Da Pretty
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 3,059
- 1,154
Hapo chacha!umpotezee kwani weye BIKRA???
Kugegeda na kugegedana ni kitu cha kawaida sana...........
Hapo chacha!umpotezee kwani weye BIKRA???
Kugegeda na kugegedana ni kitu cha kawaida sana...........
Tafuta Mgomba baba no movement no say Tia shimo weka ndanii hutaliaMwisho wa mwaka nilitokea kumpenda binti mmoja ambaye baada ya kupeleleza nilipata fununu kwamba ni bikira.
kwa kuwa alishamaliza masomo nilianza harakati za kumfukuzia na kufikia siku ya mkesha wa mwaka mpya nilifanikiwa kuwa naye gheto na kweli nilimkuta hajaguswa mi ndo nkafungua shampeni!
kwa kuwa nilikusudia kuoa nilimwelza msimamo wangu na kwamba najiandaa kwenda kwao.
cha ajabu jana nikapata tarifa kwamba kuna jamaa yuko naye gest anamgegeda!
Inaendelea........
heshima kwenu..!
kwa wale mnaokumbuka katikati ya mwaka jana nilijitokeza hapa kuomba ushauri baada ya kugundua mchumba niliyetaka kumwoa ana uhusiano na baba yake mzazi!
kutokana na story ilivyokuwa wengi walinishauri kuachana na binti huyo.
Ingawa nilimpenda sana niliamua kumwacha na mpaka sasa nshazoea,
Nimekaa miezi kadhaa bila kuwa na mahusiano na binti yeyote.
Nilijenga imani kwamba pengine nikipata binti ambaye bado bikira(hajaguswa) ndiye atanifaa kuoa,
Inaendelea..............
ukweli mtupu!utawapotezea wangapi ndugu yangu dunia hii ishaharibika kwanza sidhani kama ulikumbuka kucheki afya we na bikira wako huyo,we samehe ulisongeshe gurudumu lasivyo utaambulia magonjwa kwa kutafuta aliye mkamilifu, jitahidi kumdadisi isije kua huyo jamaa ndo wa moyoni ila ameona kwako kuna maponeo ndo maana anakung'ang'ania.
CHAI CHUNGU, this is all your fault!
Mwisho wa mwaka nilitokea kumpenda binti mmoja ambaye baada ya kupeleleza nilipata fununu kwamba ni bikira.
kwa kuwa alishamaliza masomo nilianza harakati za kumfukuzia na kufikia siku ya mkesha wa mwaka mpya nilifanikiwa kuwa naye gheto na kweli nilimkuta hajaguswa mi ndo nkafungua shampeni!
kwa kuwa nilikusudia kuoa nilimwelza msimamo wangu na kwamba najiandaa kwenda kwao.
cha ajabu jana nikapata tarifa kwamba kuna jamaa yuko naye gest anamgegeda!
Inaendelea........
Nimeona na MziziMkavu ameziachia pia, ila ni upepo tu, utapita!
Yeah jukwaa lishaanza kuboa.......ngoja kwa mda wa miezi kadhaa nitafute jukwaaa la kuhamia,watu naona sasa wanatafuta umaarufu badala ya kuleta issue za msingiNaona kuna nyendo za Mjeda na Masanja hapa,hivi vipande vipande vya nn??
Wewe endelea nae nae huyo atakuwa sex partner wake wewe ndo mwenyewe mwenye mali mume mtarajiwa.
Ndo maisha ya mjini hapa wa peke yako utamtoa wapi???
Ukiona hafai muumbe wa kwako.
Utaacha wangapi???