Nilichokiona jana, hakika sex ni basic need

Nilichokiona jana, hakika sex ni basic need

Wazazi na wachungaji tunasumbuka bure...vijana wetu wala hawatuelewi. Jana ni siku ambayo vijana pote ulimwenguni walienda makanisani , pamoja na mambo mengine ujumbe mkuu ni kufurahia kuzaliwa kwa mtoto Yesu ambaye ni mwokozi wa ulimwengu na dhambi zao.

Ila cha ajabu hakuna siku ambayo vijana wetu ndani ya mwaka huu wamefanya uchafu wa kila aina.....ikiwemo kungonoka kama jana kuanzia saa 12 hadi alfajiri ya leo.

Najaribu kujifariji sex ni hitaji kubwa kabisa la kila kiumbe kama ilivyo kula na kuvaa Ambalo licha ya mafundisho na makalipio bidamu lazima ajikute amekula au ameliwa mzigo .
Siyo basic need,ndo maana Kama ulivyosema imetokea jana tu kwa vijana wengi
 
Back
Top Bottom