Nilichokiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike! So sad!

Nilichokiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike! So sad!

Sijui utawezaje kuongea naye kuhusu hiyo ishu .. lazima uone aibu kwa kupiga chabo sim za watu ila cha muhimu jaribu kumuelewesha kwa busara na hekima kwa kutumia njia nyingine..
Otherwise you will suffer mkuu

Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
 
Utamu wa kuyajua mabaya ndipo kifo kificha.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Nipe namba zake za simu nimuonye

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Nyang'anya hyo sim fasta.

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Uspoangalia vizur hata we anaweza kukupa mzigo

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Ni Binti mdogo kamaliza kidato cha nne mwaka Jana kimwonekano ni mpole na mtaratibu sana.Niende kwenye Nada

Leo mida ya jioni simu yake ilikuwa kwenye lugha ambayo haielewi(africanas) akaomba nimfanyie setting irudi katika kizungu nikafanya hivyo nikamaliza wakati yy akiwa nje anaosha vyombo ,ndipo akili iliponituma kukagua inbox zake za WhatsApp na SMS za kwaida ,duh niliyoyaona nimejuta kuyafahamu.

Chatting nyingi ni mapenzi (mabwana wengi) japo sioni kama ni shida sana kilichokuja kuniuma na kunifanya niandike huu Uzi nilipokuta message za wanafundishana mbinu mbalimbali za kufanya mapenzi ,kuwatega na kuwachuna wanaume ,amejiunga magroup ya WhatsApp ya ukahaba na makungwi wanafundishana mambo ya ajabu ,ndo nikahamia kwenye gallery uko ndo basi .

Nimeumia sana japo sijafanya reaction yoyote mdogo wangu kaniumiza alivyo mpole msitaarabu sikutegemea ndo wa kufundisha wenzake Mara chuma mboga Mara nn.

Naombeni ushauri wadau nimchukulie hatua gani uyu Dogo maana ni mdogo wangu ananiuma sitaki aharibikiwe
Mkuu maamuzi ungelichukua kabla ya kumrudishia simu.Ungelifuta picha na videos zote chafu then ungelim-left na ku-delete magroup yote machafu.Baada ya hapo ungelimrudishia simu yake na kukaa kimya
Ungelimuona atakavyoanza kuhaha maana atajua siri zote nje nje

Sent from Samsung Galaxy S8 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mtu yetote ambaye hakagui simu ya mkewe au mabinti zake huyo ni DUBULHABESHI ana matatizo kichwani, atakuwa na afya mbaya ya akili kama atawanunulia simu familia yake halafu usichunguze matumizi, hafu mabint wapate mimba shuleni asingizie amebakwa wakati tayari ni hollow tyre muda mrefu,



Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Jaffar, lugko n.k, kama Umenisoma ni wewe

Sent from my D2303 using JamiiForums mobile app
 
mpore simu iyo for one year asiwe na smartphone
 
Hiyo simu ina siri gani hadi usikague... si ya mdogo wako?!!! Uzungu na u dad dad unatupoteza jamani...kama ni Mimi ningemtembezea kichapo cha nguvu,mibao,miteke ya nguvu na simu ningeiifadhi kwa muda usiojulikana...my friend baada ya hapo kuna change itakuwepo

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Mnunulie condom na umuambie huu ndio usalama wako chunga mzigo wako abiria
 
mwache akae simu ya mtu ww umepekuaa ya nn yaan ww kaka gani unapekua simu ya mdogo wako wa kike??form 4 kwan mdogo mwache ajifunze asije kuwa gogo bure badae aje kusemwa cha msingi nyumbani ana heshima na anafanyaa yanayotakiwaa hapo nyumbani the rest ni ukuaji tu kitafika kipindi ataacha kama ww ulivyokuwaa unakuaa yapo mengi ya kijingaa uliyoyafanyaa mwache naye ayafaanye at the right tym muda utafikaa ataachaa trust me ..kuwa kwenye magroup dsnt mean kuwa anafanyaa hayo mambo noo ni anajifunzaa lazimaa mtu uwe na elimu dunia na elimu aheraaa cha msingi anawezaa kucontrol mambo yake lastly siku nyingine fanyaa ulichoombwa mengine hayakuhusu!!
hivi mtu akifanya uhuni kwa siri hapat ukimw au mimba???
mwisho wa siku aharbu masomo yake its gud jamaa amegundua mapema aone kama kuna namna ya kumbadilisha
halafu one's mistake doesnt make another one's mistake right kuna path watu wanapitia wanaregret hutaman hata mwanao au mdogo wako aje kukuiga




Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
MUOSHA HUOSHWA WEWE MBONA UNAMGEGEDA DADA YAKE NANIII KUWA MPOLE ULITAKA PAPUCHI YAKE IPAPUCHULIWE NA NANI....,!!
 
Kwani chuma mboga ndiyo nini mkuu? Si vizuri kama anasaidia kazi za nyumbani kama kuchuma mboga!
 
Embu mpe namba zangu..usisahau mkuu!

Sent from my HTC Desire 816 dual sim using JamiiForums mobile app
 
Pole sana ndugu..nipatie namba yake nijifanye mganga nimemtabaria mabaya kwa action zote mbaya alizofanya am sure utanipa feedback

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom