Nilichokiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike! So sad!

Naomba unichumu.
Hii ni mida ya mabachelor.
Kama wewe hapo.
Afu wewe umezima location au bado una display techno yako?
[emoji8] [emoji8] [emoji8]

Kwan inaonekana? We mwongo locatn haionekan au scrn shot nione
 
Inaonekana. Sasa niki screen shot si JF nzima watakuona ulipo.
Afu ujue njaa ndio imeniamsha.
Wewe arusha na baridi lote hulali?
 
[emoji8] [emoji8] [emoji8]

Kwan inaonekana? We mwongo locatn haionekan au scrn shot nione
Ahaaaaa. Kumbe ulinichum. Skuona nichum tena. Afu staki kwenye mashavu. Chum silifeel mimi ni kama rick ross midevu
 
Ni Binti mdogo kamaliza kidato cha nne mwaka Jana kimwonekano ni mpole na mtaratibu sana.Niende kwenye Nada

Leo mida ya jioni simu yake ilikuwa kwenye lugha ambayo haielewi(africanas) akaomba nimfanyie setting irudi katika kizungu nikafanya hivyo nikamaliza wakati yy akiwa nje anaosha vyombo ,ndipo akili iliponituma kukagua inbox zake za WhatsApp na SMS za kwaida ,duh niliyoyaona nimejuta kuyafahamu.

Chatting nyingi ni mapenzi (mabwana wengi) japo sioni kama ni shida sana kilichokuja kuniuma na kunifanya niandike huu Uzi nilipokuta message za wanafundishana mbinu mbalimbali za kufanya mapenzi ,kuwatega na kuwachuna wanaume ,amejiunga magroup ya WhatsApp ya ukahaba na makungwi wanafundishana mambo ya ajabu ,ndo nikahamia kwenye gallery uko ndo basi .

Nimeumia sana japo sijafanya reaction yoyote mdogo wangu kaniumiza alivyo mpole msitaarabu sikutegemea ndo wa kufundisha wenzake Mara chuma mboga Mara nn.

Naombeni ushauri wadau nimchukulie hatua gani uyu Dogo maana ni mdogo wangu ananiuma sitaki aharibikiwe
We Ni nani aliyekuambia kuwa binti aliyemaliza F4 ni mtoto mdogo.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Watu wengi ni watumwa wa teknolojia
Simu zimetufanya tusifikirie mambo ya muhimu kila saa ni vidole kufanya kazi tu
Huu ni ukweli mchungu, tumekuwa watumwa wa technology. So sad!!
 
Utakuja kufunguliwa kesi.kupekua simu ya mtu.bila ridhaa yake.mimi uwa siweki password ukichukua simu yangu.ukikutana na mapicha ya porn hyo ni juu yako.MUACHE TU.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Muache tu maana humuoi wewe na hayo ni maisha yake binafsi, kama anasoma bado msisitize kwamba shule ndio muhimu kwake kwa sasa hayo mengine yatakuja tu.

Ajihadhari na maradhi pia
 
Tatizo hapo ni wewe! You had a wrong definition ya upole! Embu jaribu tena ku udefine upole alafu nitarudi!
 
Kukaa kimya ni kuongeza tatizo! Huwezi jua kwanini Mungu kakufunulia hayo! Cha msingi tafuta njia nzuri ya kuongea nae umsaidie mdo wako. Ukishindwa tafuta hata mtu mwingine mwenye hekima na busara mumsaidie huyo binti!

Sent from my itel it1702 using JamiiForums mobile app
 
samaki mkunje angali mbichi. Kuna sehem ktk makuzi yake mlijisahau so kwa sasa mtakuwa mnapigia mbuzi gitaa

Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
 
aharibikiwe mara ngapi mkuu?
kaka kama hawa ndio huwa wanaingia kwenye vyumba vya dada zao na kuanza kunusu chupi za dada zao wewe umepewa umsetie simu unaaanza kusoma meseji haya sasa uliyokutano nayo huko unalia nn ssasa.
 
Ni Binti mdogo kamaliza kidato cha nne mwaka Jana kimwonekano ni mpole na mtaratibu sana.Niende kwenye Nada

Leo mida ya jioni simu yake ilikuwa kwenye lugha ambayo haielewi(africanas) akaomba nimfanyie setting irudi katika kizungu nikafanya hivyo nikamaliza wakati yy akiwa nje anaosha vyombo ,ndipo akili iliponituma kukagua inbox zake za WhatsApp na SMS za kwaida ,duh niliyoyaona nimejuta kuyafahamu.

Chatting nyingi ni mapenzi (mabwana wengi) japo sioni kama ni shida sana kilichokuja kuniuma na kunifanya niandike huu Uzi nilipokuta message za wanafundishana mbinu mbalimbali za kufanya mapenzi ,kuwatega na kuwachuna wanaume ,amejiunga magroup ya WhatsApp ya ukahaba na makungwi wanafundishana mambo ya ajabu ,ndo nikahamia kwenye gallery uko ndo basi .

Nimeumia sana japo sijafanya reaction yoyote mdogo wangu kaniumiza alivyo mpole msitaarabu sikutegemea ndo wa kufundisha wenzake Mara chuma mboga Mara nn.

Naombeni ushauri wadau nimchukulie hatua gani uyu Dogo maana ni mdogo wangu ananiuma sitaki aharibikiwe
Ndo kesha haribika huyo,na ukimfuata fuata atakwambia know ww make hakuelewi pilipili usiyoila yakuwashia nn?hayo mod yatakuwa majibu yake.

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
mmmhh!kwenye hizi simu za watoto au wadogo zetu ukitaka presha ya moyo zifatilie

muambie tu ukweli hakuna namna
 
Ni Binti mdogo kamaliza kidato cha nne mwaka Jana kimwonekano ni mpole na mtaratibu sana.Niende kwenye Nada

Leo mida ya jioni simu yake ilikuwa kwenye lugha ambayo haielewi(africanas) akaomba nimfanyie setting irudi katika kizungu nikafanya hivyo nikamaliza wakati yy akiwa nje anaosha vyombo ,ndipo akili iliponituma kukagua inbox zake za WhatsApp na SMS za kwaida ,duh niliyoyaona nimejuta kuyafahamu.

Chatting nyingi ni mapenzi (mabwana wengi) japo sioni kama ni shida sana kilichokuja kuniuma na kunifanya niandike huu Uzi nilipokuta message za wanafundishana mbinu mbalimbali za kufanya mapenzi ,kuwatega na kuwachuna wanaume ,amejiunga magroup ya WhatsApp ya ukahaba na makungwi wanafundishana mambo ya ajabu ,ndo nikahamia kwenye gallery uko ndo basi .

Nimeumia sana japo sijafanya reaction yoyote mdogo wangu kaniumiza alivyo mpole msitaarabu sikutegemea ndo wa kufundisha wenzake Mara chuma mboga Mara nn.

Naombeni ushauri wadau nimchukulie hatua gani uyu Dogo maana ni mdogo wangu ananiuma sitaki aharibikiwe
Hii issue ishakuwa mkuu. Tumia mbinu za kisasa kuikabili. Tumia saikolojia zaidi ukiongozwa na Hekima lakini ukijifanya mbabe kama USA anaejiona ana maguvu utamharibu zaidi na atakuwa kama Libya na Iraq. Tumia njia za kidplomasia.
 
Ungem-remove ktk.magroup yote....kisha unadelete kabisa

Cha kufanya ni kumshauri tu

Keshaonja muhogo huyo na kuufurahia...mpaka kawa mwalimu wa wenzie sio shughuli ndogo

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom