponituma kukagua inbox zake za WhatsApp na SMS za kwaida, duh niliyoyaona nimejuta kuyafahamu.

Chatting nyingi ni mapenzi (mabwana wengi) japo sioni kama ni shida sana kilichokuja kuniuma na kunifanya niandike huu uzi nilipokuta message za wanafundishana mbinu mbalimbali za kufanya mapenzi, kuwatega na kuwachuna wanaume, amejiunga magroup ya WhatsApp ya ukahaba na makungwi wanafundishana mambo ya ajabu, ndo nikahamia kwenye gallery uko ndo basi.

Nimeumia sana japo sijafanya reaction yoyote mdogo wangu kaniumiza alivyo mpole msitaarabu sikutegemea ndo wa kufundisha wenzake mara chuma mboga mara nini.

Naombeni ushauri wadau nimchukulie hatua gani huyu dogo maana ni mdogo wangu ananiuma sitaki aharibikiwe.
nyang'anya simu!
 
Waafrica hamkaagi mkaongea na watoto/wadogo zenu then mnakuja kupanic. Hayo uliyoyaona ndio yanayopewa kipaombele kwenye mitandao ilitakiwa kabla hajakutana na hayo nyie wakubwa muwe mshampa mwongozo ili hata akikutana nayo asihadaike.
 
Ni binti mdogo kamaliza kidato cha nne mwaka Jana kimwonekano ni mpole na mtaratibu sana niende kwenye mada;

Leo mida ya jioni simu yake ilikuwa kwenye lugha ambayo haielewi(Africanas) akaomba nimfanyie setting irudi katika kizungu nikafanya hivyo nikamaliza wakati yeye akiwa nje anaosha vyombo, ndipo akili iliponituma kukagua inbox zake za WhatsApp na SMS za kwaida, duh niliyoyaona nimejuta kuyafahamu.

Chatting nyingi ni mapenzi (mabwana wengi) japo sioni kama ni shida sana kilichokuja kuniuma na kunifanya niandike huu uzi nilipokuta message za wanafundishana mbinu mbalimbali za kufanya mapenzi, kuwatega na kuwachuna wanaume, amejiunga magroup ya WhatsApp ya ukahaba na makungwi wanafundishana mambo ya ajabu, ndo nikahamia kwenye gallery uko ndo basi.

Nimeumia sana japo sijafanya reaction yoyote mdogo wangu kaniumiza alivyo mpole msitaarabu sikutegemea ndo wa kufundisha wenzake mara chuma mboga mara nini.

Naombeni ushauri wadau nimchukulie hatua gani huyu dogo maana ni mdogo wangu ananiuma sitaki aharibikiwe.
Mambo ya kikeni usiyaingilie,... Na matokeo ya yy kufanya ivo ni kutaka kufahamu maswala yanayohusiana n wanawake kimapenz n kimahusiano thus mwache ajifunze

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Siku ingine uwe na tahadhari na sim za wadada,ungekuta kaanika utupu wake,ingekuathiri kisakolojia bila shaka.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
hebu play part yako kama kaka,
kipigo hakisaidii chochote zungumza nae
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Papuch n yake yy ndo anajua
Anachokipata kweny hayo
Magrup mwache aitumie
Hyo papuch yake atakavyo
Usmpangie wa kumpa aigonge
We unamwambia hivyo na wakati huyo binti akipata ukimwi, akipewa mimba na mwanaume aliyempa mimba akakataa mimba wa kuubeba mzigo ni ndugu, Kaka akiwemo.

Kila mwenye ndugu wa kike anatamani kuona dada yake anajiheshimu na kama atafanikiwa kuolewa basi adumu kwenye ndoa na kuwa na furaha.

Anachofanya binti kinamvuruga kisaikolojia... Na anaharibikiwa. Mwache Kaka mtu amsaidie mdogo wake! Damu nzito kuliko maji!

LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
 
Pole kaka.. Ongea na mama. Dada mkubwa. Waambie ukweli. Wao watajua cha kufanya

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Pia mitandao yakijamii tatizo kubwa. Elimu inahitajika

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Mkuu cha msingi labda kujua mdogo wako ana maamuzi yake na mara nyingi yapo sahihi lkn kama mdau mmoja alivyosema yupo ktk kipindi cha kujaribu mengi kama wote tulivyopitia hiyo "stage " kikubwa ni kumpa uwezo wa kupambanua lipi sawa na lipi si sawa na hii inahusisha malezi kwa ujumla kuanzia nyie mnao mzunguka lkn kusema tu umeumia hii dunia imebadilika kwa mengi na hasa technology ya hizi smart phones
 
Back
Top Bottom