Nilichokiona jana, hakika sex ni basic need

Sex si basic need... Tunaiendekeza tu... Wengi wanafanya ili tu wasionekane washamba, wengine wanadhani ukamata wenza wao, na wengi ni starehe tu kama kunywa pombe.
Ndo hivyo mkuu
Limekua hitaji linalotengenezwa na dunia
 
Uko sahihi kabisa, hasa kwa mji wetu huu wenye joto kali. Mafuta huyayuka kwa wepesi sana na kujaza ghala za uzazi!
Mungu tu atunusuru maana sio mchezo!
Aaaah.....futa kuyeyuka kirahisi nimecheka kweli
 
Wazazi na wachungaji tunasumbuka bure...vijana wetu wala hawatuelewi. Jana ni siku ambayo vijana pote ulimwenguni walienda makanisani , pamoja na mambo mengine ujumbe mkuu ni kufurahia kuzaliwa kwa mtoto Yesu ambaye ni mwokozi wa ulimwengu na dhambi zao.

Ila cha ajabu hakuna siku ambayo vijana wetu ndani ya mwaka huu wamefanya uchafu wa kila aina.....ikiwemo kungonoka kama jana kuanzia saa 12 hadi alfajiri ya leo.

Najaribu kujifariji sex ni hitaji kubwa kabisa la kila kiumbe kama ilivyo kula na kuvaa Ambalo licha ya mafundisho na makalipio bidamu lazima ajikute amekula au ameliwa mzigo .
Professor mmoja alikuwa akiuliza basic human need usipotaja sex anakukosesha swali lote...Embu tuwaze, 1.Umefanya kazi umepata fedha 2.Una nyumba nzuri na safi ya kuishi 3.Una mavazi safi na ya kutosha 4.Umekula vizuri umeshiba .....Baada ya hivi vyote utakuwa unawaza nini?
 
Kushikwa mkia
 
Wazazi na wachungaji tunasumbuka bure...vijana wetu wala hawatuelewi. Jana ni siku ambayo vijana pote ulimwenguni walienda makanisani , pamoja na mambo mengine ujumbe mkuu ni kufurahia kuzaliwa kwa mtoto Yesu ambaye ni mwokozi wa ulimwengu na dhambi zao.

Ila cha ajabu hakuna siku ambayo vijana wetu ndani ya mwaka huu wamefanya uchafu wa kila aina.....ikiwemo kungonoka kama jana kuanzia saa 12 hadi alfajiri ya leo.

Najaribu kujifariji sex ni hitaji kubwa kabisa la kila kiumbe kama ilivyo kula na kuvaa Ambalo licha ya mafundisho na makalipio bidamu lazima ajikute amekula au ameliwa mzigo .
Mkuu neno basic need umelitumia kimakosa kabisa. Sex can never & will never be a basic need for any living creature
 
Back
Top Bottom