Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,912
- 21,969
Huku niliko hakuna wanaume
Kwa hiyo hapo una mwanza za kutosha?
Huku niliko hakuna wanaume
😂😂😂😂😂😂woiii balaaa jomonii baba gilesi si mtu mzuri kabisaa kajua kunibananisha utammBaba gilesiiiii si mtu mzuri kabisa simpendi...amejua kunifichia dada angu
Mkuu walikua wanaaibika kiajesijui kwa wanawake, ila kwa mwanaume sex ni lazima na asipofanya muda mrefu anaweza akawa mwehu , kumbuka mïaka zamani wakati kupata mwanamke ilikuwa shida wanaume walikuwa wanaabika kwenye madaladala
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]nmekumiss mpk naumwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woiii balaaa jomonii baba gilesi si mtu mzuri kabisaa kajua kunibananisha utamm
Yaani hii kitu ni basic need kabisa...usipopata hii kitu ata akili haifanyi kazi vilivyo...wacha tuu tugegedane jamani ndio burudani pendwa hapa duniani"Basic need" alaaaaah,.
Yaani em njoo piem bathii[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]nmekumiss mpk naumwa
Mimi tunakulana na aliyenitolea Mahali hatusubiri sikukuu.Mkuu nawe jana umeliwa?
Tukulane tuu jamanii maisha mafupi haya hatujui huko tuendako kama kuna migegedo au laYaani hii kitu ni basic need kabisa...usipopata hii kitu ata akili haifanyi kazi vilivyo...wacha tuu tugegedane jamani ndio burudani pendwa hapa duniani
MmmmNdugu Zangu Kulala Katikati Kuna Faida Zake Unapata Ya Dar es salaam Na Dodoma Katikati Ni Pazuri
Watani Zangu Wa Morogoro Bhana
AaaaaaahTukulane tuu jamanii maisha mafupi haya hatujui huko tuendako kama kuna migegedo au la
Danganya toto hiyo,.hawapati hata mmojaAaaaaaah
Wale wenzetu watoto wa mama mdogo si huwa wanasema tutapewa mabikra saba wenye macho kama vikombe!!!!aaaah
Wee acha hizo watoto wenye jicho kama lako lazima tutawasimamia kwa kucha kabisa.....ngoja tutunze utakatifu ili na sisi tukatusue kwa babaDanganya toto hiyo,.hawapati hata mmoja
A basic need ought to be universal, if It is to be rated in my own way, then that's not a basic need.How do u rate it in your personal life
Mkuu hivi unajua kuwa kitu kama ni cha lazima kwa mwanadamu, hata mwehu anatakiwa akipate?sijui kwa wanawake, ila kwa mwanaume sex ni lazima na asipofanya muda mrefu anaweza akawa mwehu , kumbuka mïaka zamani wakati kupata mwanamke ilikuwa shida wanaume walikuwa wanaabika kwenye madaladala
We sijui wa wapi ....hivi wale vichaa wa kike wanaopewagwa mimba huwa zinaingia kwa hewa????Mkuu hivi unajua kuwa kitu kama ni cha lazima kwa mwanadamu, hata mwehu anatakiwa akipate?
Sasa kama kitu ni kwa wenye akili timamu tu, uhalali wa kukiita ni cha lazima unatoka wapi?
Mkuu taratibu[emoji4] [emoji4] [emoji4]We sijui wa wapi ....hivi wale vichaa wa kike wanaopewagwa mimba huwa zinaingia kwa hewa????
Huyo prof anamatatizo. Hivi usipo ngonoka kwa siku ngapi unakufa?Professor mmoja alikuwa akiuliza basic human need usipotaja sex anakukosesha swali lote...Embu tuwaze, 1.Umefanya kazi umepata fedha 2.Una nyumba nzuri na safi ya kuishi 3.Una mavazi safi na ya kutosha 4.Umekula vizuri umeshiba .....Baada ya hivi vyote utakuwa unawaza nini?